kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

    Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito. Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa. Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama na kushiriki atuwekee hapa...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kurejea kwa Elia F. Michael, CHADEMA iwe makini

    Hawa vijana waliondoka CHADEMA wenyewe kwa kununuliwa baada ya kushawishiwa , huku wengine wakihamia ccm baada ya vitisho, yeyote anayeogopa vitisho vya watawala hafai kwenye siasa za upinzani. Ninatambua msululu wa wasaliti wanaoomba kurejea CHADEMA, wakiwemo Wakuu wa Wilaya wawili ambao wako...
  3. markp

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumewachagua viongozi hawa kulingana na mfumo wa kisiasa ulivyo nchini

    Unaweza kujiuliza maswali mengi kwa kauli ya mwenyekiti wa CCM ambaye ametoa kauli yenye kuleta maswali kuhusu mfumo wa kisiasa uliopo sasa hapa nchini. Hebu tuangalie kwanza. 1. Nani mshauri wa mwenyekiti wa CCM na rais wa nchi yetu? Ni mshauri pekee anayeweza kuona toafuti ya mifumo ya...
  4. Obugwa Izoba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unajiandalia majuto ambayo hutayasahahau kwenye maisha yako ya kisiasa

    Mhe. Rais wewe ni mzoefu kwenye siasa za Tanzania. Kwa sasa ni kama unatafuta huruma ya wapinzani na unafanya vya kuwafurahisha lakin jua hii kitu itakugharimu Kuachiwa kwa Mbowe, kukutana na Lisu ubeligiji, kujipanga kuruhusu mikutano ya kisiasa nk yote unatafuta kuonekana unajali ila ujue...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kukosekana Utulivu wa Kisiasa na kupaa kwa bei za vyakula duniani

    Bei za bidhaa za kilimo zimekuwa zikifuata mwelekeo wa kupanda kwa sababu ya mwitikio wa serikali duniani dhini ya Covid-19. Bei hizo zilipanda kutokana na vikwazo vya kuuza chakula nje kwa baadhi ya nchi. Lakini mzozo wa sasa kati ya Urusi na Ukraine umepeleka bei kwenye viwango vipya na vya...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wilbroad Slaa: Sina chama tangu nilipojiuzulu Ukatibu Mkuu wa CHADEMA

    “Mimi sina chama chochote, naomba niiweke hii sawa tangu Septemba 1, 2015 nilipojiuzulu ukatibu mkuu wa Chadema, lakini niliweka wazi kuwa katika masuala ya kitaifa, nitatoa kauli yangu, nitafanya hivyo bila uwonga wowote,” Balozi Dkt. Wilbroad Slaa, amesema hayo katika Kongamano la...
  7. econonist

    JamiiForums Tanzania Rais asiwe Mwenyekiti wa chama ili kuleta Ushindani wa Haki wa kisiasa

    Ni muhimu kuwepo sheria ya uchaguzi ambayo itakataza Rais wa nchi ya Tanzania asiwe Mwenyekiti wa chama chochote Cha siasa wakati anagombea na wakati akiwa madarakani. Hii itasaidia Rais kujiweka asilimia Mia moja kwenye Mambo ya serikali na sio chama. Pia itamsaidia Rais kutokupendelea chama...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Video: Suala la Steve Nyerere na Shirikisho la Muziki vita kubwa ya kisiasa nyuma ya pazia

    Sakata la Steve Nyerere kuibua zengwe baada ya kuteuliwa kuwa Msemaji wa Shirikisho la Muziki nyuma yake kuna siasa ambayo inaendelea kuutafuna mgogoro huo. Hii hapa ni video jinsi ambavyo Bushoke ameonyesha wazi kuna tatizo kubwa la kisiasa katika suala hilo. Video: Global TV
  9. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Kilimanjaro wakanusha kumpokea kiongozi yeyote wa kisiasa Machi 19, 2022

    Sisi viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kilimanjaro tumeshangazwa na ujumbe unaosambazwa mitandaoni kwamba tutahusika na mapokezi ya Kiongozi wa Kisiasa . Tunatambua kwamba ujumbe huo ni wa Wanasiasa na wala haujatoka kwetu sisi viongozi wa Dini. Sisi kama viongozi wenu wa Dini tunaendelea kujikita...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mikutano miwili imekuwa kipimo cha kukabili changamoto za kijamii, kiuchumi na kisiasa

    Huku pazia la Mkutano wa 5 wa Baraza la 13 la Mashauriano ya Kisiasa la China likishuka kuashiria mwisho wa mikutano miwili, dunia imeendelea kutambua jinsi vikao hivyo vimekuwa kipimo cha kukabili changamoto za kijamii, kiuchumi na kisiasa, na pia janga la COVID-19 ambalo halijawahi kutokea...
  11. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Ushiriki Huru wa Wananchi Katika Shughuli za Kisiasa Ndiyo Msingi Thabiti wa Utawala Bora

