Drones ndiyo silaha kuu ya vita vya kisasa?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,771
Reaction score
20,925
Kwenye vita ya pili ya dunia, mizinga ndiyo silaha iliyoua watu wengi kuliko silaha yoyote.

Kwenye vita ya Ukraine na Russia asilimia 70-80 ya vifo na majeruhi yanatokana drones, tena zile drone ndogo ndogo za kuwinda watu zinazoitwa FPV(First Person View).

Mwaka huu pekee Ukraine wanatarajia kutengeneza drones milioni 7 hadi 10! Drones zinafanya hata watu wanyonge warudishe mapigo.

Waasi wa Ethipia juzi wamepiga mji mkuu kwa drones. Huko Mynamar waasi wanatumia drones kupambana na serikali ya kijeshi.

Je drone ndiyo silaha kuu ya vita ya kisasa?
 
droni zimekuwa "game changer" na moja ya silaha kuu na muhimu zaidi katika vita vya kisasa, zikibadilisha kabisa jinsi mapigano yanavyoendeshwa duniani.
Hata hivyo, ingawa droni zinaongoza kwa mapinduzi ya kiteknolojia na ufanisi uwanjani, wataalamu wa kijeshi wanazichukulia kama silaha inayokamilisha mifumo mingine ya kijeshi badala ya silaha pekee inayojitegemea
 
Kweli kabisa mkuu kwa kuwa zinakuwa monitored remotely zinaweza kufanya kazi nyingine kama tracking, scanning na pia kushambulia au kumlipukia adui kwa africa inabidi tuingie kwenye hizi level mambo yakuvunja tofali kwa mkono au kuruka kwenye ndege kwa kamba hayana maana kwa sasa kwenye jeshi letu.
 
Kwenye vita ya pili ya dunia, mizinga ndiyo silaha iliyoua watu wengi kuliko silaha yoyote.

Kwenye vita ya Ukraine na Russia asilimia 70-80 ya vifo na majeruhi yanatokana drones, tena zile drone ndogo ndogo za kuwinda watu zinazoitwa FPV(First Person View).

Mwaka huu pekee Ukraine wanatarajia kutengeneza drones milioni 7 hadi 10! Drones zinafanya hata watu wanyonge warudishe mapigo.

Waasi wa Ethipia juzi wamepiga mji mkuu kwa drones. Huko Mynamar waasi wanatumia drones kupambana na serikali ya kijeshi.

Je drone ndiyo silaha kuu ya vita ya kisasa?
Vifaru zilipendwa
 
Back
Top Bottom