kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Website ya BRELA ni mbovu sana na haendani na ukubwa wake wala teknolojia ya kisasa

    BRELA inatazamiwa kama kitu kikubwa sana na ukubwa wa juu yenye bajeti nzto sana lakini website yake ndio mbovu hivi maandishi yempandiana pandiana kiasi kwamba inatoa user experience mbovu sana. MDAU Je, unafikiri shida ni bajeti ndogo au wataalamu wa website hawana uwezo ? Vitu vimewekwa...
  2. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ulimwengu Umeundwa Mahususi kwaajili ya ku support Uhai kama mtu anavyotengeneza banda kisasa ili kuku wakae ?. Vita kali dhidi ya atheist Ep2

    ‎ulimwengu una mipangilio sensitive kama frequency ya redio ( ambapo ukibadikisha kidogo tu huipati channel hiyo ) ambapo kama ulimwengu ungekuwa tofauti kidogo tu hata kidogo sana uhai usingewezekana kabisa. ‎ ‎Mfano mmoja tu wa kuelewa: ‎Nguvu inayoshikilia atom pamoja inaitwa strong...
  3. Dodo86

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kukarabati nyumba ya zamani iwe ya kisasa

    Habari. Nina nyumba ina vyumba vitatu vta kulala, dining, siting room na public toilet. Nahitaji fundi anayeweza Kuikarabati iwe ya kisasa kidogo maana lengo langu ni kupata master na jiko moja upande mwingine anitengenezee master jiko na sebule kama itawezekana. Ahsante. Eneo liko Dar es...
  4. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Huduma za kutengeneza website kwa uharaka – siku 3 tu!

    Habari wakuu, Natoa huduma za kitaalamu za kutengeneza website kwa biashara, taasisi na miradi mbalimbali. Ikiwa unahitaji website ya haraka, inayovutia na inayofanya kazi vizuri, hii huduma ni kwa ajili yako. ✅ Website yako itakuwa tayari ndani ya siku 3 tu ✅ Inafaa kwa biashara ndogo...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Sakafu Tarazo imara na ya kisasa?

    Tunatoa huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo kwa shule, maghala (godowns), majengo ya biashara na makazi kwa ubora wa hali ya juu. Tunatumia vifaa bora na wataalamu wenye uzoefu Ujenzi imara unaodumu kwa miaka mingi Bei nafuu na makubaliano mazuri Tunazingatia viwango vya ujenzi na usalama 📞...
  6. Rafiki Electrical

    JamiiForums Tanzania Vifaa bora vya umeme vya kisasa, Kariakoo

    📍Rafiki Electrical & Tech Solutions ni solution kwa mahitaji yako ya vifaa bora na vya kisasa vyenye usalama Mkubwa. Tunauza, kusambaza na kutengeneza Vifaa bora vya umeme wa: 🎯Viwanda 🎯Majumbani 🎯Minara n.k Tunapatikana Kariakoo, Narung'ombe na Gogo. Tunatuma Tanzania na nje ya Tanzania...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kitchen cabinet za kisasa kwa bei chee

    kitchen cabinets za kisasa kwa bei chee.. maboss zangu ata ukiwa bado ujahamia tutakutengenezea kisha kuvifunga lailon ili kuzuia vumbi na michubuko ad utapako hamia unakuta kitchen cabinet yako bado mpyaaaaaa inang'aa🔥🔥.. gharama inategemea na ukubwa wa sehem yako ya kabati pia Aina ya material...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa kisasa kwenye kusomesha Watoto shule wanafanana na wauza maduka wa sinza

    Wazazi wa kisasa kwenye kusomesha watoto shule wanafanana na wauza maduka wa sinza. Duka la sinza fremu kodi milioni, decorations za duka zinatumika milioni 10. Halafu mtaji wa bidhaa za kuuzwa dukani thamani yake laki 7 tu. Hivyo hivyo kwa wazazi. Mtoto primary analipiwa ada kwa mwaka...
  9. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu mtambo wa kisasa wa MRI uliopo MOI

  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama kijana wa kisasa achana na haya mazoea ya kiduanzi ambayo yamekuwa ruba kwenye jamii zetu

    Unapoenda kutembelea mtu toa taarifa kwanza, usilalale zaidi ya siku mbili kupelekea kuleta usumbufu hadi unalala na watoto wadogo. Ni aibu katika karne hii bado una unahangaishwa na mambo ya kufikirika. Unashindwa kuchukua risk kisa unahofia upande ambao hauna hata hakika nayo ila unauheshimu...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya AI katika mifumo ya ulinzi yanaweza kuongeza kwa kiwango kikubwa uwezo wa kugundua vitisho

