kitima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. President of China

    JamiiForums Tanzania Kitima, elewa kuwa dunia imebadilika. Ujerumani iliangushwa na Uingereza na sasa Itaangushwa na Uingereza - Tanzania tupo Commonwealth

    Father kitima bado yupo na mawazo ya kizamani sana, bado yupo na mawazo ya Ujerumani kuitawala dunia. mbinu zenu zote za kuangusha mataifa kupitia dini zinajulikana zote. Vita vya kwanza vya dunia mlishindwa, vita vya pili vya dunia mlishindwa. Kitima umeshazeeka waachieni vijana waiongoze...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padri Kitima amkana Mwigulu, asema tulikuwa na mazungumzo binafsi si ya TEC

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, amesema kikao chake na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, kilichofanyika Novemba 20, 2025 katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni mkoani Dar es Salaam kilikuwa cha binafsi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Mwenye dhamana kwa yaliyotokea yupo, awajibike!

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, amesema kuwa matukio yaliyotokea nchini hivi karibuni wakati wa uchaguzi siyo ya kwanza katika historia ya Tanzania. Amesisitiza kwamba mwenye dhamana juu ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Tanzania sasa hivi hakuna Election kuna Selection

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, amesema kwa sasa Tanzania hakuna utamaduni wa election (uchaguzi) bali kuna utamaduni wa selection (kujichagua) akisisitiza kuwa nchi hii isiendeshwe na mtu ni ya...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Inaonekana kuna chombo chenye nguvu kubwa kuliko Polisi. Demokrasia hakuna, kwanini vijana wasilalamike?

    "Kuna matatizo ya msingi hayajashughulikiwa yamelundikana na tumeamua kuacha kusimama kwenye ukweli watu wanatekwa hakuna solution. Inaonekana kuna chombo chenye nguvu kubwa kuliko polisi wanaopaswa kuzuia utekaji. Vijana wanapoona vijana wanapoona kuna chombo ambacho kina nguvu kuliko...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nawakumbusha Vijana Wakatoliki, Tarehe 29/10 tunaandamana huku tukimkumbuka Padre Kitima aliyenusurika Kuuawa na Mapadree wengine wanaotekwa

    Leo hii Padree Kitima, Katibu wa Balaza la TEC angekua mavumbini. Mapdre wengi wameamua Kuishi kijasusi kuwakwepa Watekaji na Wauaji , yote hii ni sababu tu ya kushauri Mapenzi ya Bwana wetu YESU KRISTO ! Mapadre wengine wametekwa na Kupotezwa !!. Hizi Hasira zooote Vijana wa Kiseminari ...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Kumshambulia Katibu wa Baraza la Maaskofu ni kuwashambulia Wakristo wote

    Maaskofu wa Kanisa Katoliki ambao Katibu wa Baraza la Maaskofu na waumini wao, wataipa CCM kura? Kanisa Katoliki ndo Baba Mlezi wa Imani zote za Kikristo. Si moja kwa moja, ila by implication! Kwa kifupi, Wakristo madhehebu mengi yametoka Kanisa Katoliki. Sisi Wakristo ni familia moja Maaskofu...
  8. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Padri Charles Kitima: Tumevuruga Historia ya Uchaguzi wa nchi, si jambo zuri, halitaiponya, litaiangamiza kisiasa

    Kama mwaka 2015 waliweza kupata wabunge, mfano kuna chama kimoja kilifikisha wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 45, iweje mara inayofuata anakuja kupatikana mmoja tu, huoni pale kuna dosari? Tumevuruga historia ya uchaguzi wa nchi, na hili siyo jambo zuri na halitaiponya nchi, litaiangamiza nchi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Lile shauri la kupigwa Dr. Padre Kitima liliishia wapi?

