kama ilivyo hapo juu NDIVYO ilivyo hapa chini, kama ilivyo ndani ndivyo ilivyonje ni dhana muhimu zaidi ambayo inahitajika kueleweka kwa undani ili kupatatafsiri kamili ya uumbaji huu wa kiungu.
neno kama ilivyo hapo juu , ndivyo ilivyohapa chini inalingana na vitu vyote katika uumbaji kwani linaunganisha vitu ambavyo vidogo sana na vikubwa
unaweza kusoma vitu vidogo kwa kusoma vitu vikubwa kwa sababu vitu vyote viko katika vitu vyote.
neno hili limekuwepo kwa maelfu ya miaka na yalikuwa maneno maarufu kutoka kwa mungu wa Misri thoth/hermes trismegustus/mercury/moses/enoch.
jifunze jinsi elimu ya nambari inavyoweza kukusaidia na kukuongoza katika maamuzi yako ya kamari kwa kutumia life path YAKO na nambari zingine za kibinafsi ili kufanikisha ushindi wako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.