kitima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Pichaa hii ya Padri Kitima na John Heche walipofanya mazungumzo Januari 06, 2026

    Wakuu hii picha inasambazwa kwa kasi sana mtandaoni leo inasemekana kuwa Padre Kitima na John Heche walikutana na kufanya mazungumzo Januari 06, 2025. Je, ni kweli? i
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Inayowindwa ni CHADEMA siyo Fr Kitima

    Kuna watu wanashangazwa na harakati za baadhi ya wana CCM kutumia wanaojiita waumini wa Dhehebu la kikatoliki, kupambana na Padri. Charles Kitima. Kilichoko nyuma ya harakati hizo si vita dhidi ya Kitima bali ni vita dhidi ya CHADEMA. CCM kwa sasa ni heri wabakie na wanyonya damu kuliko...
  3. Inside10

    JamiiForums Tanzania Je, Padri Kitima Anachuki Na Serikali, Anachuki Na Rais Samia Au Chuki Na Uislamu?!

    Anaandika Aloyse Nyanda Mtozi kupitia ukurasa wake wa Instagram: Je Fr Kitima anachuki na serikali au ana chuki na Rais Samia au anachuki na Uislamu? Jibu ni HAPANA ila ukweli ni kwamba Kitima mbali na kuwa ni mlezi wa wengi pia ni Mwalimu wa Human rights alifundisha vijana chuo Kikuu na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Kyando: Wanaotaka kumshtaki Kitima wanataka umaarufu, uchawa

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe, Mhashamu Eusebio Kyando, amesema baadhi ya vijana wanapoteza mwelekeo wa imani kwa kuyumbishwa na tamaa ya umaarufu, pesa na mahitaji ya maisha, akionya kuwa hali hiyo inasababisha wengine hata kuukana wazi Ukristo wao. Askofu Kyando ametoa kauli hiyo hivi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Aliyemshitaki Padri Kitima kwenye ubalozi wa Vaticani anasaligi Parokia gani?

    Swali langu ni hilo tu tumjue huyu Lofa anasaligi parokia gani, tupate uhakika ni muumini mwenzetu au ni pandikizi?
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Fr. Kitima kwa wanaotaka aondoke TEC, 'Wasubiri, labda nife leo, bado nina mwaka na nusu'

    "Baba Padri (Chesco Msaga) nakushukuru sana kwa kunisaidia uniombee nimalize na mimi kipindi changu, kwa wale wanaotaka niondoke leo labda nikifa leo, lakini kama bado niko hai bado nina mwaka na nusu" Dr. Kitima. "Kwahiyo uniombee nimalize vizuri kadri ya mpango wa Mungu tufanye kazi ya Yesu...
  7. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Pope Leo XIV: Dini ziepuke kutumia imani kuhalalisha vurugu

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo, amelaani tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kutumia mamlaka na ushawishi wao kwa waumini kuhalalisha migogoro na migawanyiko ndani ya mataifa yao. Leo, ambaye ni Papa wa kwanza kutoka nchini Marekani, ameyasema hayo kupitia ujumbe wa kurasa nne...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna mada hapa JF haikupewa kipaumbele ila Kitima alipoeleza mmeelewa

    Kitima anacho sema nilisema kabla ya kitima kuwa kuna watu walizikwa wakiwa wazima ila waliitaji kutibiwa majerehaa ya risasi,wengine walipelekwa mochwari,wengine waliitaji ICU, wengine walimaliziwa kabisa kuficha ushaidi. Na hii order ilikuwa na vikosi maalumu ambavyo mpaka wengine idara...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh aliyesema ataua watu kwa majambia hajakatwa. Fr Kitima kusema umeme ulikatika akavamiwa kosa!

    Hili taifa lina viongozi wasiofaa. Na hawajifunzi mpaka mmoja aje aone mkono wa Mungu. Mtu anavamiwa baada ya umeme kukatika anatoa malalamiko yake anaambiawa atachukuliwa sheria mkononi Hivi umeme ukatike ghafla alafu majambazi wavamie kwako ndani ya sekunde moja utapata picha gani? Sheikh...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Chalamila: Tutachukua hatua kwa tuhuma za Padri Kitima, kuhusu TANESCO kuhusika kwenye shambulio dhidi yake

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Ofisi ya Mkoa kwa kushirikiana na TANESCO haitabaki kimya kufuatia kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Padri Charles Kitima, kuhusu tukio la uvamizi alilodai lilihusisha kuzimwa kwa umeme na Shirika hilo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh: TEC Mnatakiwa mjue hii nchi sio ya kwenu, Kauli za Kitima hazitofautiani na Mange aliyelaaniwa

