kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia, nikutakie kila la heri wakati huu mgumu kisiasa

    Natanguliza kumpa heri na pole Mama yetu Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Haya mazonge zonge ya DP World yaliyotokea katika hii miezi karibia minne hivi yanatosha kumchosha mwanasiasa yeyote. Yaliyotokea si bahati mbaya, ni mipango iliyosukwa na hatimaye kupata ridhaa ya Taasisi...
  2. JamiiForums Tanzania Taliban yapiga marufuku vyama vyote vya kisiasa

    Utawala wa Taliban wa Afghanistan Jumatano umepiga marufuku vyama vyote vya kisiasa nchini humo ukisema kuwa ni kinyume cha sheria za kiislamu au Shariah. Tangazo hilo limefanywa baada ya viongozi waliochukua madaraka ya Afghanistan kuadhimisha mwaka wa pili wa tangu kurejesha utawala wao mjini...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia, wananchi hatutaki tena maridhiano ya kisiasa

    Wananchi wengi wa Tanzania tunafuatilia mienendo ya vyama vya siasa kisha tunagundua kwamba waomba maridhiano CDM, ACT, NCCR, CUF, nk, ndio waanzishaji wa vurugu. Tundu Lissu wa CHADEMA kutukana mamlaka ya Rais huku Godbless Lema akidhihaki mamlaka ya Rais. Dkt. Slaa kutukana mamlaka ya Ikulu...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atembelea kaburi marehemu Alphonce Mawazo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameitembelea familia ya aliyekuwa wanachama wa chama hicho marehemu Alphonce Mawazo ambaye aliuawa kwa kukatwa mapanga katika kijiji cha Chikobe Wilaya ya Geita mkoani Geita. Pia soma > TANZIA - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa...
  5. JamiiForums Tanzania Kituo cha ITV wamekuwa waoga sana kuripoti habari za kisiasa

    Wote tunakumbuka miaka ya 2008-2010 jinsi chombo kilivyo kuwa imara katika utoaji wa habari bila upendeleo wa chama chochote cha siasa mengi yaliibuliwa na viongozi wa upinzani TBC nayo ilikuwa kwenye ubora wake kiasi chake chini ya mkurugenzi wake Tido mhando Chombo hichi cha habari naona...
  6. JamiiForums Tanzania Senegal yazuia matumizi ya TikTok kwa lengo la kuwazuia wapinzani wa kisiasa

    Mamlaka ya Senegal imechukua uamuzi huo ikiwa ni katika mwendelezo wa kupunguza nguvu ya wapinzani, siku chache tangu kumweka kizuizini kiongozi wa upinzani. Mgogoro wa kuwania madaraka kati ya kiongozi wa Chama cha Pastef, Ousmane Sonko na Rais Macky Sall umesababisha maandamano ya vurugu na...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Uongo wa kisiasa hauwezi kuficha ukweli kwamba China na Afrika zinatafuta maendeleo pamoja

    Hivi karibuni, mashirika ya Umoja wa Mataifa yametoa onyo tena kuhusu hatari ya baadhi ya nchi zinazoendelea kushindwa kulipa madeni, nyingi zikiwa ni za Afrika. Hivyo baadhi ya vyombo vya habari vya Marekani vinachukua fursa hiyo kurudia tena kile kinachoitwa “mtego wa madeni”. Mathalan...
  8. JamiiForums Tanzania Ipo haja ya misingi inayosimamia uendeshaji wa vyama vya kisiasa kuwekewa mipaka.

    Sheria hutungwa na kuwekwa kama muongozo wetu, ili kulinda maisha yetu sisi binadamu na kudumisha ustaarabu,ikiwepo kutokuvuka mipaka ambayo tunakuwa tumejipangia, #naendelea..
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui

    Tundu Lisu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui. Hana adui wa kudumu na kutokuwa na adui hakujawahi kumfanya awe mnafiki kama walivyo wanasiasa na wanazuoni wengine. Anapotamka wazi kwamba Magufuli hakuuza nchi kwa mikataba mibovu anasema ukweli. Anaposema Mkapa...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Maadili na uwajibikaji ukokotezwe katika utamaduni wa Mtanzania kustaarabisha mifumo ya kisiasa na kijamii nchini

    UTANGULIZI Ukarimu ni mfano mmojawapo wa kete wanayotumia wanasiasa na viongozi wa serikali kusisitiza Watanzania kuuenzi utamaduni wa Mtanzania. Kimsingi ni malengo yetu sote tuufikie ustaarabu wa kijamii ambao binafsi siuoni ukikidhi kikamilifu vipengele vya utamaduni huo. Isitoshe una kasoro...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais ni mtumishi wetu tunapaswa kumkemea, kumkosoa na kumsema. Lazima tushughulike nae kisiasa

    Lissu anasema Rais ni kiongozi wa kisiasa na kama ni kiongozi wa kisiasa, tunapsawa kushughulika nae kama kiongozi wa kisiasa anasema Rais anapaswa kusemwa, kuonywa, kukaripiwa. Anasema kauli aliyoitoa haina tatizo kidogo na anasema kwa nchi yenye sheria na katika hajawai kusikia au kuona...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia nakushauri watose sasa Spika (Tulia) na PM (Majaliwa), sakata la bandari limekumaliza kisiasa!

    Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua. Watu wengi waliokuwa wanamuona Rais Samia kama rais bora wa mfano, kwa...
  13. JamiiForums Tanzania CCM acheni kulalama huku mkijua mnao viongozi wa kisiasa wenye makanisa

    Mama Lwakatare na mbunge wa Kawe wa sasa ni kati ya maaskofu wanaoshiriki siasa na kuongoza wafuasi makanisani! Na viongozi wengi wenye makanisa binafsi ambao hutuambia mungu wao ndiye kamchagua rais na si sisi wananchi! Haya yote hayalalamikiwi. Enzi za Magufuli viongozi wa makanisa binafsi...
  14. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma wakimaliza utumishi wa kisiasa warudi kwenye ajira zao mpaka watakapostaafu

    Kuna sheria ya utumishi wa Umma endapo mtumishi akitoka kwenye ajira yake na kuteuliwa kwenye nafasi kisiasa hata kama bado haja staafu hawezi kurudia ajira yake. Miezi kadhaa kuna mabosi wa Chama cha Walimu walikataa katakata kutoka kwenye ajira zao na kwenda kwenye teuzi. Mimi binafsi...
  15. JamiiForums Tanzania Mhadhiri Chuo Kikuu SUZA: Ili Wanawake washinde Uongozi lazima wazielewe mbinu za kujenga Ushawishi Kisiasa

    Na Gaspary Charles WANAWAKE wenye nia ya kugombea nafasi za uongozi wametakiwa kuelewa mbinu sahihi za kufanya ushawishi katika siasa na uongozi ili kukabiliana na vikwazo vinavyoweza kuwakwaza kushika nafasi hizo katika ngazi mbalimbali. Wito huo umetolewa na mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Kulinda na kuendeleza umoja wa kitaifa wakati wa mageuzi ya kisiasa na kiuchumi ili kukuza utawala bora

    UTANGULIZI Umoja wa kitaifa ni hali ya mshikamano kati ya watu wa taifa. Ni hisia ya kuhusishwa na utambulisho wa pamoja ambao huwaunganisha watu na kuwaleta pamoja, bila kujali tofauti zao za kikabila, kidinii, kiitikadi na kiasili. Umoja wa kitaifa ni muhimu kwa taifa lenye nguvu na ustawi an...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo kwa Rais Samia: Namna ya Kulimaliza Suala la Bandari kisiasa

    Mimi nikiwa Kada wa dhati wa CCM namshauri Mheshimiwa Rais afanye mambo yafuatayo kulimaliza jambo hili kisiasa; 1. Awatumbue Mhe.Waziri wa Ujenzi,Katibu Mkuu wa Ujenzi,Mkurugenzi wa TPA na wengine wote waliohusika kumshauri vibaya kuhusiana na jambo hili. 2. Ahutubie Taifa akieleza jinsi...
  18. JamiiForums Tanzania Bandari yetu imegeuka proganda ya kisiasa ,na itaondoka na wengi

    Nimefuatilia kwa takribani wiki ya tatu Sasa na nimeona jinsi ambavyo swala Hili nyeti la bandari litakavyoondoka na wengi na vingi pia...kwa Sasa tayari swala la katiba mpya limesahaulika...tume huru ya uchaguzi haizingumzwi Tena . Wanasiasa wote wamehamishia vita Yao bandarini ...mahusiano ya...
  19. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha Utawala Bora kwa Kupunguza Ushirikiano wa Kisiasa katika Uteuzi wa Viongozi wa Serikali

    Mfumo wa uteuzi wa viongozi wa serikali umekuwa na changamoto kubwa nchini kwetu. Mara nyingi, uteuzi hufanywa kwa misingi ya uhusiano wa kisiasa au urafiki badala ya uwezo na uzoefu wa mgombea. Hii imepelekea kuwepo kwa viongozi wasio na uwezo wa kusimamia vizuri masuala ya umma na kusababisha...
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Chaguzi za Kisiasa zifanyike Kidigitali (EBS) kuepuka Tuhuma za Wizi wa Kura

    “Electronic Balloting System (EBS)”, ni mfumo wa kupiga kura kidigitali, yaani kwa kutumia vifaa maalum vya tarakilishi. Mfumo wa kutumia tarakilishi katika uchaguzi sii mgeni hapa Tanzania, kwani toka mwaka 2015 Tume ya Uchaguzi nchini ilianza kuutumia kwa kuandikisha na kuhakiki wapiga kura...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…