Mbona apple hatumenyi ?Kwa nini nyama ya nguruwe huwa haichunwi ngozi kama ya Ng'ombe au Mbuzi badala yake inatolewa tu manyoya kwa kukwanguliwa?
utamu wake kula na gandaaaWapo wanaomenya
Kwa sababu ni haramu, vitu haramu havina ngoziKwa nini nyama ya nguruwe huwa haichunwi ngozi kama ya Ng'ombe au Mbuzi badala yake inatolewa tu manyoya kwa kukwanguliwa?
Inakuhusu nini kwenye ngozi, swali la kujiuliza ni tamu au sio tamu? Kama tamu wewe kulaKwa nini nyama ya nguruwe huwa haichunwi ngozi kama ya Ng'ombe au Mbuzi badala yake inatolewa tu manyoya kwa kukwanguliwa?
Ndio leo najua apple halimenywi.Mbona apple hatumenyi ?
the same question.Kwa nini nyama ya nguruwe huwa haichunwi ngozi kama ya Ng'ombe au Mbuzi badala yake inatolewa tu manyoya kwa kukwanguliwa?
Mkuu wapo ambao huwa wanatoa ngozi na mafuta yake kisha wanaitengeneza, wengine wanachuna tu manyoya.Kwa nini nyama ya nguruwe huwa haichunwi ngozi kama ya Ng'ombe au Mbuzi badala yake inatolewa tu manyoya kwa kukwanguliwa?
Haramu kwako broKwa sababu ni haramu, vitu haramu havina ngozi