kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. olimpio

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anatengenezewa Ajali za kisiasa

    Kwanza nianze kwa kuwapa starter moja muhimu sana maana Watanzania tumeumbwa kukumbuka ya leo, ya jana tunayasahau kirahisi sana. Mnakumbuka Rais Samia alitangaza kuifungua nchi na watu wote tukashangilia? Mnakumbuka alisema atakamilisha miradi yote iliyoachwa na Hayati Magufuli na watu wote...
  2. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uongozi Unaotokana na Utumishi: Hufafanua ukweli na kushukuru

    UONGOZI UNAOTOKANA NA UTUMISHI: HUFAFANUA UKWELI NA KUSHUKURU Imeandikwa na: Mwl.RCT Picha | Kwa hisani ya equita(dot)ie UTANGULIZI Kila wakati tunapofikiria juu ya uongozi, mara nyingi tunawaza juu ya wajibu wa kiongozi kutoa mwelekeo na kuongoza timu yake kwa mafanikio. Lakini je...
  3. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Swala la ardhi ya Bagamoyo ni strategy ya kisiasa tu, lakini kiuhalisia serikali ya Zanzibar haimaanishi kile ilichoongea

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kuna mshituko mkubwa umetukumba watanganyika, hasa kuhusu hili swala la serikali ya Zanzibar kudai kuwa ina eneo lake la ardhi huko wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Kama ilivyo kawaida ya baadhi yetu, huwa hatukurupuki kulalamika bila kufuatilia kwa makini kina cha...
  4. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Kijana ni Taifa la leo. Tukatae kusahaulika na kutumika Kisiasa na Kiuchumi

    Kila nikitafakari hatma yetu sisi vijana naumia kutoiona kesho yetu katika nchi ya ahadi. Kiuchumi tunakabiliwa na ukosefu wa ajira na kisiasa tunaambiwa ni taifa la kesho. Ingawa tuna hussle na maisha lakini hatupo pamoja kiroho na kimwili kupamambania haki zetu kitaifa. Tufanyaje? Kupitia uzi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Naiona Tanzania Mpya yenye Maendeleo na Uchumi imara siku wanasiasa hawa watatu wakistaafu/wakiacha kujishughulisha na maamuzi ya kisiasa nchini

    1. Rais mstaafu, Jakaya Kikwete 2. Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe 3. Mzee Yusuph Makamba Sina mengi sana, kazi iendelee let we trust our beloved Rais Samia atawashauri wafanye maamuzi hayo.
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mbowe anapigiwa saluti kama nani? Kwani akipigiwa saluti ndio CHADEMA mnapaishwa kisiasa?

    Alafu mbona hana ukakamavu kama sisi tuliopitia Jkt?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Usaliti wa kisiasa: Ukraine wameuona zaidi kuliko pengine

    Kwenye kampeni ya kuomba kuchaguliwa kuwa rais Zelensky alisema hivi: “Our first priority is a ceasefire [in Kiev’s war with the Donbass]…I would not hesitate to lose my position for the sake of peace.” Yaani "Kipaumbele chetu cha kwanza ni kusitisha vita (kati ya majeshi ya serikali na...
  8. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Kipi kingetokea kijamii, kisiasa na kiuchumi endapo dunia nzima ingekuwa nchi moja?

    Thread was deleted
  9. Lanlady

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waache kutumia watoto kwenye mikutano ya kisiasa

    Ni kwa nia njema tu katika kulinda haki za watoto. Kwenye picha za mikutano ya chadema utaona idadi kubwa ya watoto pengine kuliko hata watu wazima. Hii si sawa. Akili ya watoto haina uwezo wa kupambanua mambo yanayohusu siasa. Badala yake watawatengezea tu msongo wa mawazo.
  10. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msipo badili mbinu ya kisiasa hamuwezi kushika dola

    Utanzania kwanza 🇹🇿 1. Hamuwezi Kushika Dola kwa kudharau vyama vingine vyenye Nia. Wanyonge huungana kumkabili mwenye nguvu, msiendeshe siasa ya Tanzania kwa kufananisha na Republican na Democrat. Hatujafika huko. 2. Maridhiano mliyopewa ni danganya toto, right? Mngejua kinachozungumzwa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT yamteua Othman kuongoza timu mageuzi ya Kisiasa Zanzibar

