kiswahili

  1. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Maneno gani ya Kiswahili huwa yanakosewa mara kwa mara kwenye matamshi au uandishi?

    Mh. Polepole amejiuzuru gafla shuguli za siasa - ❌ Mh. Polepole amejiuzulu ghafla shughuli za kisiasa - ✅ Maneno mengine ambayo nimesikia yanakosewa mara nyingi. azabu - adhabu ✅ tajili - tajiri ✅ uhandishi - uandishi ✅ zambi - dhambi ✅ nguwo - nguo ✅ kweri - kweli ✅ Asubui - Asubuhi ✅...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kiswahili chapigiwa chapuo Misri

    Wakati Dunia ikiadhimisha siku ya Kiswahili, lugha hiyo sasa inaonekana kuvuka mipaka ya Afrika Mashariki, ambapo sasa Jukwaa la Kimataifa la Nasser la nchini Misri limejitokeza kuwawezesha vijana nchini humo kujifunza lugha hiyo. Siku ya Kiswahili duniani huadhimishwa Julai 7 ya kila mwaka...
  3. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Kiswahili Vs Arabic

    Kiarabu vs Kiswahili Izo nchi zenye watu majority wanaongea Kiarabu; Egypt=110M Libya= 7M Tunisia=12M Algeria=45M Morocco=40M Sudan=50M Jumla=264M Kiswahili; nchi wanaongea wengi Kiswahili kwa ujumla Tanzania=68M Kenya=55M Uganda= 50M( ila kama asilimia 30%) Rwanda=13M( kama asilimia 10%)...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania TBC1 Maktaba Siku ya Kiswahili: Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Kiswahili Lugha ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Leo Maktaba imetembelewa na TBC1 kufanya kipindi kuadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani. Mtangazaji wa TBC1 Hilda Sengoli alitaka tuzungumze mchango wa Kiswahili katika kuwaunganisha Watanganyika kama watu wa taifa moja kupigania uhuru wa Tanganyika. Nilimfahamisha kuwa Kiswahili kinakwenda na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kutoka Tanzania Mpaka Uwaziri Sweden, Kiswahili Ndicho Kimebeba Safari Yake

    Katika shamrashamra za maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika jijini Stockholm, Sweden, mgeni rasmi, Mhe. Nyamko Sabuni, Waziri wa zamani wa Usawa na Jinsia nchini Sweden, ametoa hotuba kwa lugha ya Kiswahili fasaha na yenye mvuto. Mhe. Nyamko, mwenye asili ya Jamhuri...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya siku ya lugha ya kiswahili duniani yafana Sweden

    MAADHIMISHO YA SIKU YA LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI YAFANA SWEDEN Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden ukishirikiana na jumuiya za Watanzania waishio nchini humo, umeandaa na kufanikisha sherehe za maadhimisho makubwa ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika tarehe...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden: Maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani 2025

    Maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani 2025 Mgeni rasmi: Mhe. Nyamko Sabuni, Waziri Mstaafu wa Masuala ya Usawa wa Jinsia nchini Sweden. Mahali: Piazzablu, Hallonbergsplan 5-7, 174 Sundbyberg. Tarehe: Julai 5, 2025. Muda: 7:00 Mchana - Saa 1:00 Jioni. Burudani: Saa 1:00 Jioni -...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wachina wakaribisha Siku ya Kiswahili Duniani kwa Vyuo Vikuu vinavyofunza Kiswahili kuonesha weledi wa kuzungumza Kiswahili

    Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing (BFSU) kikishirikiana na Baraza la Kiswahili la Taifa, Tanzania, hivi karibuni waliandaa mashindano makubwa ya kwanza kabisa na ya aina yake kufanyika hapa nchini China. Yakijulikana kama Mashindano ya SHITU ya Kuzungumza Kiswahili kwa Wanafunzi wa Vyuo...
  9. Dr John Karithi

    JamiiForums Tanzania Waswahili na Kiswahili

    KAULI YA LEO Neno 'SWAHILI' kimatamshi linaweza kutokana na 'ZIWA HILI' au likatafsiriwa 'SAWAHILI' kutokana na neno la Kiarabu 'SAHIL' linalomaanisha 'PWANI' likirejelea 'lugha', 'tamaduni' na 'watu' wanaoishi 'kando kando ya bahari' au 'Pwani'. 'Wamijikenda' na 'wandigo' waliwaita 'Wajomba'...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka karibu 30 nasikiliza wimbo Nadina wa Mbilia Beli ila sielewi kiswahili chake

    Finyanga udongo Choma majani Pepo naudongo Samaki,nyama,mboga majani ohoo ndegeee Simba wa binadamu Jua maji Mwezi nyota Tumsifuu Mungu baba Hata mara mojaa kwa jumaa Hata ni wa shetani jua hii nalijua Sijui nini sijui niini Nadina hoo nadina ohioo
  11. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Naomba mnifundishe kiswahili cha Kenya maana nateseka sana huku, natongoza nakataliwa

