kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania NINATENGENEZA 1. CV International standard (ATS Friendly) - Zinazopita roboti za kisasa zikiwa scanned Bei: 15,000 TZS pekee | Lipa baada ya kupokea

    NINATENGENEZA 1. CV International standard (ATS Friendly) - Zinazopita roboti za kisasa zikiwa scanned Bei: 15,000 TZS pekee | Lipa baada ya kupokea kazi yako 2. Project Proposal & Grant Writing - Andiko la kuomba ufadhili wa miradi (Yatima, Kilimo, uwekezaji n.k) - Bei ya makubaliano...
  2. JamiiForums Tanzania Mfumo wa kisasa wa

    Marekani: Kikosi cha 1 cha Jeshi la Wapanda Farasi kimeanza kupokea magari ya mapigano ya M2A4E1 Bradley yenye Iron Fist, mfumo hai wa ulinzi uliotengenezwa na Mifumo ya Elbit ya Israeli. Magari hayo yanapelekwa Fort Hood, Texas, kulingana na CTech. Elbit anasema mfumo huo umeundwa kuzuia...
  3. JamiiForums Tanzania Vivuli vya Mpakani: Mkasa wa Marubani, Usaliti wa NATO, na Jinsi Matukio ya 2015 Yanavyosahaulika Kwenye Siasa za Kisasa.

    Baada ya ndege ya kivita ya Urusi aina ya Su-24 kuangushwa na Uturuki tarehe 24.11.2015 Urusi ilipatwa na wasiwasi kuhusu marubani wake wawili ambao walifanikiwa kuruka kutoka ndani ya ndege yao wakiwa hai muda mfupi baada ya ndege ya kivita ya Uturuki aina ya F-16 kuishambulia ndege yao...
  4. JamiiForums Tanzania Drones ndiyo silaha kuu ya vita vya kisasa?

    Kwenye vita ya pili ya dunia, mizinga ndiyo silaha iliyoua watu wengi kuliko silaha yoyote. Kwenye vita ya Ukraine na Russia asilimia 70-80 ya vifo na majeruhi yanatokana drones, tena zile drone ndogo ndogo za kuwinda watu zinazoitwa FPV(First Person View). Mwaka huu pekee Ukraine wanatarajia...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia ametoa Boti za Kisasa za Uokoaji na Kuzima Moto huko Ziwa Nyasa

    Boti hiyo yenye injini mbili zenye nguvu ya jumla ya HP 500 na uwezo wa kubeba abiria 12, itaongeza uwezo wa mamlaka kukabiliana na dharura Ziwa Nyasa, kuokoa maisha na kuimarisha usalama wa wasafiri pamoja na shughuli za usafiri majini.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini NHC haivunji vighorofa vya kale vya Upanga (kuanzia Fire hadi Selander) ili kujenga majengo marefu ya kisasa?

    Habari za majukumu Wakuu wa jukwaa hili, Leo ningependa tuguse eneo linalohusu mipango miji, makazi, na uwekezaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) hapa jijini Dar es Salaam. Kama umetumia Barabara ya Morogoro au maeneo ya Upanga, kuanzia makao makuu ya Zimamoto (Fire), kuelekea Upanga...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi wangwana, mtu wa aina na tabia kama hizi anaweza kupewa jina gani zuri katika medani ya siasa za kisasa hususani hapa Tanzania?

    Maana kwake yeye kila mtu alie na maoni au mtazamo tofauti na wakwake basi huyo hajui kitu, lakini pia kila mtu anaefanya majukumu yake vema tu, ila tofauti na apendavyo yeye huyo mtu, eti hawezi kitu, hawezi kazi, na kila mtu alie kinyume nae, hafai ila yeye tu. Mathalani, Ikiwa ni Rais, yeye...
  8. JamiiForums Tanzania Kada wa CCM: Serikali imejenga mochwari ya kisasa yenye vyoo, sio kawaida

    Kada wa CCM ameipongeza Serikali kwa kujenga mochwari ya kisasa yenye huduma za vyoo, akisema ni hatua inayodhihirisha maboresho katika huduma za kijamii. Amesema amefurahishwa na kuona mochwari hiyo ikiwa na miundombinu ya kisasa, ikiwemo vyoo, akisisitiza kuwa ni jambo lisilo la kawaida...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kwa sasa vifaa vya usafi vinavyotumika ni vya kawaida, tumejipa miezi mitatu, wakandarasi watafute vifaa vya kisasa, usafi kufanyika Usiku

    Katika hili tunao wakandarasi, wakandarasi ambao wanafanya kazi ya uondoshaji wa takataka kwenye points mbalimbali. Lakini tunakiri pia kwamba teknolojia pia inayotumika ni teknolojia pia kawaida sana. Mifagio, unaweza ukafagia ama usifagie. Kwa hiyo teknolojia hii bado iko ndogo. Sasa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa kisasa/Diversified Economy

