kitima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashungwa apongeza Jeshi la Polisi, kwa kumkamata mtuhumiwa wa vitisho dhidi ya Padri Kitima

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa juhudi zake katika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu, ikiwemo tukio la kukamatwa na kuhojiwa kwa mtu anayetuhumiwa kutoa ujumbe wa vitisho kabla ya shambulio dhidi ya Katibu...
  2. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Jasusi alijipenyeza Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Tanzania kwa Miezi Miwili akiwa anapanga Shambulio dhidi ya Padre Kitima

    BADO kuna maswali mengi kuhusu tukio la kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima. Wakati majibu ya maswali hayo yakiendelea kutafutwa, Pambazuko lina taarifa za kina kuhusu jinsi sehemu ya njama za kumdhuru kiongozi huyo...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Serikali inalaani shambulio dhidi ya Padri Kitima

    Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza kuundwa kwa timu maalumu kushughulikia mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya Jimbo Katoliki la Morogoro na Chuo cha Aderm, akitaka suala hilo litafutiwe ufumbuzi wa kudumu. Dk Mpango ametoa agizo hilo leo, Jumapili Mei 4, 2025, katika hafla ya...
  4. Inside10

    JamiiForums Tanzania Makamu Rais Dkt Mpango: Waliohusika Na Shambilio Dhidi Ya Padri Kitima Wachukuliwe Hatua.

    https://www.instagram.com/reel/DJO2fzEC2Om/?igsh=MXM2cW1zd3Q2NDBqNw==
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Shekhe mkuu na Bakwata mnaamini FAZA kitima alikuwa analewa? Aibu iwe juu yenu

    Nina imani shekhe mkuu wa mkoa wa Dsm angekuwa yule aliyen'golewa hasingekaa Kaa kimnya mpaka Leo hasijitokeze kukemea kitendo alicho fanyiwa FAZA Kitima. Swali je Shekhe mkuu Wa Tanzania na Bakwata mpoooo?
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Askofu Nzigilwa: Padre Kitima anaendelea na matibabu na hali yake inaimarika

    Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa amesema Padre Kitima anaendelea na matibabu na hali yake inaimarika huku akiwataka watanzania kuendelea kuombea ili mwenyezi Mungu amuwezeshe kupona haraka. Ameyasema hayo leo Mei 04, 2025 katika Misa Takatifu...
  7. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Bashungwa: Serikali kuwasaka waliosambaza Waraka feki wa TEC, Waliomshambulia Fr Kitima na aliyesema "siku za Kitima zinahesabika"

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelaani vikali tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima na kuliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta na kumhoji mtu aliyeandika kwenye mitandao ya kijamii kuwa "siku za Kitima...
  8. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Kujua waliomshambulia Fr. Kitima, kapimeni DNA kwenye meza, viti, vijiko, chakula, na viywaji vinanyosemekana washambuliaji walikuwa wanatumia

    Dunia imefika mbali sana kwa sayansi na teknolojia hasa kwenye majeshi na njanja za matibabu. Kama inavyosemekana kuwa waliomshambulia Fr Kitima walikuja kama wateja na kuagiza vinjwaji na vyakula wakaenda kula wakati wakisoma target yao, baada ya kushambulia wakakimbia. Kama hawa watu...
  9. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?

    Je ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Yule anayetoa pole mtu akipata madhila kwenye kurasa za Rais Samia kaenda likizo kwenye tukio la Kitima?

    Wakuu, Ni swali tu nauliza maana kama sijaelewa hivi👀 Tumekuwa tukiona watu mbalimbali maarufu na hata kundi la watu wakipata madhila Rais Samia kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii hutoa pole, na kwengine huenda mbali hata kutoa mkono wa pole, na kwa wengine hufika kabisaaa, kama...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Suala la Padri Kitima litakuwa na uwazi lakini kwa kufuata miiko ya taaluma

    https://www.youtube.com/watch?v=glHXp1fBkdU Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila amewataka watanzania kuwa na imani na Jeshi la Polisi katika kipindi hiki wakifanya uchunguzi juu ya waliotekeleza shambulizi dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Dkt...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani walaani Padri Kitima kushambuliwa, walaani vitendo vinavyolenga kunyamazisha wito wa haki, maridhiano, na haki za binadamu

