kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rais Samia kutumia sheria ripoti ya CAG ni bora kuliko uwajibikaji wa kisiasa tuliozoea

    Kwa muda mrefu baada ya kusomwa kwa ripoti za CAG miaka ya nyuma huwa wabadhirifu na wale wote waliotajwa hujificha kwenye kivuli cha uwajibikaji wa kisiasa. "Yaani mhusika anatumbuliwa na mara nyingi inakuwa imeishia hapo na pengine baada ya miaka michache anarejea tena kwenye mfumo." Maagizo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Chama cha Waganga wa tiba asilia Mkoa wa Simiyu, kimegeuka chama cha kisiasa

    Chama cha waganga wa tiba asilia Mkoa wa Simiyu, Machi 12, 2023 kimefanya Uchaguzi Mkuu wa Viongozi wake, ambao watakiongoza chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano. Hata hivyo baada ya uchaguzi huo, swali kwa watu wengi limekuja Je? Chama hicho kimegeuka kuwa cha kisiasa? Tunajua kazi ya...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kenya: Mechi ya Gor Mahia Vs Azam FC yaahirishwa kutokana na vurugu za kisiasa

    Gor Mahia vs Azam SC friendly match scheduled for Sunday 26th March has been called off due to prevailing political uncertainties.
  4. Olaigwanani lang

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ?

    Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ? ------------------ Nimechunguza kidogo kuhusu jambo hili na kiukweli nimethibitisha . Wale wote waliojaribu kuhujumu Chadema Kwa sababu ya Madaraka , fitna , usaliti , uchawi au kwa lolote lile wengi wamekufa na kuzikwa ...
  5. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu nne kwanini wana CCM Uchwara wanaumia sana wakiona Maridhiano ya Kisiasa yananawiri

    Ukweli ni kuwa ndani ya CCM kuna makundi mawili, yaani lile linalokubali Maridhiano ya Kisisa na lile lisilokubali Maridhiano. Kundi hili lisilokubali Maridhiano ya Kisiasa ndio wengi zaidi na wengi wao wamefikia mpaka lugha za kejeli kwa Rais mwenyewe na kama haitoshi wamefikia mpaka kuwakejeli...
  6. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Kwahii kauli ya Rais Samia, Je Hayati Magufuli ndiye aliamua kufuta mikutano ya kisiasa kwa utashi wake au ni CCM?

    "Wakati nasema tufungue mikutano ya hadhara kwenye chama changu kulikuwa kugumu kidogo, mjadala ulikuwa mkubwa kama mnavyofanya nyie, najua juzi Mbowe alikuwa na mjadala mkubwa kwanini mmemuita Rais kwenye hili jukwaa, kwa hiyo mwenyekiti wale wahafidhina wapo kwangu wapo kwako,” ameeleza Rais...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Je, hotuba ya Mwenyekiti wa CCM 08/03/23 italenga kujenga nchi au kujiimarisha kisiasa?

    Mbowe anawaza kujenga nchi Bila kujali madhara kisiasa Kwa chama chake. Amefanya hivyo kila anapoingizwa majaribuni na watawala. Upande wa pili viongoz WA CCM mara zote wamekuwa wakimtumia Mbowe kama mtaji WA kisiasa, kila anapowapa nafasi nakuimarisha ustawi wa nchi wao utumia mwanya huo...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanikiwa kutatua migogoro ya kisiasa

    Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani alikuta nchi iko katika hali mbaya ya kisiasa lakini aliamua kuunda nguzo 4 (4R) ambazo zitamsaidia katika kuiongoza Tanzania ambazo ni Reconcilation (Maridhiano) Resiliency (Ustahimilivu) -Reforms (Mabadiliko) -Rebuilding (Kujenga Upya) Kweli tunaona...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa na watumishi wa umma tafuteni amani na wanasiasa wa CCM walioumizwa na awamu ya Tano

    Naomba radhi kwenye uzi, nitatumia majina ya viongozi ambao naamini wamefutwa kwenye ramani ya siasa si kwa kushindwa hoja, bali kwa matumizi makubwa ya mfumo uliokuwa imejichimbia kwenye shimo la uzalendo. Tuliambiwa matajiri wataishi kama masikini, tukashangilia; huku mataifa yaliyoendelea...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wanachadema tufanye tathimini ya kina. Tumedorora kisiasa, wananchi hawana imani na sisi tena

