Huwa namuona chef mmoja anaonekana kwenye kipindi cha jambo Tanzania kila asubuhi kwanye TBC.
Huwa ana jukumu gani? Sijawahi kuangalia hicho kipindi mpaka mwisho, ila kwa myda niliopata kuangalia sijawahi kumuona hata akiwahudumia watu hivyo anavyopikaga.
Mfano leo angalau nimepata nafasi ya...
Je, ulishawahi kuwa na wazo la kufanya biashara au kazi lakini hauna mtaji?
Pengine unahisi fedha ndio changamoto? Usijali, basi upo eneo salama.
Unaweza kujifunza mengi kupitia: Upendokitundu
Pengine wewe ni mwanafunzi au upo nyumbani, unawaza kufanya biashara au mradi ila umepungukiwa...
January 2023
Mwanza, Tanzania
Mahojiano exclusive/maalum na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, Ajenda ya CHADEMA kuanzia sasa 2023 na kuendelea kuelekea mbele
Freeman Mbowe akiongea katika kipindi cha Kinaga Ubaga juu ya safari waliyoanza ya mikutano ya hadhara na pia CHADEMA kutimiza...
Nilichogundua ni kwamba Tanzania ya sasa sio kama ya zamani Tanzania ya Rais Samia Suluhu ni ya amani miaka 5 iliyopita mpinzania alikua nia adui mkubwa wa polisi lakini sasa baada ya maridhiano yaliyofanywa tunaona polisi amerejea kwenye kazi yake ya kulinda amani ya mwananchi.
BEFORE...
Naona siku zinaenda ila mpunga unaenda kwa haraka zaidi
Sasa sijui huu mwezi unaisha kwa style gani, sioni mahali pa kukopa, madeni yaliyopo tayari siyaelewi elewi
majukumu yanazidi..nahisi kudata!
Kwenye ahueni kidogo ni wapi aiseeee?
Mlifanikiwa kweli kweli 'Kuwaokota' Mashabiki wenu wenye Mapungufu ya Asili ya Akili na Kufikiri huku Wakirandaranda Mitaani na Kutamba ujio wake wakati kumbe zilikuwa ni Ndoto za Mchana tu.
Kama kwa sasa tu Mshahara wa Aziz Ki wa Shilingi Milioni 23.5 kwa Mwezi unawatoa Jasho na Mchezaji kila...
Machampioni watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans S.C almaarufu Yanga leo wanashuka dimbani kukabilia na Ihefu katika mwendelezo wa ligi kuu ya Nbc...
Mchezo huo utakuwa mgumu kwa timu zote kwani Yanga wanataka kushinda ili kulipa kisasi cha kuvunjiwa rekodi yao ya unbeaten na...
Habari zenu Wakuu?
Ndugu zangu masika ndio hii mvua zinazidi kushika kasi kwenye baadhi ya mikoa mingi nchini, huu ni wakati sahihi wa kufaidika na mvua zinazoendelea kunyesha kwa kuwekeza kwenye ufugaji wa samaki kibiashara.
Kimsingi kuna aina nyingi sana ya samaki wanaoweza kufugika but...
Haji manara albinoz mjanjaz
Baada ya Manara alipewa adhabu na TFF asingekuwa mjanja tungeshamsahau.
Maana usemaji wake ndio kazi inayomfanya aonekane na kupata dili zingine.
Mbinu yake ya wake wawili inambeba asisahaulike
MIRADI 215 YASAJILIWA KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MIWILI ZANZIBAR-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa wa Mheshimiwa Rais wa awamu ya nane wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi jumla ya miradi 215...
Kimeanzishwa kipindi kipya Cha mjadala katika Televisheni ya EATV, ambacho Kwa mara ya kwanza kilirushwa Jana Jumanne, tarehe 10/02/2023 chenye mada iitwayo Je Siasa safi zinawezekana nchini Tanzania?
Wageni waalikwa katika kipindi hicho walikuwa, mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema, John Heche na...
1. Maria Sarungi (shangazi)- umezaliwa familia Bora, ulikuwa na kila sifa uteuzi lakini ulikataa na kuamua 2022 ulie na wanaolia. Uliwindwa ukakimbia nchi lakini bado haukusita kupambana Kwa ajili ya Haki ya wale wote wanaonekana. Kupitia Maria space ulivuka viunzi vya kuminywa Kwa Uhuru wa...
Mapenzi bado yanaendelea kuwatesa vijana.
Tulikuwa tunaangalia gem ya simba leo jioni Bar fulani ipo Mikocheni ambayo ina Lodge pia. Ndipo tukashuhudia tukio la ajabu sana.
Dada mmoja ambaye baadaye nilikuja kumfaham kwa jina moja tu la Mwantumu amezua tibwili zito lodge hapo baada ya...
Tuendelee na mada zetu za kukera you know how much you know hahahahaha nyie si wazazi wenu si waliamini mjini msingi kiuno? Miaka Ile DDC Mlimani Park walikuwa hawakosekani?
Niwaambie kile kipindi wazazi wa wenzenu walikuwa wananunua Maplot huko kedekede hahahahaha.
Kwangu mimi sina haja hata...
Jamii nyingi za Kiafrika zinasumbuliwa na tatizo ugonjwa wa akili kwasabab nyingi moja ikiwemo.
1. Ukosefu wa lishe bora: Ambapo watoto wanakosa lishe wakina ndani na nje baada ya kuzaliwa ambapo inapelekea kuwepo na changamoto nyingi zinazosababishwa na matatizo ya kukosekana kwa Afya ya Akili...
Kwa wale wa penzi wa vichekesho na burudani.
Bwana Gibson Gathu Mbugua ambae alikua akiigiza kama mwendesha mashtaka Mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani huko Kenya amefariki Dunia.
Kipindi cha Vioja Mahakamani kilikua kipindi cha vichekesho kilichokua kinarushwa na televisheni ya taifa la...
Hawa TBC sio watu wa michezo hawa ni wa kupamba na kusifia serikali na ndio sehemu pekee waliyofanikiwa hadi sasa.
Tamaa na ukiritimba imepelekea kutuhadaa watanzania kuwa wataonyesha mechi za kombe la dunia cha ajabu game inaonyeshwa moja moja tena wakati ambao umeme haupo.
TBC ni wahuni tu...
Hiki ndo kipindi changu pendwa cha TV kwenye BBC Lifestyle channel 174.
Mnakutanishwa watu wanne, tano au sita ambao hamjuani, mnatembeleana kila cku nyumba ya kwanza hadi wa mwisho halaf mshindi anapatika siku ya mwisho anashinda pesa, kaz yenu kupika chakula na kuwapa watu good time nyumbani...
Habari wakuu..Kipindi hiki Cha joto simu zinapata Moto sana.
Hasa hizi simu zetu za tecno yaani Hadi unaogopa kuendelea kuitumia mpaka ipoe hasa ukiwa kwenye mtandao vipi Kuna madhara yanaweza kutokea kwenye machine au injini kiswahili cha simu kinanipa tabu kidogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.