Soko kuu la kisasa bariadi lafikia 48%

Soko kuu la kisasa bariadi lafikia 48%

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
891
Reaction score
775
IMG-20260831-WA0034.jpg


Ujenzi wa Soko Kuu la Kisasa katika Halmashauri ya Mji Bariadi, Simiyu, umefikia asilimia 48, likitarajiwa kuwa na uwezo wa kuhudumia wafanyabiashara zaidi ya 1,000 na kufanya shughuli za biashara kwa saa 24, hatua itakayochochea biashara na uchumi wa mji huo.
 
hamna lolote zaidi ya ujinga wa mafremu ya gsm ...
 
Back
Top Bottom