kiswahili

  1. GENTAMYCINE

    Kwa wale Mliokuwa mkitaka kujua Tafsida ya neno Kujamba / kwa Kiswahili Fasaha hili hapa

    Tafsida kuu ya neno Kujamba ni Upepo Baridi hivyo kuanzia sasa Mtu akijamba sema Mtu ametoa Upepo Baridi sawa?
  2. Just Pray

    Video: Tazama mwanafunzi mjapani UDSM akiongea kiswahili

    Mjapani Fumiyo Jin mwenye shauku ya kujifunza Kiswahili ili aweze kukalimani Kijapani-Kiswahili
  3. Ally Abdulrahman

    Wakuu hiki kigezo cha " awe amefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili na kingereza Maneno 100 kw dakika 1.

    Habari zenu. Naomba kuuliza kw MTU ambae ana diploma ya Business Administration kw mfano hizi nafasi za mwandish mwendesh ofisi au MTENDAJI ambazo sifa Zake ni Kam ifuatavyo " Mwenye stashahada ya uhazili au Cheti cha NTA level 6 ya uhazili . Aidha awe amefaulu somo la hatimkato ya Kiswahili...
  4. T

    Majaliwa: Mashirika ya ndege yanayokuja nchini huajiri mhudumu maalum anayezungumza Kiswahili lakini waajiriwa wale si Watanzania

    Nimeshangazwa sana na waziri mkuu kushangazwa na wanaoajiriwa kwenye ndege za mashirika ya kimataifa kwa ajili ya kuzungumza kiswahili sio watanzania. Kwa mtazamo wangu nilidhani waziri mkuu angekuja na mpango ambao serikali imefanya kuwafanya watanzania wanaozungumza kiswahili waajiriwe kwenye...
  5. mdukuzi

    Simba iteue Captain Multilingual, Zimbwe hawezi kuwasiliana kwa lugha nyingine zaidi ya Kiswahili

    Kwa vile Simba ina uhakika wa kushiriki michuank ya kimataifa kila mwaka,Captain Zimbwe hatoshi.Waamuzi wengi wanaongea Engliish,Arabic,French or Kiswahili Japo football ina lugha yake. Lakini bado matamshi yana nguvu. Ngoma apewe u captain anajua kiswahili,kifaransa,kingereza na kiarabu...
  6. D

    AI inazidi kuwa bora. Hizi ni baadhi ya nyimbo za kiswahili zilizotengenezwa kwa AI

    Remix ya wimbo wa Goodlucky Gosbert Nipe: Hii lyrics pia ziliandikwa na chatgpt Tupia nyimbo zako ulizounda kwa AI Hii ni IDM but ya kiingereza lyrics zimeandikwa na chat gpt
  7. M

    Mwalimu wa kiswahili na english anahitajika Kagera

    WAdau kuna shule inatafuta mwl wa English na Kiswahili kwa level ya Secondary [F1 -F4]hapa mkoani Kagera, ila inalipa laki 3 pekee Kama unataka nicheki inbob nikuunganishe faster
  8. Fbn

    Mashariki ya kongo au upande wa uliopo wanaongea kiswahili ni kama umekosa kuungwa mkono na kuchekewa na watu wanaosema ni afrika mashariki

    Uwezi kusema kiswahili kipo uganda,rwanda,burundi wala sudani kwa upande wa mashariki ya kongo ila hawa wana kiswahili ambacho utajua kipo tanzania ni kwamba hapa kwenye nchi hizi ndio tatizo. Ili ni taifa ambalo limekosa kujua wa kuwashika mkono sababu ndio wabantu wenyewe. Kwa nini wasomi...
  9. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Waziri wa Katiba na Sheria: Nani amechakachua ibara ya 3(1) ya Katiba ya Kiswahili ya Tanzania ya 1977?

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro Mheshimiwa Waziri, Nimeshangazwa na ombi la baadhi ya makuhani kwa Rais Samia wakitaka awape nafasi za ubunge wa kuteuliwa kutokana na kofia zao za kidini. Nataka kulipinga ombi hili kwa kutumia hoja inayosindikizwa na ushahidi usiokanushika...
  10. HenrysoN

    Tetesi: Jinsi ya Kuandika Tamthilia za Kiswahili kwa Maigizo ya Jukwaani na Redioni.