    Wakuu, Tunaendelea pale tulipoishia Shekhe anatoa hoja zake kwa Baraza la Maaskofu TEC, Padre Kitimana Mange Kimambi Hoja za Sheikh - Kwani Kitima ni nani? Maana anafanya mambo utafikiri ni Waziri Mkuu - Halafu hawa TEC wanatakiwa wajue hii nchi sio ya kwao - Kauli za Kitima hazitofautiani...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kuna hii Point ya TEC "Kanisa Lina uzoefu wa miaka mingi wa Kuishi na Serikali tofauti tofauti "... Kitima akasema 'Alikuwepo HITLER'

    Aione Samia Aione Wambura Aione Mombo Aione Abdul ,Mafwele, Kizigha, na genge lao lote. KAMWE ,HAMNA SERIKALI CHINI YA JUA ITAKAYOYUMBISHA KANISA !!..
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ninavyomfahamu binafsi Fr. Kitima (PhD), Toka akiwa Mkuu wa Chuo pale SAUT Mwanza

    Kipindi nasoma pale SAUT Mwanza 2012-2015, Padre Kitima ndo alikuwa mkuu wa chuo chetu pale. Namfahamu binafsi na nilikuwa nikiongea nae na kushirikishana mambo kadha wa kadha Fr Kitima naona amekuwa maarufu kipindi hiki baada ya kuwa Katibu wa TEC, naona vilaza wasiomjua vizuri wanajaribu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hiki nachosikia ndio 'Hotuba ya Kuponya majeraha na kuunganisha taifa" kutoka kwa Rais aliyotuahidi RC Chalamila?

    Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo tutafika Ni jambo la kusikitisha kuona kiburi na dharau vikichukua nafasi ya uongozi wa kusikiliza...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padri Kitima: Ninaweza kuuawa hata leo, baada ya taarifa hii

    "Tulifanya kikao hapa tuliwashauri serikali tarehe 30 mwezi wa nne usiku wake ambapo waliamua kuniua mimi, ndiyo tulipitisha yale maazimio na uzuri yamekabidhiwa serikalini mwezi wa nane tarehe 27. Pamoja na kwamba ilikuwa tuyakabidhi siku iliyofuata wakataka kuniua Mungu bariki nikapona, najua...
  16. secretarybird

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wote wanaopingana na kile kilichosemwa na Father Kitima ndio maadui wakubwa wa Tanganyika

    Wakuu, Watu wote wanaopinga kile kilichosemwa na na Father ni maqdui wakubwa wa nchi wenye nia ya kuficha uchafu wote uliofanywa na serikali. Yaani kwa lugha rahisi unaweza ukasema wanaopinga hoja za Dr. Kitima ni kama wametolewa ubongo na kuingiziwq kimba kumkichwa hata wasielewe kile...
  17. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Press ya Father Kitima imeyeyesha Propaganda za Rais Samia leo

    Ndugu Samia Hassan Suluhu leo kama taatifa ilivyo anaongea na Makada wa CCM Kule Dar, na kama kawaida leo alikuwa aje na zile swaga zao za kila siku, za Walilipawa, Kwanini wachome nchi, Walitoka nje ya nchi, hawatutakii mema, na blaa blaa zingine. Sasa ile Press ya Kitima inabidi magwiji wa...
  18. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Padre Kitima aitumia TEC vibaya

    Kuhusu maandamano maalum, hakuna tamko la TEC au Kitima la kuwonya vijana kutofanya maandamano yaliyokatazwa ya Oktoba 29, 2025. Badala yake, baada ya vifo, Kitima alisema "vijana wanataka mabadiliko," na kuwataka wajibu. Pia, kuhusu maandamano yanayopangwa Desemba 9, 2025, hakuna onyo lolote...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padri Kitima: Kanisa Katoliki linaposimamia vitu halitafuti maslahi ya kikatoliki, bali ustawi wa watu

    Akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa Kanisa Katoliki linasimamia ustawi wa jamii, heshima ya utu na haki za msingi, ushiriki wa watu katika kujitawala na kuheshimu vyombo vya chini.
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PHD Kitima kanyooka sana akili kubwa hajaja kutusomea yaliyotengenezwa kwenye karatasi bali nondo zinatoka kichwani hapo hapo

    PHD Kitima kanyooka sana akili kubwa hajaja kutusomea yaliyotengenezwa kwenye karatasi bali nondo zinatoka kichwani hapo hapo.
Back
Top Bottom