Nakuomba Rais Samia kama unamjali Magufuli utoke hadharani na kukemea hiki kitabu cha Kabendera

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,981
19,268
Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli

Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi zimewekwa public ni vizuri Rais Samia akatoka hadharani na kukemea tuhuma hizi kwa kusema sio kweli, kukaa kimya inaweza kutafsiriwa kama hizo tuhuma ni kweli ama hajali kuhusu Magufuli kuchafuliwa
 
Mambo mengine yapo bayana, unayakemea vipi?
 
Back
Top Bottom