    TAMKO LA UBALOZI KUHUSU SHAMBULIO DHIDI YA PADRI CHARLES KITIMA Kufuatia shambulio la kushtua na la kikatili dhidi ya Padri Charles Kitima, tunaungana na Watanzania na kutoka kila upande wa kisiasa kumuombea apone kabisa na kulaani vikali vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Mkuu wa KKKT, Askofu Alex Malasusa tukio la Padri Kitima unatia shaka

    Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Mashambulio Pacha Kenya na Tanzania Mbunge Charles Were na Padre Charles Kitima

    Wataalamu wa ubashiri na nyota na pia jamii ya wana intelligensia tumeyasikia matukio haya mabaya yaloyotokea Ndani ya nchi hizi jirani. Ikumbukwe mwaka 1998 kuliwahi kushuhudiwa mashambulio ya awali duniani ya kigaidi yanayotumia milipuko katika majengo Nairobi na Daressalaam yaliyofanywa...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki liitishe maandamano nchi nzima siku ya jumapili baada ya misa kupinga ukatili aliofanyiwa Rev. Kitima

    Ukitaka kujua nguvu ya kanisa ni pale itakapoatangazwa rasmi kanisani kuwa jumapuli baada ya ibada kuwe na maandamano ya amani kupinga ukatili aliofanyiwa Rev Kitima Kuna chawa ni popo,ni waumini watiifu wa kanisa na ni waumini watiifu wa utawala yaani hapo watashindwa wasimame wapi Kanisa...
  16. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula Afunguka: Shambulio la Fr. Kitima Tunataka Haki, Rais Atanyooshewa Kidole!

    Mwamakula Ametuma salamu za pole huku akilaani tukio hilo huku akieleza kuiwa tukio hilo haliwezi kuwarudisha nyuma katika kudai haki nchini tanzania ameeleza kuwa misimao hiyo intoka na kile ambacho inatokana na fr kitima kutoa tamko kuhusu hali ya demokrasia nchi na kuelezea kuwa tukio...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Polisi wasivyoaminika, sintashangaa wakitangaza waliomshambulia Dr. Kitima walitumwa na Chadema ili kuichafua serikali

    Mwelekeo wa Polisi kuanza kupotosha umma kuhusu shambulizi la mwenyekiti wa CET Dr. Kitima umeanza kuonekana, wakianza kwa kusema alikuwa akipata kinywaji nk, wakidokeza ni mtu wa kunywa pombe kupita kiasi. Sasa hili suala la kusema kuna mtu tayari wamemkamata, sintashangaa kama mtu huyo ni wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu shambulio la Fr. Kitima

    1. Kanisa litafakari kwa kina na kuchukua hatua kali zaidi dhidi udhalimu. Hapa tatizo si kushambuliwa kwa Fr. Kitima na wengineo bali UDHALIMU ulioota na unaoendelea kuota mizizi kwa kasi zaidi kuliko wakati mwingine wowote ule. 2. Kanisa liwaunganishe Watanzania wote kupinga udhalimu katika...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Kwaajili ya Usalama, Baba Dr. Kitima Akapatiwe Matibabu Nje ya Nchi

    Kwa maoni ya wengi ni kwamba shambulio la Fr. Kitima lina uhusiano wa moja kwa moja na matamko yake dhidi ya dhuluma wanazofanyiwa wananchi wakati wa uchaguzi. Sote tunajua ni nani ndio wahusika wakuu kwenye dhuluma hizo. Na kwa kuwa hawa wadhulumaji wana mamlaka makubwa ya kidunia, kila...
  20. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka yale ya AGP Siro na Dereva wa Tex kumteka Mo? ndio haya ya mtu mmoja anashikiliwa kwa kumdhuru Dr Padri Kitima

    Hii Move ni kama za Kihindi vile, stelling anafia kwenye maua, ukisoma sana na kutafakari unaona ni move inatengenezwa. Padri kashambuliwa na haraka haraka mtu mmoja anashikiliwa kwa kumuumiza Padri, na baadse utasiki ana tatizo la akili au alisha wahi fanya kazi eneo husika hivyo ana hasira za...
Back
Top Bottom