bless on
JF-Expert Member
- May 22, 2026
- 1,094
- 2,664
Kwanini nyumba za kisasa uwa haziwekwi geti (grill) nazungumzia kwenye mlango wa kuingia sebuleni na mlango wa nyuma fensi inakuwepo na geti moja au mbili Lakini kwenye mlango ya kuingia kwenye nyumba hawaweki grill wakati kwenye madirisha Kuna vyuma vya kutosha.
Naamini Kuna mafundi humu wanaweza kueleza kitaalamu kwamba kwanini milango ya mbao iachwe yenyewe hata kama Kuna uzio na ulinzi wa kutosha Lakini mlango kubaki wenyewe sababu ni ipi haswaa.
Naamini Kuna mafundi humu wanaweza kueleza kitaalamu kwamba kwanini milango ya mbao iachwe yenyewe hata kama Kuna uzio na ulinzi wa kutosha Lakini mlango kubaki wenyewe sababu ni ipi haswaa.