Wataalamu wa ubashiri na nyota na pia jamii ya wana intelligensia tumeyasikia matukio haya mabaya yaloyotokea Ndani ya nchi hizi jirani.
Ikumbukwe mwaka 1998 kuliwahi kushuhudiwa mashambulio ya awali duniani ya kigaidi yanayotumia milipuko katika majengo Nairobi na Daressalaam yaliyofanywa...
Ukitaka kujua nguvu ya kanisa ni pale itakapoatangazwa rasmi kanisani kuwa jumapuli baada ya ibada kuwe na maandamano ya amani kupinga ukatili aliofanyiwa Rev Kitima
Kuna chawa ni popo,ni waumini watiifu wa kanisa na ni waumini watiifu wa utawala yaani hapo watashindwa wasimame wapi
Kanisa...
Mwamakula Ametuma salamu za pole huku akilaani tukio hilo huku akieleza kuiwa tukio hilo haliwezi kuwarudisha nyuma katika kudai haki nchini tanzania
ameeleza kuwa misimao hiyo intoka na kile ambacho inatokana na fr kitima kutoa tamko kuhusu hali ya demokrasia nchi
na kuelezea kuwa tukio...
Mwelekeo wa Polisi kuanza kupotosha umma kuhusu shambulizi la mwenyekiti wa CET Dr. Kitima umeanza kuonekana, wakianza kwa kusema alikuwa akipata kinywaji nk, wakidokeza ni mtu wa kunywa pombe kupita kiasi.
Sasa hili suala la kusema kuna mtu tayari wamemkamata, sintashangaa kama mtu huyo ni wa...
1. Kanisa litafakari kwa kina na kuchukua hatua kali zaidi dhidi udhalimu. Hapa tatizo si kushambuliwa kwa Fr. Kitima na wengineo bali UDHALIMU ulioota na unaoendelea kuota mizizi kwa kasi zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule.
2. Kanisa liwaunganishe Watanzania wote kupinga udhalimu katika...
Kwa maoni ya wengi ni kwamba shambulio la Fr. Kitima lina uhusiano wa moja kwa moja na matamko yake dhidi ya dhuluma wanazofanyiwa wananchi wakati wa uchaguzi.
Sote tunajua ni nani ndio wahusika wakuu kwenye dhuluma hizo. Na kwa kuwa hawa wadhulumaji wana mamlaka makubwa ya kidunia, kila...
Hii Move ni kama za Kihindi vile, stelling anafia kwenye maua, ukisoma sana na kutafakari unaona ni move inatengenezwa.
Padri kashambuliwa na haraka haraka mtu mmoja anashikiliwa kwa kumuumiza Padri, na baadse utasiki ana tatizo la akili au alisha wahi fanya kazi eneo husika hivyo ana hasira za...
Salaam, Shalom!
Nina uzoefu wa kuuguza wagonjwa,
Mgonjwa akitembelewa kujuliwa Hali na mtu mwema,Roho safi mtu wa haki, tabasamu na Roho ya matumaini huingia kwa mgonjwa na kupata nafuu ya ghafula Kisha uponaji wa haraka hutokea.
Likewise, mtu mwovu aliyeshiriki kwa namna moja au ingine...
Angalia tweets zake hapa:-
Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina.
Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter.
Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018
Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe...
Taarifa ya awali ya jeshi la polisi kuhusu kushambuliwa kwa padri kitima ina viashiria vyote vya kumchafua na kuchafua taswira ya kanisa katoliki.
Wanadai alikuwa katika kantini akipata vinywaji (Wakiwa na maana akilewa na kuwayawaya) HAKUNA SEHEMU WAMETAJA KWAMBA Alishambuliwa akiwa katika...
Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook.
NANI ANAFUATA?
Je ni hujuma? Kwa Nani?
- Kwa Fr. Kitima?
-Kwa Nchi yetu?
Kwa Rais?
Kwa Kanisa Katoliki?
-Kwa Ukristo?
-Kwa Chama cha Siasa? Kipi?
- Kwa Wasiojulikana?
-Kwa Kristo: Nabii, Kuhani na...
MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania...
Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;
Kupata...
Father Kitima na askofu Bagonza, mmekuwa waasi dhidi ya serikali, mkionyesha dhahiri mapenzi yenu kwa Chadema, hata kudiriki kufanya vikao vya usuluhishi baina ya Mbowe vs Lissu.
Hivi kweli chama mnachotaka kishike dola ndio hiki kweli?
Iko wapi demokrasia wanayohubiri hawa CHADEMA?
===
Kwanza, Nataka nyie msio wakatoliki mfahamu kuwa Mapadre na maaskofu wa Katoliki sio ngurumbili kama baadhi ya Viongozi wetu wengine wa dini hapa nchini.
Mapadre na maaskofu wa kikatoliki ni watu wasomi na wabobevu wakubwa katika maswala mbalimbali ya Kijamii kama siasa, Uchumi, Elimu etc...
Kwanini wanapotosha, kwanini hakuna anayeweka uthibitisho wa video habari hii ya madai kuwa Tundu Lissu amethibitisha Padre Dkt. Charles Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA?
Katika video ya mahojiano na Waandishi wa Habari pale Uwanja wa Ndege hakuna mahali Lissu amemtaja Kitima lakini...
ajenda
baraza
freeman mbowe
kanisa
kanisa katoliki
katibu
kitima
kufanikisha
lissu
maana
msimbazi
mungu
padre
padri kitima
tundu antipas lissu
uchaguzi 2025
uchaguzi chadema 2024/2025
uongozi
Padre Dkt. Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ametoa kauli nzito akisema kuwa viongozi wa dini lazima waonyeshe wazi kwamba aliyehusika katika mauaji ya Ally Mohamed Kibao amefanya kosa kubwa na ni laana kwa Mwenyezi Mungu.
Pia, Soma: Dar: Ali...
Katibu Mkuu wa TEC Padri ametoa rai kwa mamlaka za juu kuacha kuigilia mamlaka za chini hususani katika mchakato wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji.
Amesema katika Chaguzi za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuwanyima haki baadhi ya wagombea hasa wa upinzani kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.