kitimoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mrengwa wa kulia

    Nyama ya kitimoto bei ya jumla

    Habari. Mimi ni mfugaji wa nyama yetu pendwa Duniani.. ya Kitimoto Tukufu Nauza kwa bei ya jumla kuanzia kg 10 Kilo moja ni Tsh 9,000 Tu. Nafanya delivery pia. Kwa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani tu. Nyama inaviwango vikubwa vya ubora fresh kutoka Shamba. MAWASILIANO Simu 0782589717 Isipo...
  2. M

    agano la kale ndio lina sheria ya fungu la kumi leo hii makanisa yanalidai, ila pia limekataza kitimoto,bikira tu ndie aolewe, why makanisa hayafati?

    habari wadau. naombeni mnijibu kwa nini leo hii wachungaji kanisani wanafata mistari ya biblia ya agano la kale kukusanya sadaka za fungu la kumi kwa waumini wao, na wanasisitiza ni sheria ya Mungu usipotoa ujue unamuibia mungu. ila sheria zingine za agano la kale wachungaji na makanisa...
  3. Mowwo

    Kuna muda hoja ya kujivunia kua muislam au mkristo haina mantiki yoyote

    Wakuu Nimekutana na mambo mengi ya watu kujivunia dini yao. Nikakutana na swali la kuuliza jukwaa. Mkristo anaekula kitimoto/nguruwe anaruhusiwa kumchangia Muislam Damu? Wakati wa zoezi la kuchangia damu wanazingatia hili? Note: Damu inayochangwa na watu bila kujali dini zinasave maisha ya...
  4. N'yadikwa

    Je, lawama zinazoelekezwa kwa wali, ugali, nyama, kitimoto nakadhalika kuhusu kuleta maradhi zina kweli!?

    Thread Kwa miaka mingi sasa, watu wengi wameanza kulaumu vyakula kama wali, ugali, nyama, na kitimoto kuwa chanzo cha maradhi kama kisukari, presha, na saratani. Lakini je, ni kweli chakula chenyewe ndio tatizo? Tuchukue mfano wa Wamasai wa Tanzania na Kenya. Hawa ni jamii inayojulikana kwa...
  5. Yoda

    Huu ni upotoshaji mkubwa sana kuhusu kitimoto

    Huyu Sheikh aache mara moja kulisha watu matangopori kuhusu huyu mnyama.
  6. flamini

    Leo kwa mara ya tatu kujaribu Kitimoto nikajua kwanini haipendwi

    Mi mkristo mkatoliki ila familia yangu imekulia na kuishi Dar es salaam. Toka tupo wadogo wazazi wangu na ndugu tunaokutana nao huku hawajawaji kua wadau wa Kitimoto. Ila Toka nimelelewa sikuwahi kuwaza Kitimoto au kuitamani sababu nyama zetu ni mbuzi,beef na kuku tu. Ila sababu ya ulevi wangu...
  7. Setfree

    Mnaokula Kitimoto, Kuleni "Kwa Raha Zenu," Yesu Ameruhusu

    Mungu ameruhusu tule nyama yoyote ya wanyama aliowaumba. Yesu ni Mungu, alipokuja hapa duniani aliidhinisha tule hata kitimoto🐖(nyama ya nguruwe). Alitoa ruhusa hiyo katika Marko 7:14-23(BHN). Imeandikwa hivi: Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni nyote, mkaelewe...
  8. Pdidy

    KITIMOTO KUPANDA BEI WAKATI WA MFUNGO MNATUAMANISHA NN 11000-15000..SERIKALI MTUSAIDIE

    Habari za uzima Nkauliza tu mbona Hawa wah wanaouza kitimoto wakatili hivyo Toka tar 5 kitimoto inepanda JUMLA Toka 8000 mpaka 11000 Kawaida Toka 12000-15000 Hivi hamna dini NYIE wauzaji Mheshimun Mungu huu sio mda WA KUONGEZA bei ya vyakula kabisa
  9. Magical power

    Kitimoto Rosti Diet

    Kitimoto Rosti Diet💦🙆🏽‍♂️🇹🇿 Nipo viwanja sisi hatunaga weekend 😂😂😂🔥 Anastasia21
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    kwanini kitimoto kwa sasa haiuziki tena?Nimeshuhudia kwa macho yangu nyama ya kitimoto kwa sasa inabaki.