    Habari gani wana JF. Wakuu nawakaribisha wale wote wanaojua kiswahili cha Kenya hasa misamiati wanayotumia wanapoongea, misemo yao pamoja na ule mchanganyiko wao wa maneno ya kiingereza na kiswahili (code switching &code mixing). Nasema hivi kwa sababu sasa hivi nikitongoza wanawake wa Kenya...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: No Reforms No Election ukisema kwa Kiswahili unaharibu, sisi hatukutaka kuzuia Uchaguzi

    Aisee katika mahojiano clouds tv yule mwenyekiti wa G55 john mrema baada ya kuulizwa nini maana ya no reform no election kasema imekosa neno la kiswahili. Wazazi wa john mrema kama mlijua mna mtoto hile pesa ya kumsomesha ingekuwa mnatumia kula kitimoto na mbege. === "Tunaamini kwamba lazima...
  13. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Baba Mtakatifu Leo XIV ameandika kwa Kiswahili Kupitia Mitandao yake ya Kijamii ya Instagram na X, kuwashukuru Waafrika

    Baba Mtakatifu Leo XIV ameandika Kupitia Mitandao yake ya Kijamii ya Instagram na X, kuwashukuru Waafrika. "Bara la Afrika linatoa ushuhuda mkubwa kwa ulimwengu mzima. Asante kwa kuishi imani yenu katika Yesu Kristo. Ni jinsi gani ilivyo muhimu kwamba kila mbatizwa ajisikie kuitwa na Mungu...
  14. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Seneta wa Kenya Edwini Sifuna asema leo Bunge la Kenya mjadala utakuwa kwa Kiswahili ili Watanzania waelewe Somo

    Hii vita naona ikifika mbali na huenda steling akafia kwenye bustani ya maua. Hii ni kwa ajili ya Msukuma
  15. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Umefika Wakati SHIKAMOO na MARAHABA Ziondolewe Kwenye Matumizi Yetu ya Kiswahili Maana Zinadumisha UTUMWA...

    Katika jamii nyingi zinazozungumza Kiswahili, maneno "shikamoo" na "marahaba" yamekuwa sehemu ya mawasiliano ya kila siku, hasa kati ya vijana na wazee. Lakini ni muhimu tutafakari upya historia na maana halisi ya maneno haya. Je, ni heshima au ni mabaki ya utamaduni wa utumwa? Je, matumizi yake...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kiswahili kibovu

    Baadhi ya habari zinazoandikwa humu zinashangaza Sana. Hivi siku hizi kiswahili hakifundishwi mashuleni? Fikili badala ya fikiri, safili badala ya safiri, Dora badala ya Dola, mahali badala ya mahari nk. Kiswahili gani hicho?
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mfungwa wa mauaji aachiwa huru baada ya kukaa jela miaka 38 kwa mauaji ya Diane Sindall 21 baada ya ushahidi wa DNA kuthibitisha kuwa hakuhusika

    Sio wote walio magereza wana hatia. Uingereza: Peter Sullivan alihukumiwa kwenda gerezani kwa kosa la kumuua mfanyakazi wa bar ( barmaid) Diane Sindall mnamo 1 August 1986. Ushahidi wa DNA umeneosha kuwa hakuhusika Peter Sullivan has murder conviction quashed after 38 years in jail Hearing...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Taja hizo namba 27,000 na 2,007 kwa maneno sahihi ya lugha ya Kiswahili na Kiingereza

    27, 000 20, 007 Wadau hamjamboni nyote? Usitoe maoni unachotakiwa ni kuzitaja hizo namba hapo juu kwa usahihi wa maneno ya kiswahili na kiingereza
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanafamilia wale ambao huwa Mnafiwa tafadhali mkiwa mnahojiwa acheni kuchanganya Kiingereza na Kiswahili kwani Mnaboa japo mnadhani ni Sifa

    Sasa kama mnajua Kuzungumza Kiingereza kwani huwa hamkizungumzi moja kwa moja badala yake mkikwama katika Mahojiano yenu huwa mnarejea katika kuzungumza Lugha ya Kiswahili ambayo naamini ndiyo mnaimudu zaidi na ingeweza kuwafanya mkaeleweka vyema na Waombolezaji kuliko hicho Kiingereza ambacho...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Video : Mtanzania alie mfundisha Tupac kiswahili

    Ni kutoka kwa Yule mwamba mwandishi wa kitabu " SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP: Spiritual Meaning Of Each and Every word that comes from the mouth and voice of Tupac Shakur in the song Hit Em Up". Mwandishi huyu ni Expert wa " The Sacred Art of Spiritual Languages" Na " The Art of...
Back
Top Bottom