    Jeshi Letu la JWTZ Linatumia Teknolojia ya AI Kuboresha Ufanisi Kwenye Ulinzi? Katika mifumo ya ulinzi ya jadi inayotumia rada za kawaida, changamoto kubwa imekuwa uwezo mdogo wa kuchambua taarifa kwa haraka na kwa kina. Rada za zamani zinaweza kugundua kitu angani au baharini, lakini mara...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Unahitaji sakafu tarazo imara na ya kisasa?

    Tunatoa huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo kwa shule, maghala (godowns), majengo ya biashara na makazi kwa ubora wa hali ya juu. ✅ Tunatumia vifaa bora na wataalamu wenye uzoefu ✅ Ujenzi imara unaodumu kwa miaka mingi✅ Bei nafuu na makubaliano mazuri ✅ Tunazingatia viwango vya ujenzi na...
  13. Luxe Light Craft

    JamiiForums Tanzania Taa za kisasa

  14. Luxe Light Craft

    JamiiForums Tanzania BORESHA MUONEKANO WA NYUMBA YAKO KWA KUFUNGA TAA BORA ZA KISASA

    Luxe Light Craft Wauzaji wa taa za kisasa, zenye muonekano wa kipekee tipo kwaajili yako. Whatsapp +255764379293
  15. Luxe Light Craft

    JamiiForums Tanzania Taa za kisasa zinauzwa

    BADILI MUONEKANO WA NYUMBA YAKO, KUFUNGA TAA NZURI NA ZAKISASA KUTOKA Luxe Light Craft TUNAUZA TAA NZURI KWAAJILI YA NYUMBA YAKO, IWE; HOTELI, HOSTEL, APARTMENTS, OFISI NA DUKA PIA. TAA ZA UKUTANI(NJE NA NDANI), MAPAMBO, TAA ZA FENSI, TAA ZA GARDEN, TAA ZA NGAZI N.K WASILIANA NASI SASA...
  16. Luxe Light Craft

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji taa za kisasa kwa ajili ya Finishing ya Nyumba yako?

    Je, Unahitaji Taa Za kisasa kwaajiki ya Finishing ya Nyumba yako? Luxe Light Craft, tumekuja kwaajili yako. Karibu ujipatie taa bora na za kisasa kutoka kwetu. Tunazo Taa Aina zote! Tunapatikana kariakoo📍 Wasiliana nasi kwa whatsapp namba +255764379293
  17. Hharyson

    JamiiForums Tanzania IPE NYUMBA YAKO MUONEKANO WA KISASA KWA LANDSCAPE KALI KUTOKA KWETU 0624004650

    IPE NYUMBA YAKO MUONEKANO WA KISASA KWA LANDSCAPE KALI KUTOKA KWETU 0624004650 HAPA TUMEHUSIKA FROM DESIGN IDEAS PERGOLA AND OUTDOOR LOUNGE POOL CONSTRUCTION TUPIGIE UPATE KAZI BORA
  18. Rehema Pm

    JamiiForums Tanzania Jiko la kisasa :Pika kisasa na plate nne (2Gas +2umeme)

    Habari wana-JF, Je, umechoka kuchelewa kupika kwa sababu gas imeisha ghafla au umeme umekatika katikati ya maandalizi? Suluhisho limefika! Tunakuletea Jiko la Kisasa (Built-in/Table top) linalounganisha nguvu mbili kwa pamoja: • Plate 2 za Gas: Kwa haraka na ufanisi wa hali ya juu. • Plate...
  19. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wapya 65 watakaohudumu ndani ya treni ya kisasa ya SGR

    Wahudumu wapya 65 watakaohudumu ndani ya treni ya kisasa ya SGR, leo wamehitimu mafunzo yao ya wiki nne tayari kuanza majukumu yao Februari 02, 2026 Mafunzo hayo yaliyolenga kuwapa maarifa na stadi ili kuleta tija, yalijikita katika maeneo mbalimbali hususani katika kuwahudumia abiria kwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Arusha ipo karibu na Nairobi yenye gereji za kisasa; kwanini bado hata matajiri wanasita kununua magari mapya ya Ulaya (0 km)?

    Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika. Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300. kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
Back
Top Bottom