    Katika mifungo hii ya kwaresima na mwezi wa Ramadhani kitimoto hauziki wakuu. kuna sehemu moja hapa kitaa ilikuwa hailali wala kutoboa hadi saa7 usiku bado ipo labda kama wamechinja nguruwe mbili. Lakini kwa sasa kiti moto ndo hivyo tena hailiki ndg zetu wa upande wa pili tukisema ninyi ndo...
  11. Pdidy

    Kama kuna wanaotaman kesho iwe April wenye lodge na wauza kitimoto kwa sasa wanateseka SANA sana

    YAAN Huu mwezi imekuwa mchungu sana kwa wenye lodge na wauza kitimoto bila kusahau madada poa huu mwezi wameamua hadi kushusha bei hii na Baraka KUBWA SANA Jana nilienda kumchukua kijana MMOJA alikuwa lodge sinza na Gen z MMOJA GAFLA akaniambia nimsubiri SEHEMU ya vinywaji nikajiagizia wine...
  12. Yoda

    Wakaanga kitimoto huwa wanagharimika kununua mafuta ya kukaaingia au inajikaanga yenyewe?

    Hii nyama huwa ina mafuta sana. Hivi wakaanga kitimoto cha biashara huwa wana uhitaji wa kununua mafuta ya kukaangia au mafuta ya kitimoto chenyewe yanatosha kukaangia?
  13. Yoda

    Putin akimcheka na kumrekebisha Waziri wake kuhusu mauzo ya kitimoto Indonesia

    Hii ilitokea wakiwa wanajadili masuala kadhaa ya biashara Waziri wa Russia wa Kilimo akatolea mfano jinsi Ujerumani inafaidika kwa mauzo ya kitimoto/nguruwe kwa mamilioni ya tani kwenye nchi nyingi ikiwemo Indonesia taifa lenye Waislamu wengi zaidi duniani, ndipo Putin akamuambia Indonesia...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!

    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa. Utafiti wa kisayansi uliofanywa na SUA, umebaini kuwa baadhi ya nguruwe wana minyoo aina ya tegu ambao nyama yao ikiliwa bila kuiva vizuri, mlaji atapata...
  15. M

    Nimekuwa addicted na kitimoto, Je kuna madhara kiafya?

    Hello wadau, Currently nimekua nakula sana kitimoto yaani nakula mpaka mara 4 kwa week sometimes rost sometimes kavu. Naomben kujua kama Kuna madhara yoyote kiafya
  16. Mwachiluwi

    Tule chapati na kitimoto roast

    Hello Leo ilikuwa siku ngumu sana kwangu nikawa nimerudi home nimechoka sijao ni bachela nikawaza chakula usiku uhu nikakosa Nikakumbuka nina ngano na kitimoto nikaona niandae chap nile usiku nisije umwa vidonda vya tumbo Nikaanza na chapati Nilipo maliza nika ingia sasa kwenye kitomoto...
  17. Pdidy

    Naulizia machinjio ya kitimoto Jijini Dar es Salaam

    Naulizia machiinjio ya kitimoto jamani katika Jiji hili la Dar es Salamaa
  18. Yoda

    Watengeneza kitimoto wajaribu kuwa wabunifu wa viungo vingine zaidi ya tangawizi tu

    Wakaangaji na wachomaji kitimoto wa bongo ni kama hawajui viungo vingine vya kuweka katika nyama pendwa zaidi ya tangawizi tu. Nyama nyeupe kama za kitimoto, kuku na Samaki zinanoga zaidi mpishi akiwa na ubunifu mkubwa katika kuziwekea viunguo(spices) mchanganyiko.
  19. Ngongo

    Kitimoto viunga vya Mromboo

    Weekend niliamua kutembelea viungo vya mitaa ya Mromboo. Unapoitaja viungo vya mitaa ya Mromboo moja kwa moja akili inakimbilia ulaji wa Mbuzi choma. Kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu hasa hili gonjwa la gout nikaamua bora nitafune mbuzikatoliki. Nikakatiza mitaa miwili mitatu nikakumbana...
  20. Yoda

    Kwa nini kitimoto kinauzwa Bar na Hotel kubwa tu? Ni marufuku mama ntilie na wauza chips kuuza kitimoto?

    Hivi kitimoto ni kwa ajili ya walevi na wenye kipato kikubwa tu? Kwa nini hii nyama inauziwa baa na hotel kubwa tu halafu iliyoiva pia inapimwa kuanzia nusu kilo tu? Kwa nini hakuna mama ntilie wanaouza kitimoto kama mboga ya ugali na wali?? Hatuoni huu ni unyanyapaa kwa watu wasioweza kuagiza...
Back
Top Bottom