    Utangulizi Tamthilia ni sanaa ya maigizo ambayo huweza kuwasilishwa jukwaani, redioni, au hata kwenye televisheni. Hapa Tanzania, tamthilia zimekuwa sehemu muhimu ya burudani, elimu, na mafunzo ya kijamii. Ili kuandika tamthilia nzuri, ni muhimu kuelewa muundo wake, mbinu za uandishi, na jinsi...
  11. Yoyo Zhou

    Mkutano wa kujadiliana kwa pamoja fursa mpya kutokana na uchumi wa China wa CGTN Kiswahili wafanyika Nairobi

    Mkutano wa “Kujadiliana kwa pamoja Fursa Mpya kutokana na Uchumi wa China” ulioandaliwa na Idhaa ya Kiswahili ya Kituo cha Kimataifa cha Televisheni cha China (CGTN) cha Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) umefanyika tarehe 6 mjini Nairobi, Kenya. Katika mkutano huo, wataalamu wa masuala...
  12. PamojaTz

    Vitabu kwa lugha ya Kiswahili vinapatikana. Nicheki kwa Whatsap

    Kutokana na uhitaji mkubwa wa vitabu kwa lugha ya kwetu, hatuna budi kuwaletea vitabu hivyo (Softcopy na Hardcopy). Njia ya kuhudumiwa ni kupitia WhatsApp 0737317870 pekee.
  13. hsnaturalfertility

    Hivi wakihubiri kwa kuchanganya Kiswahili na Kingereza ndio neno linaingia zaidi?

    Imezuka tabia ya wahubiri vijana kuhubiri kwa kuchanganya kiswahili na kingereza (broken English) na tabia hii mimi binafsi inanifikirisha sana. Kiufupi nikishajua muhubiri huyu ni mchanganyaji wa lugha huwa siwezi kumsikiliza hata nusu dakika. Sijui ndio ujanja au ndio waumini wanaelewa zaidi...
  14. D

    Maneno maarufu ya Kiswahili yaliyotokana na kukosewa kwa matamashi. Charan Singh - Cherehani

    (1) Cherehan - Charan Singh. Inaarifiwa uyu ndo fundi nguo wa kwanza afrika mashariki na waswahili tukashindwa kutamka jina lake tukawa tuna litamka cherehani. (2) Kariakoo - Carrier Corps. Ofisi za kikosi cha Jeshi la mkoloni Muingereza cha kubebea vifaa vya kijeshi. (3) Ndafu - Mzungu...
  15. Joan lewis

    Mahojiano aliyofanya Askofu Dr. Benson Bagonza kupitia Redio DW Ujerumani

    Kama kichwa kinavyo jieleza, nimepata nafasi Kuskiza matangazo ya Radio DW Leo mchana, Katika matangazo hayo ya Dunia Kuna majukwaa na Mijadala mbalimbali, sasa jukwaa Moja wapo ni meza huru, ambapo Mtangazajo Suddy Mnette, aliweza kumhoji kinagaubaga Baba Askofu kuhusiana na Hali ya siasa...
  16. K

    Kipi Kiswahili fasaha, kwa majina au kwa jina?

    Wadau kuna maneno yanatatiza , Ukifuatilia vyombo vya habari siku hizi kwenye mahojiano, au popote pale kwenye maisha ya kila siku, pindi mtu anapopewa fursa ajitambulishe utasikia anaanza kusema kwamajina naitwa fulani bin fulani, Swali langu kwa wajuvi ipi sahihi kati ya KWAMAJINA AU KWAJINA...
  17. Yoda

    Watanzania imefika kipindi sasa tusizuzuke sana na lugha za Kingereza na Kiswahili kwa wasio Watanzania

    Hii tabia ya kuzuzuka na kusheherekea pale Mtanzania hasa mwanasiasa akijua kuongea Kingereza hata kwa kunyoosha sentesi mbili tu imepitwa na wakati na ni ushamba. Pia wanasiasa wasiojua Kingereza ni vyema wakatumia Kiswahili tu, hakuna aibu kutumia lugha yako unayoimudu vizuri, hakuna haja ya...
  18. matunduizi

    Kwanini Lugha ya wanajeshi huko Congo ni Kiswahili na sio Lugha zao za asili?

    Nimekuwa nikifuatilia Clip nyingi za wanajeshi maporini huko DR Congo asilimia kubwa wanatumia Kiswahili Waasi wanatumia kiswahili Wa DR Congo wanatumia kiswahili Na wengine wengi majirani wanatumia kiswahili. Hawa jamaa wanalugha zao za asili ambzao sio Kiswahili. Kwa nini Kiswahili ?
  19. A

    Mbona huyu Bisimwa kiongozi wa M23 anongea kiswahili fasaha hivi?

    Huyu kiongozi wa M23 kwa nini anaongea kiswahili cha Dar es salaam kabisa? Hiki siyo kiswahili cha Congo. Wacongo kiswahili Chao tunakifahamu vizuri, hiki kiswahili cha huyu jamaa siyo cha wacongoman kabisa. Bado nahisi tuna shida mahali. Tanzania 🇹🇿 tuache mambo ya ujirani mwema...
  20. The Father of All

    Je, Watanzania tumeruhusu Wakenya wasiojua Kiswahili waharibu Kiswahili chetu?

    Kuna maneno yanaanza kuzoeleka kama ya Kiswahili wakati siyo. Utasikia mtu akisema punguza makasiriko. Kiswahili sahihi hakuna makasiriko bali hasira au ghadhabu. Mwingine utasikia akiseme fulani ni mkora akimaanisha mwizi. Wanasema eti kunyampa, kunyanduana na maneno mengine ya ajabu ajabu...
Back
Top Bottom