Hivi kikwazo ni nini kulaza bomba ya gesi na mafuta Dsm kwenda Mza then Uganda, Rwanda na Burundi, kwa nini wengine wanaweza..? Halafu ipo mamlaka ya uwekezaji/TISEZA ukiangalia orodha ya miradi wanayoita ya kimkakati, aina ya mradi km huu haupo..TPDC wako busy kutafuta mafuta wembere..
Halafu wako kimyaaaa km hawapo!