    Tulishuhudia Dr. Padre Kitima akipigwa na watu wasiojulikana. Shauri hili lilipelekwa mbele ya sheria. Ninauliza , shauri hili limeishia wapi?. Mbona hatusikii maendeleo yake?.
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Padre Kitima kuna watu wanapata na walishapata uonevu mkubwa hapa Duniani kuliko wa yeye kuvamiwa na kupigwa

    Hili nalo lina ubishi? Famili ya mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na Dismas Soka hii ni mifano tu ya kutoa. Je Padre Kitima anakosea anaposema kuna akina Lissu na wengine wengi wapo magerezani kwa chuki na visasi vya kisiasa! Je hao waliopotezwa?
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Padre Kitima aufananisha Uovu unaoendelea Nchini na Uovu Aloufanya Dikteta Hitler !Asema Mwisho wa Uovu Huwa ni mbaya

    Asema, Mwisho wa Mtawala muovu Huwa mbaya sana Kwa sababu hubeba maumivu yaliyopo na yaliyopita!!. Aione Rais Samia. Aione Mwamposa .
  12. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Padri Kitima: Uadilifu wa uchaguzi umeshuka kwa kiwango kikubwa

    Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Dk Charles Kitima amesema uadilifu wa uchaguzi umeshuka nchini, jambo linalotishia kuwepo kwa uchaguzi ulio huru na wa haki. Ameyasema hayo alipokuwa akijibu maswa katika mahojiano na Jambo TV Online. Fuatilia: Father Kitima
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Alikosea FAZA Kitima akapigwa, kwa Nini akosee Gwaji lipigwe Kanisa?

    Kichwa. Cha habar chatosha Kanisa linawachungaji na waumini nje ya Gwaji mfumo upambane na Gwaji sio kanisa
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania msizime Moto Kwa Petroli , Uhuni kwenye Shambulio la LISSU, msiuhamishie Kwa KITIMA acheni kua na Viburi na Mizaha

    Muacheni kua na Viburi na Mizaha !! Huyo anayewatuma atawaponza, TEC sio Familia ya Masikini ya Mnyonge wa WATU TUNDU LISSU !! TEC inapoongea mara mbili mbili juu ya HAKI Kwa KITIMA dhidi ya Waliofanya Jaribio la kuondoa Maisha yao , Wanamaanisha HAKI KWELIKWELI Sasa basi, endeleeni kuleta...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TEC mbona hamtoi updates za Maendeleo ya Kiafya ya Padre na Mwalimu wangu SAUT (2006-2009) Kitima?

    Halafu mwambieni huyo Mtu wenu kuwa akiwa anaenda kuwatembelea na kuwapigia Magori Wakatoliki (hasa akiwakosea) asiwe anafanya Siri kwani siku hizi hakuna Siri sawa?
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wakuu Gwajima yuko sahihi : Angalieni maajabu, Walomshambulia Padre KITIMA, mpaka leo Kuna kigugumizi Cha kuwapelekea Mahakamani

    Hadi hapa Chini TEC wanashangaa, inakuaje muda wote huo mpaka Sasa hamna kinachoendelea Mahakamani. https://x.com/HildaNewton21/status/1926620724153688282 Sasa ni ukweli uluo wazi, Genge linaloendesha Mauaji na Utekaji ni Genge la Rais . Sasa Polisi wakisema tunamkamata, tunampeleka Mahakaman...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Kitima yupo wapi hatujazoea kimya hii

    Kapona? Au bado wenye data?
  18. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mtu wa kwanza kukamatwa lile tukio la kujeruhiwa kwa Padri Kitima mbona hapelekwi mahakamani? Au movie imebuma?

    Ni wiki ya pili imeisha sasa na mtuhumiwa hajafikiswa mahakamani kulikoni? Nisema mtu wa kwanza kukamwata ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa pale pale Centre ilikiwa ni Move kama za India. Pale ilikuwa baasae abanwe asema alikuwa na ugomvu binafisi na Padri Kitima. Move imekuja kuharibika kupitia...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Tunaomba tujue maendeleo ya kiafya ya Fr. KITIMA

    Mlio karibu na mahali anapo hudumiwa mtupe mrejesho wa maendeleo ya afya yake maana kumekuwa na ukimya wa maendeleo ya afya yake.
  20. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini aliyetweet kumtishia F Kitima police hawakumkamata hadi waziri atoe agizo? Kwani hawakuiona ile tweet?

    Moja ya vitu vinanishangaza sana ni namna mambo fulani hufanywa na vyombo vyetu hasa vya usalama. Mimi ninaamini kuwa police wana wataalamu wa intelejensia wa hali ya juu sana. Na sina hakika kwamba huyu waziri wa mambo ya ndani ni mbobevu kwenye mambo ya kiusalama kuliko wataalamu...
Back
Top Bottom