Hello
Leo ilikuwa siku ngumu sana kwangu nikawa nimerudi home nimechoka sijao ni bachela nikawaza chakula usiku uhu nikakosa
Nikakumbuka nina ngano na kitimoto nikaona niandae chap nile usiku nisije umwa vidonda vya tumbo
Nikaanza na chapati
Nilipo maliza nika ingia sasa kwenye kitomoto...
Wakaangaji na wachomaji kitimoto wa bongo ni kama hawajui viungo vingine vya kuweka katika nyama pendwa zaidi ya tangawizi tu. Nyama nyeupe kama za kitimoto, kuku na Samaki zinanoga zaidi mpishi akiwa na ubunifu mkubwa katika kuziwekea viunguo(spices) mchanganyiko.
Weekend niliamua kutembelea viungo vya mitaa ya Mromboo.
Unapoitaja viungo vya mitaa ya Mromboo moja kwa moja akili inakimbilia ulaji wa Mbuzi choma.
Kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu hasa hili gonjwa la gout nikaamua bora nitafune mbuzikatoliki.
Nikakatiza mitaa miwili mitatu nikakumbana...
Hivi kitimoto ni kwa ajili ya walevi na wenye kipato kikubwa tu? Kwa nini hii nyama inauziwa baa na hotel kubwa tu halafu iliyoiva pia inapimwa kuanzia nusu kilo tu?
Kwa nini hakuna mama ntilie wanaouza kitimoto kama mboga ya ugali na wali?? Hatuoni huu ni unyanyapaa kwa watu wasioweza kuagiza...
Huyu mnyama anaongoza kwa kuzushiwa na kutungiwa mambo mengi sana ya uongo hapa bongo, mara ana minyoo ya kifafaa, mara hachinjiki, mara ana mapepo n.k.
Kwa nini afanyiwe propoganda nyingi hivi za ajabu ajabu huko Ulaya wanakula hadi kitimoto kibichi kiitwacho(mett)?!
Naamini karibia kila aliyewahi kula kitimoto, alishakula pia na nyama ya kuku wa kienyeji!
Kati ya hivyo vitoweo viwili: kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?
Wasaalam.
Tangia nipewe hii elimu ya kuweka mfupa kwenye Kona za nyumbani kwangu!. Ile Hali ya kukabwa usiku na wachawi(majinamizi) imeisha kwakweli.
Nawasilisha.
Jamaa aliyepata umaarufu mitandao kwa uuzaji wa Kitimoto alimaarufu kama nguruwe atimbiwa na Bodi ya Nyama iliyochini ya Serikali. Bodi hiyo imefika katika eneo la Bwana huyo ambaye pia ni maarufu kwa jina la Mr. Manguruwe na kukagua maneno ya banda hilo la nguruwe. Alianza kupata umaarufu baada...
Aliyepandikizwa figo ya nguruwe aruhusiwa
Taarifa ya hospitali imesema mtu huyo alikuwa akipambana na ugonjwa wa figo na alihitaji kupandikizwa kiungo hicho, ili kuokoa maisha yake.
Massachusetts. Richard Slayman (62) kutoka Massachusetts aliyepandikizwa figo iliyobadilishwa vinasaba kutoka...
Unataka kula nyama ya nguruwe ambayo haijaiva vizuri ili ugundue nini?
Usile kitimoto ambayo haijaiva vizuri, hakikisha imepikwa kwa moto mkali, kama ni ya kuokwa hakikisha imeokwa kwa muda mrefu hadi mifupa ichomoke kwenye nyama.
Kitimoto ni tamu na salama sana.
Hello everyone heri ya msimu wa sikukuu.
Jamani naomba majibu na mjadala wa kina kwanini sehemu za biashara ya kitimoto ni chafu na kiasi cha kupofusha macho ya kinyaa kwa wateja?
Ni hayo tu
Wadiz
Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni..
Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu?
Je nimsindikize na ndizi ama kaugali?
Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha
Japo Zanziba ni sehemu ya Tanzania, inafahamika kuwa asilimia kubwa ya wakazi wake ni Waislamu. Na inafahamika kuwa nguruwe, au MBUZI KATOLIKI kama inavyoitwa na baadhi ya watu, ni wanyama haramu kwa Waislamu.
Lakini unajua hiyo mboga inapatikana hata Zanzibar? Kwa ambaye hajawahi kufika huko...
Niko Ujiji natafuta Kitimoto siku nzima lakini wapi.
Nimeongea na wenyeji hapa wananiambia hata wenyewe asilimia karibia 70 wanamtumia shida huwa inakuwa ni wanaogopa macho ya watu kwa hiyo inabidi waende mbali kidogo.
Nataka kuwa nafanya delivery mpaka home unajifungia ndani na familia yako...
Mipango inaendelea kuwezesha shule kujumuisha nyama ya nguruwe katika ratiba ya chakula nchini Rwanda kama njia ya kutokomeza utapiamlo, Olivier Kamana, Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo na Rasilimali Wanyama amenukuliwa na gazeti la New Time nchini humo akisema.
"Tunaziomba shule kuanzisha...
Aisee msema ukweli mpenzi wa Mungu, utamu wa kitimoto harufu ile.
Sasa siku hizi unakula kitimoto ila ni kama nyama ya ng'ombe tu.
Kipindi sie tunakua, miaka hiyooo, mzee basi akirudi na kitimoto nyumbani ile harufu tu inatosha kuwaamsha na kuwafanya mkae ubalazani kusubiri muitwe mtoe vyombe...
Chama cha Wafugaji Nguruwe Tanzania (TAFIPA) kimesema wastani wa tani 52,000 za nyama ya nguruwe huingizwa nchini kila mwaka kutoka nje ya nchi, huku Tanzania ikizalisha tani 27,000 pekee.
Katibu wa chama hicho, Collins Ritenga amesema leo Jumamosi Mei 6, 2023 kwenye mkutano ulioratibiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.