Black Walker
Senior Member
- Oct 8, 2018
- 120
- 257
Wakuu! Habari za asubuhi? Naomba kwa yeyote mwenye soft copy ya kitabu tajwa hapo juu "stop lying to yourself" kilichoandikwa na Simon Gilham anisaidie. Natanguliza shukrani.
Ahsante kwa ushauriNimekitafuta sana sijakikuta,
Zama mfukoni msapoti muandishi wa kitabu, lipia softcopy dola 15 / shilingi elf 38