Kilimo cha mbogamboga kisasa

Kilimo cha mbogamboga kisasa

double_d

New Member
Joined
Mar 20, 2025
Posts
2
Reaction score
1
Habari WanaJF

Kuna idea nimepata ya kuanzisha kilimo cha mbogamboga kwenye eneo la ekari moja na nusu.

Nataka kufanya kisasa kwa mtaji wa 2M. Nimwagilie kwa drip irrigation. Bamia,Chinese, mchicha na spinach ndio mboga nataka kulima.

Naomba ushauri kwenye hili kabla sijatupia pesa.
 
Anza na soko la uhakika. Je,Wanunuzi wapo?
 
Ushauri wangu kwako ni huu.

Anza na ulichonacho, usisubiri kiwe 'perfect' ndio uanze. Jambo la msingi hakikisha una maji ya uhakika kwenye samba lako
 
Niulize, hivi Kuna mfumo au mashine ya kuwezesha kufanya mboga za majani zilizovunwa zikae zikiwa fresh bila kusinyaa angalau kwa muda wa siku 7
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom