Kisa cha kweli: Tarimo alimlipa Measha Toyota Stout baada ya fumanizi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,213
4,721
Wadau hamjamboni nyote? Hiki ni kisa cha kweli ambacho kilitokea Moshi.

Tarimo na Mwasha walikuwa marafiki wakubwa na wote ni wafanyabiashara, japo Mwasha tajiri zaidi. Mke wa Tarimo ni Daktari Serikalini.

Tarimo akamtongoza mke wa rafikiye. Mke akamwambia mumewe kuhusu jambo hilo na fumanizi likapangwa.

Tarimo akafumaniwa nyumbani kwa Mwasha akiwa uvunguni mwa kitanda. Kwa usalama wake na hii ni baada ya kushikiwa mtutu wa bunduki
akauza gari lake bila kulipwa hata mia moja.
 
Wadau hamjamboni nyote?
Ni kisa Cha kweli kilitokea Moshi

Tarimo na Mwasha marafiki
Tarimo kamtongoza mke wa rafikiye
Mke kamuambia mumewe fumanizi likapangwa.

Tarimo akafumaniwa nyumbani kwa Mwasha usalama wake akauza gari bila kulipwa hata mia
Moshi ina ma-Tarimo wengi
 
Kisheria hilo ni kosa.

Hilo ni fumanizi la kupanga. Tarimo angekuwa na Wakili mzuri angeshinda.
 
Wadau hamjamboni nyote?
Ni kisa Cha kweli kilitokea Moshi

Tarimo na Mwasha marafiki wakubwa na wote wafanyabiashara japo Mwasha tajiri zaidi

Mke wa Tarimo ni Daktari Serikalini

Tarimo kamtongoza mke wa rafikiye

Mke kamuambia mumewe kuhusu jambo Hilo na fumanizi likapangwa.

Tarimo akafumaniwa nyumbani kwa Mwasha akiwa uvunguni mwa kitanda. Kwa usalama wake na hii ni baada ya kushikiwa mtutu wa bunduki
akauza gari lake bila kulipwa hata mia moja
Uzi bora wa mwaka,
Mtoa madaa kaelezea kila kitu.
 
nani mamkwe wako Mkuu ? nikikutumia majini yakubake utanilaumu ?

mimi sijasema Tarimo wanatokea wapi, nilichosema ni sawa na kusema Dar kuna Chacha/Marwa wengi
Basi yaishe nimekufananisha tu mkuu.
Umtumie nani majini yambake?
 
Back
Top Bottom