    Masoud Othman Masoud ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo upande wa Zanzibar anatarajiwa kuongoza timu ya ACT katika majadiliano ya kukamilisha mageuzi ya kisheria ili kuimarisha haki, umoja na mshikamano. Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT, Salim Bimani...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwa joto la kisiasa lililopo kwenye sekta binafsi; naona baraza la mawaziri likifumuliwa; sekta nyingi zimeyumba

    Tamisemi kuna matatizo mengi sana hasa ulaji wa fedha za miradi..waziri na timu yake bado ajafungua macho kuwaziba midomo wezi. Kwenye biashara napo kugumu wafanyabiashara wameanza kuona giza huko waendako, waziri yupo hana analofanya kurescue situation Kwenye nishati napo speed yakuwapa...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, zikijadili jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii lenye maslahi kwa taifa letu. Makala hizi huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utalitoa wewe mwenyewe msomaji. Makala ya leo ni kuhusu...
  14. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Katika hili mimi nasimama na Mbowe, hakika jamaa kakomaa kisiasa na anaijua vizuri siasa

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kwanza kabla ya kuendelea na mada hii ningependa watu wengi wafahamu kwamba mimi nimeandika mada hii kwa utashi wangu mwenyewe. Sikushawishiwa, sikulazimishwa wala kushikiwa akili na mwanasiasa yoyote iwe wa upinzani, wa CCM au wa kujitegemea. Bali nimeandika hili...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mapinduzi ya Teknolojia ya Digitali yanavyoweza kuleta Maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii

    Salama waungwana, Hakuna anayeupenda, kila mtu anauchukia, Kwa kweli sijawahi kuona hata mtu mmoja anayetaka kuwa Maskini. Kila mtu, jamii na taifa hupigana vita ya umaskini Kwa kila namna wawezavyo. Hii ni kusema vita ya umaskini ni vita inayostahili kuitwa vita kuu ya Dunia. Umaskini...
  16. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Wasiopenda udhibiti wa uandishi wa habari wana malengo ya kisiasa au kibiashara?

    Kila leo utasikia waandishi wa habari wanalalamika kwamba hawana uhuru. Utasikia kila siku wakilalamika kwa sababu wao ndio watoa habari. Usifanye kosa ukadhani hilo ndio tatizo kubwa nchini. Waandishi wakizungumzia kazi yao utafikiri ndio inaleta maendeleo nchini kumbe wengi ni ajira na wengi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nimefedheheka sana na kuamua kuzima Runinga. Yaani walimu wanatumika kisiasa kumpigia kampeni Rais Samia 2025! Huku wamejaa dhiki

    Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda. Eti tayari wameshampitisha Samia 2025. This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu kufuturisha kumetumika kisiasa kuliko kiimani; matajiri na wanasiasa wamejifanya ifta kama kongamano; tupate mwongozo next time

    Nimeona agenda ya kuftarisha imepamba Moto kila Kona huku majina ya viongozi yakitumika....kila kiongozi akiftarisha anamtaja mwenye nchi unajiuliza hizi fedha wametoa wapi? Je NI kweli wametumwa na wanayemtaja? Au uchawa unawasumbua Hadi kwenye Imani? Lakini pia ifta ilipaswa iwe Kwa maskini...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa msitake sifa kwenye mambo ya Usalama kwa misafara ya viongozi!!

    Kuratibu na kulinda misafara ya viongozi si jambo jepesi kama watu wengi wanavyodhani. Kuwa na mazingira wezeshi ya kulinda misafara hiyo pia si jambo la Polimi lai!! Naona watu wengi pamoja na wanasiasa wenyewe wanachanganya kati ya kuwa na misafara mirefu na muda unaotumika kupitisha...
  20. Ahmed Omar_

    JamiiForums Tanzania Juma Duni Haji na Maalim Seif Sharif Hamad; Usawa na Tofauti zao katika Kuyaendea Mapambano ya Kisiasa Zanzibar

    Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad alikuwa kiongozi wa siasa na mapambano ya kisiasa ya kambi ya upinzani Tanzania, ambae alijaaliwa ushawishi mkubwa zaidi kwa upande wa Zanzibar tokea miaka ya 1988 alipofukuzwa katika Chama Cha Mapinduzi na serikali hadi pale umauti ulipomfika, mwezi Februari...
Back
Top Bottom