    Ushiriki wa umma katika masuala ya kisiasa na kidemokrasia hauishii kwenye kufahamu tu yanayoendelea, bali wanaoathiriwa na maamuzi wana haki ya kushirikishwa kisawasawa katika mchakato wa kufanya maamuzi hayo. Ushiriki huu ni sehemu muhimu ya utawala wa kidemokrasia. Lengo kuu la...
  12. Stroke

    JamiiForums Tanzania Misamaha ya Kisiasa na hatari ya Taifa lisiloheshimu mamlaka wala kufuata Sheria

    Msamaha ni jambo jema sana kama binadamu na pia ni sehemu ya ibada. Kitabu kitakatifu cha biblia tunasoma maandiko yakisema samehe saba mara sabini ikiwa na maana kwamba msamaha hauna kikomo. Vile vile kitabu hicho kinasema kwamba tuheshimu mamlaka iliyowekwa na Mungu na ya Kaisari tumpe...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Venance Shitindi angefika mbali Kisiasa lakini alijikoroga akakorogeka

    Wakuu Kwema! Wangapi mnamkumbuka Venance Shitindi? Huyu jamaa alikuwa Kiboko, watu wengi walikuwa wakimkubali Sana Kwa misimamo yake isiyoyumbishwa, alitetea wanyonge wasinyongwe, alijihatarisha masomo yake Kwa ajili ya watu. Taikon nilikuwa navutiwa na Siasa za huyu jamaa kipindi tunasoma...
  14. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Kwenye msafara wa Kiserikali wa Rais Dubai, Shaka ana nafasi gani?

    Kuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu, Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara? Mlinzi? Mwekezaji? Mfanyabiashara? Mjasiliamali? Machinga? Kangomba...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Nashauri Rais Samia amteue Dkt. Slaa kuwa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania. Uzoefu wake kisiasa, kukubalika na wapinzani kutambeba

    Namshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dkt. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tuna tatizo, wanachama wetu na wafuasi wengi hawana uwezo wa kupambanua masuala ya kisiasa

    Wengi wa wanachama au wafuasi ni watu wa kushabikia political issues bila kuwa na uwezo wa kufanya analysis na kuchambua mambo. Kwa mantiki hii tufanye usajili makini kupata watu makini. Kila siku tunaaibika na kuonekana watu sio makini. Leo hii ni watu wa kupayuka hovyo. Mfano, tunabeza...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Paskali Mayala, mbona huleti "analysis" ni nini zitakuwa athari kisiasa za uamuzi wowote kesi ya Mbowe?

    Kwa kweli kaka yangu ninakuaminia sana kwa kufanya uchambuzi. Hata hivyo ukimya wako kuhusu kufanya uchambuzi na utabiri wa nini itakuwa athari kisiasa kuhusu uamuzi wowote utakaohusisha kesi ya Mbowe. Kwa mfano kwa sasa tunasubiri iwapo Mahakama itaamua Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu na...
  18. G.Man

    JamiiForums Tanzania Sera ya Elimu Bure ni mtaji wa kisiasa unaopunguza uwajibikaji kwa wananchi

    Mambo vipi, Moja kwa moja kwenye mada. Juzi nikiwa kwenye daladala nikasikia watu wakilaumu Serikali kwamba ''Heri Magufuli alivyo kuwepo, saivi watoto wametakiwa kulipa michango ya kama 22k shuleni'', sikuweza kuchangia neno lakin niliwaza sana, Seriously! mchango kama huo kwa mwaka kwaajili...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, Scholarship ni mbinu ya kutengeneza Vibaraka hasa wa Kisiasa?

    JE SCHOLARSHIP NI MBINU YA KUTENGENEZA VIBARAKA WA KISIASA? Anaandika Robert Heriel. Scholarship inaweza kuwa na maana nyingi, mojawapo ni kumsaidia mtu/mwanafunzi kirasilimali aweze kupata elimu Fulani; Rasilimali hiyo inaweza kuwa Fedha, au mahali pa kuishi(makazi), au chakula, au vitendea...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa Div One za point 7 zinaleteleza GPA 4.5 kule SUA na UDSM. Na zamani tulikwama wapi? Tujadiliane kidogo

    1. Kuna ukweli kuwa mitihani zamani ilitungwa na walimu wakongwe, na sasa NECTA wametunga wenyewe? 2. Usahihishaji unafanyika kwa muda mfupi sana , wameongeza wasahihishaji au wasahihishaji wameongeza speed? 3. Kuna ukweli kuwa wasahihishaji wakimaliza kazi, wataalamu na standardazation...
Back
Top Bottom