kitanda

  1. D

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kitanda na Godoro vinauzwa

    Habari wanajf,Kitanda cha 5 kwa 6 na godoro lake vinauzwa kwa tsh laki 4 tu (400,000/=). Vyote ni vipya kabisa na havijawai kutumia kwani alinunua mdogo wangu na kuviweka kwangu Sasa kuna PESA anaitaji ndio sababu kubwa ya kuviuza. Vinapatikana TABATA KINYEREZI Dar es Salaam maongezi kidogo...
  2. Kulupango

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kitanda cha mtoto na godoro lake vinauzwa 150000

    done
  3. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Tangazo: Kitanda cha muhimu kwako kinagawiwa bure

  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Chaga imara ndiyo ubora wa kitanda

    Nikiwa hi kununua kitanda cha soft wood, chaga zilikua nyepesi sana na kitanda kilivunjika. Sikuhizi ni kheri ninunue kitanda cha mninga kwa milioni 2 lakini chaga ziwe imara.
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kitanda cha kudumu

    Hakuna tendegu wala chaga kuvunjika
  6. ragin

    JamiiForums Tanzania Wanandoa tuache unafiki na huu msemo “amelala na mchepuko kwenye kitanda wanacholalia na mkewe/mmewe”

    Hakuna watu wanafki kama watu walioingia kwenye NDOA na hata hawa wapambe. nasema ni wanafki zaidi ya walio nje ya ndoa... Kama una hako kamsemo kakuwaambia watu au kuelezea kesi za watu huku ukiitaja hii sentensi hebu iache mara moja unajiaibisha. “amelala/kafumaniwa na mchepuko tena kwenye...
  7. I

    JamiiForums Tanzania INAUZWA kitanda na meza ya kioo vinauzwa bei sawa na bure.

    kitanda na meza vinauzwa bado vipo kwenye hali nzuri. Nauza vyote kwa pamoja bei sawa na bure tsh 160000 . kwa atakae hitaji kitanda tu 120000 meza tu 60000. vipo dar mbagala sabasaba . 0657 623266 0694185384
  8. I

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kitanda 5 kwa 6 kinauzwa

    Kitanda futi 5 kwa futi 6 kinauzwa kipo mbagala sabasaba bei 120000 maongezi yapo. 0657623266
  9. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Hotel kutoa zawadi ya mil 1 kwa couple itakayovunja kitanda siku ya Valentine

    Dunia haikosi vituko, Hotel Moja jijini Mwanza imesema itatoa zawadi ya sh milioni 1 na kugharamia gharama zote kwa siku tatu kwa couple yoyote itakayovunja kitanda cha hotel hiyo siku ya valentine. Wazee wa show za kibabe hii fursa imekaaje?
  10. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Godoro 5&6 nchi 10, kitanda na jaba vinauzwa

    Godoro ni Comfy Limetumika kdg sana Muuzaji yupo Tiptop Manzese Dsm Contact 0654973754 Muuzaji ana hamia mkoani kesho Bei laki 3 vyote
  11. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Huduma bora za afya: Mbona bado wakina mama wanaojifungua wanalazwa hadi watatu kitanda kimoja?

    Serikali yetu kupitia wizara ya Afya naona ipo busy na kampeni za chanjo za Uviko19 huku ikijisahaulisha huduma muhimu huko kwenye Hospital za serikali. Jana nilienda kutembelea mama mmoja jirani yangu Alieenda kujifungulia Mt Meru hosp,na mtoto kuwekwa chumba cha joto kwa muda wa wiki mbili...
  12. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu inahitaji tiba, iko hoi katika kitanda cha mauti

    Najaribu kutafakari ni vipi tunaweza kujikwamua ili tuwe na elimu bora, lakini nakosa majibu. Huenda shida si mtaala au content ya kinachofundishwa. Inawezekana tuna mtaala mzuri lakini tumeshindwa kudhibiti ubora wa elimu katika Mambo mengine. Kwangu shida kubwa katika mfumo wetu wa elimu ni...
  13. Nchi Kavu

    JamiiForums Tanzania Kitanda kinamalizwa na wadudu. Mwenye kujua dawa tafadhali

    Wakuu za muda. Kuna hawa wadudu weupe hivi kama wale wa kahawa, wanakula mbao hatari. Sasa nawasikia kila leo wanakula kitanda na huwa nawachokona hadi kuwapata na kuwaangamiza ila bado wanazaliana. Mwenye kujua dawa anijulishe tafadhi
  14. D

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza kitanda niweze kujikimu

    Asanteni sana, nilipata msaada
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kitanda cha semedari

  16. Muuza simu used

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa wote walioamua kuoa

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni Aisee kulala na mwanamke kitanda kimoja ndani ya wiki moja tu sio mchezo yaani kwangu mimi ni kero ya hali ya juu sana na inahitaji uvumilivu wa kiwango cha mwendo kasi! Imagine kwa wanaoishi na wake kitanda kimoja miaka na miaka wanastahili tunzo aisee...
  17. mkale

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kitanda cha kulalia watoto kinauzwa

    Kipo katika hali nzuri, watoto wenye umri mpaka miaka miwili wanaweza kulalia.. neti yake, mito na godoro lake vyote vipo. Bei: Laki na ishirini {120,000} Mahali: Kimara DSM Mawasiliano: 0657787311
  18. Chibudee

    JamiiForums Tanzania Ubunifu Tizama Weka Maoni Yako

    Nimeangalia sana hii kitu. Yaani tunatumia gharama kununua vitanda bure. Hii kitu unaweza tumia tu tofali, zege na ukachanganya tiles ikatoka safi zaidi ya hapo
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hizi nguzo zilikuwepo na picha ya tausi, enzi hizo chumbani kwa bibi hiki ni kitanda muhimu.

    Kiliitwa kitanda cha semedari
  20. C

    JamiiForums Tanzania Kitanda kikubwa huchangia mahusiano ya ndoa kudorora

    Kuna mdau anasema bora avunje vunje kitanda chake cha sasa maana anaona tofauti kubwa kati kitanda kikubwa na kidogo. Anasema alipooa alikuwa anatumia kitanda cha futi 4 kwa 6 na walikuwa hawakai kipindi kirefu bila kupatana na mke wake ikiwa wamehitilifiana tofauti na sasa. Anasema akiwa...
Back
Top Bottom