    Angalia mapokezi kule Mwanza. Mwanza ilikuwa ngome yetu. Mwanza tulikubalika hadi kwatoto leo hii tumepuuzwa. Kanda ya za juu na Nyasa ndio kabisa. Tumekwama japokuwa tunachechemea. Huko Tarime hatuna nguvu tena. Huko Arusha mapokezi ya Lema ni kama Jogging ya machaliii Hii ni sababu kuu...
  11. system hacker

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya siasa za CHADEMA mara baada ya kuruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa

    Kwa kifupi bado wapo hai sana tofauti na ilivyotegemewa. Ila wanachama wao wamechoka sana. Wengine wamekata tamaa kabisa na kuachana na siasa, lakini moyoni bado ni wanachadema. Ingizo jipya? Lipo. Linatoka CCM. CCM inawanyoosha sana wananchi right, left and centre. Hata wale wabishi nao...
  12. USSR

    JamiiForums Tanzania Zitto amsifia Hayati Magufuli kuleta nidhamu ya kazi kwa kipindi chake

    Mwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari. Amekubali kuwa watanzania walitaka Rais dikteta tangu awali kutokana na ufisadi na uzembe kazini ila kwa unyonge sana. Zitto anaumia sana kuona watu hata hao wanahabari bado wanamuona Magufuli kama shujaa anakosa amani...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni kibaraka wa CCM kujinasibu kuwa ana mkakati wa kuwasaisldia watanzania ni utapeli wa kisiasa

    Kibaraka wa CCM aweze kuwasaidia watu dhidi ya CCM? Haiwezekani. 👇
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mbichi na mbivu za uhuru wa shughuli za Kisiasa

    Kuanza kwa shughuli za kisiasa kumekuja na yake. Tayari mwelekeo uko wazi. Mikutano ya CCM, Chadema na CUF imesikika na mwenye macho kaona. Hayapo mashaka tena kuwa Chadema haina cha kufanya na ushoga wala kwamba upo mtafaruku wowote wa kimadaraka chamani. "Chadema inataka katiba mpya, sasa."...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Lissu anasema Rais Samia amebadilisha upepo wa kisiasa

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema baadhi ya mambo yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani 1. Amefanikiwa kubadili upepo wa kisiasa. 2. Anazungumza na wapinzani. 3. Anazungumza na sisi chadema kuhusiana na masuala yote yanayoitatiza nchi yetu. 4...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Upepo kisiasa umebadilika, Lissu aongezewe ulinzi

    Siyo siri tena kuwa tangia kurejea nchini kwa mwanasiasa TAL, hali ya kisiasa nchini imebadilika kabisa. Haipo shaka kuwa huyu ndiye mwanasiasa anayefuatiliwa zaidi kwa sasa hapa nchini na makundi yote. Humo wamo wafuasi wa chama chake na hata wafuasi wa vyama hasimu, chawa na viongozi wao bila...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sabaya siyo mkosaji wa kisiasa ni jambazi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alihojiwa na Dar 24 Media siku chache zilizopia. Akiwa katika mahojiano hayo Lissu amezungumza masuala mengi yanayohusu mwenendo wa kisiasa nchini. Aidha alipoulizwa kuhusu kumchukulia Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Hai, Lengai Ole Sabaya kama Mkosaji wa...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tumpinge Lissu kwa hoja. Kutumia ulemavu wake kama hoja ya kisiasa ni kumwezesha kupata kura za huruma kwa wananchi

    Binafsi sikubaliani kabisa na ushenzi aliofanyiwa Lissu na watu ambao hadi leo hawajajulikana. Lile tukio lilikuwa ovu mno kuwahi kutokea. Mimi naamini katika utawala wa sheria. Kama kuna kosa alifanya basi ilipaswa tu kumfikisha mahakamani na sio kumshindilia marisasi. Kila ninapokumbuka...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kuitwa msaliti, is a curse, inaondoa heshima na hadhi kisiasa!

    Najua wengi mtatukana matusi mengi ila mkashindwa kukubaliana na ukweli! Kokote kule, msaliti huchukiwa na kila mtu, awe mke ama mume akimsaliti mwenzake, huibuka chuki na pengine mgogoro mkubwa ndoa unaanzia hapo na hata kuvunjika kwa ndoa! Watu wengi hawafikii katika hali ya kufunga ndoa na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tabia ya viongozi wa CCM kuwahadaa wananchi kwq kula wali maharage ni ushamba wa kisiasa.

    Watanzania wapo kwenye umasikini mkubwa. Ufisadi umekithiri alafu mnajifanya kula wali maharage
Back
Top Bottom