INAUZWA Kitanda na Godoro vinauzwa

delako

JF-Expert Member
Oct 6, 2012
2,743
1,492
Habari wanajf,Kitanda cha 5 kwa 6 na godoro lake vinauzwa kwa tsh laki 4 tu (400,000/=).

Vyote ni vipya kabisa na havijawai kutumia kwani alinunua mdogo wangu na kuviweka kwangu Sasa kuna PESA anaitaji ndio sababu kubwa ya kuviuza.

Vinapatikana TABATA KINYEREZI Dar es Salaam maongezi kidogo yapo.

Kitanda ni mbao ya Mninga na godoro ni kutoka kampuni ya FURAHA.

Karibuni kwa namba 0768 838320

IMG_20221007_091520.jpg
IMG_20221007_091616.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom