Taliban yapiga marufuku vyama vyote vya kisiasa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Talibani.JPG

Utawala wa Taliban wa Afghanistan Jumatano umepiga marufuku vyama vyote vya kisiasa nchini humo ukisema kuwa ni kinyume cha sheria za kiislamu au Shariah.

Tangazo hilo limefanywa baada ya viongozi waliochukua madaraka ya Afghanistan kuadhimisha mwaka wa pili wa tangu kurejesha utawala wao mjini Kabul. Tangazo hilo limetolewa na Abdul Hakim Sharaee ambaye ni waziri wa sheria wa Taliban, wakati akihutubia wanahabari mjini Kabul.

Zaidi ya vyama 70 vya kisiasa vilikuwa vimesajiliwa rasmi na wizara ya sheria hadi pale Taliban ilipochukua udhibiti wa taifa hilo lililokumbwa na mapigano miaka miwili iliyopita. Tangu wakati huo, utawala huo umekuwa ukilaumiwa kuminya uhuru wa kutangamana, kukusanyika na kujieleza, kama mbimu ya kunyamazisha wakosoaji, wakati wafuasi wake wakiruhusiwa kuendesha shughuli zao kama kawaida.

Tayari sheria kali za kiislamu zimewekwa kwenye taifa hilo la Kusini mwa Asia baadhi zikiwa ni kupiga marufuku wasichana kuhudhuria masomo, pamoja na kuzuia wanawake wa Afghanistan kufanya kazi au kujitokeza mbele ya umma.

====================

Taliban Ban Afghan Political Parties, Citing Sharia Violations

The Taliban on Wednesday banned all political parties in Afghanistan, stating that such activities are against Islamic law, or Sharia.

The move comes a day after the de facto Afghan leaders marked the second anniversary of returning to power in Kabul.

Abdul Hakim Sharaee, the Taliban minister of justice, announced the ban at a news conference in the Afghan capital, Kabul.

"There is no Sharia basis for political parties to operate in the country. They do not serve the national interest, nor does the nation appreciate them," the minister said without elaborating.

More than 70 major and small political parties were formally registered with the Ministry of Justice until two years ago, when the then-insurgent Taliban reclaimed control of war-ravaged Afghanistan.

The Taliban have since been persistently accused of curbing freedom of association, assembly and expression to suppress critics, allowing only supporters to undertake such activities.

They have since imposed their strict interpretation of Islamic law to govern the impoverished South Asian nation, banning girls from attending schools beyond the sixth grade and barring most Afghan women from work and public life.

Afghan media is also under attack by the new rulers, forcing scores of news channels and outlets to close and hundreds of journalists to leave the country.

The United Nations and other global monitors have consistently decried worsening human rights conditions in Afghanistan and demanded that the Taliban reverse their restrictions on women and civil liberty.

The Taliban seized power on Aug. 15, 2021, as the United States and NATO withdrew all their troops after 20 years of involvement in the Afghan war.

The insurgent takeover prompted prominent Afghan political party leaders and politicians to flee the country, fearing retribution for their association with the U.S.-backed former government.

Many self-exiled Afghan political leaders have since opposed the new rulers in Kabul and called for armed resistance to dislodge them, but they have not received international backing for their campaign.

Foreign countries have refused to recognize the Taliban as the country's legitimate rulers for their treatment of Afghan women and for not involving other ethnic and political groups in running the country.

Torek Farhadi, an Afghan political commentator, said the Taliban follow the example of Gulf countries without political parties.

"What is needed is the participation of women and people from all walks of life to participate in a conversation about the country's future," Farhadi said.

"As much as it can sound politically incorrect, political parties can create unnecessary divisions in Afghanistan today, and that is the last thing the country needs."

The U.N. says years of war and prolonged drought have worsened the humanitarian crisis in the country, where two-thirds of the population need aid.

Source: VOA
 
Hawa wasipokuwa na viongozi mafisadi, wana nafasi nzuri sana ya kuendelea kiuchumi kwa kasi.

Liberal democracy sometimes miyeyusho tu, angalia Ruto anavyohangaishwa na wajasiliamali wa siasa.
Kweli??? Pamoja na kuwanyima wanawake elimu kabisa? Waisalmu naona mungu wenu ni tofauti na yule Mungu tunayemwabudu sisi wengine!
 
Back
Top Bottom