    Hivi kikwazo ni nini kulaza bomba ya gesi na mafuta Dsm kwenda Mza then Uganda, Rwanda na Burundi, kwa nini wengine wanaweza..? Halafu ipo mamlaka ya uwekezaji/TISEZA ukiangalia orodha ya miradi wanayoita ya kimkakati, aina ya mradi km huu haupo..TPDC wako busy kutafuta mafuta wembere.. Halafu...
  11. JamiiForums Tanzania Juzi ijumaa uchambuzi wa mradi mkubwa wa reli ya kisasa kwenye gazeti la uhuru

    📌KUTOKA KUIKUTA IKIJENGWA VIPANDE VIWILI, LEO CHINI YA RAIS SAMIA SGR VIPANDE VYOTE 6 VINAJENGWA NA WANANCHI WAMEANZA KUPATA HUDUMA. Na Bwanku M Bwanku. Juzi Ijumaa Septemba 11, 2026 kwenye Gazeti namba moja kwa ukongwe Tanzania, Gazeti la Uhuru ukurasa wa 14 kuna makala ya Ndugu Bwanku M...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Kariakoo inatufundisha somo moja: Bila Mchina bidhaa nyingi za kisasa zingekuwa za wachache

    Ukitaka kujua mchango wa China kwenye maisha ya Mtanzania wa kawaida, usianzie Beijing, anzia Kariakoo Leo mtu mwenye budget ya kawaida anaweza kuingia dukani na kutoka na bidhaa ambayo miaka kadhaa iliyopita angeiona kama luxury 1. FRIDGE Samsung/LG zikiwa na features za kisasa zinaweza...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Boma linapatikana kwa mauzo – Kimanzichana, Mkuranga

    Wana-JF, boma linauzwa moja kwa moja kutoka kwa mmiliki. Limefikia kozi 11 na lina potential nzuri kwa mwekezaji anayehitaji kuendeleza ujenzi kulingana na matumizi yake. 🏠 Vyumba 5 – 4 Master 🛋️ Sitting Room | 🍽️ Dining | 🍳 Kitchen | 📦 Store 📐 Kiwanja: mita za mraba 19m × 17m na 18m × 14m 💧...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli Nyuma ya Teknolojia za Kisasa

    Zamani zadi ya miaka 2,000 iliyopita, Socrates, mwanafalsafa maarufu wa Kigiriki, alipinga maandishi akidhani yataharibu uwezo wa binadamu wa kukumbuka mambo kichwani. Hofu kama hii imejirudia kila teknolojia mpya inapokuja na uwezo ambao watu hawajawahi kuuona. Internet, radio, upigaji picha...
  15. JamiiForums Tanzania Soko kuu la kisasa bariadi lafikia 48%

    Ujenzi wa Soko Kuu la Kisasa katika Halmashauri ya Mji Bariadi, Simiyu, umefikia asilimia 48, likitarajiwa kuwa na uwezo wa kuhudumia wafanyabiashara zaidi ya 1,000 na kufanya shughuli za biashara kwa saa 24, hatua itakayochochea biashara na uchumi wa mji huo.
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mbogamboga kisasa

    Habari WanaJF Kuna idea nimepata ya kuanzisha kilimo cha mbogamboga kwenye eneo la ekari moja na nusu. Nataka kufanya kisasa kwa mtaji wa 2M. Nimwagilie kwa drip irrigation. Bamia,Chinese, mchicha na spinach ndio mboga nataka kulima. Naomba ushauri kwenye hili kabla sijatupia pesa.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa

    Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa. T-CAMS inaleta uwazi, ufanisi na uhakika wa malipo katika sekta ya uwakala wa forodha, kwa manufaa ya mawakala, waagizaji wa mizigo na Serikali.
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Nyumba za Kisasa Hazina Grill Milangoni?

    Kwanini nyumba za kisasa uwa haziwekwi geti (grill) nazungumzia kwenye mlango wa kuingia sebuleni na mlango wa nyuma fensi inakuwepo na geti moja au mbili Lakini kwenye mlango ya kuingia kwenye nyumba hawaweki grill wakati kwenye madirisha Kuna vyuma vya kutosha. Naamini Kuna mafundi humu...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali imetenga Sh. Bilioni 1.2 kujenga daraja la kisasa la chuma (Mita 30) katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya - Kilosa

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa wameelezwa kuwa watanufaika na Shilingi Bilioni 1.2 zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa ajili ya ujenzi wa daraja la kisasa la chuma lenye urefu wa Mita 30 katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya, mradi...
  20. JamiiForums Tanzania Tunajenga mashimo ya choo ya kisasa yasiyojaa

    Tunajenga mashimo ya choo ya kisasa ambayo hayajai kamwe na hakuna tena kunyonya bei ni laki 8 kwa shimo moja tupigie 0 7 4 3 2 5 7 6 6 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…