kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ungependa Zuhura Yunus atoke na mkeka kipindi cha Pasaka au baada Eid?

    Tukubali kwamba Rais amekwazika sana na ripoti ya CAG. Nilipomsikiliza akitamka neno stupid nilimkumbuka Rais wa sasa wa Zambia Hichilema alipowaambia Wazambia kwamba, siku anaingia ofisini alikuta majalada yanayomtaka aidhinishe fedha za magari na samani nyingine za ofisi kwa kigezo kwamba...
  2. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya makusanyo ya mapato kwa kipindi cha robo ya tatu (Januari-Machi) mwaka wa fedha 2022/2023

  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wale ambao hamkujenga kipindi cha Kikwete ndiyo muanze kujenga sasa

    Kipindi kile namwambia jamaa yangu nina nyumba 4 hakuamini. Na nyumba za ukweli siyo zile mnasema kakibanda kangu. Yule baba nyie muacheni tu jamani. Watu tulipiga sana pesa. Hakuwa na roho mbaya. Ukiweza jitwalia jitwalie tu. Tulikuwa na miradi bubu mingi, semina, warsha na makongamano ndani...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Magufuli alikosa ujasiri kama wa Museveni kipindi kile Makonda anapambana na mashoga?

    Kama tunavyokumbuka awamu ya 5, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda alianzisha vita kali dhidi ya ushoga. Baada ya muda kidogo vyombo mbalimbali habari nje ya nchi vikaripoti kuwa mashoga hawako salama Tanzania. Serikali ya Magufuli kupitia waziri wake wa mambo ya nje wakasema mashoga...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mabasi Esther Express yaingiza mabasi mapya 19 nchini

    Ndugu zangu naomba nitoea pongezi kwa kampuni ya mabasi Ester Express kwa kusikia kilio cha wasafiri hapa nchini. Kampuni hii imeingiza mabasi mapya ili kurahisisha usafiri hasa mikoani. Hongereni sana.
  6. African Geek

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanaokula kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhan na Kwaresma ni hawana dini au ndo wanajiendekeza?

    Wana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa. Sasa nikawa najiuliza hivi huu mwezi si Waislam na Wakristo funga imetukuta sote kwa pamoja...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Mgeni Maajabu Saba Kipindi cha Mazungumzo ya Familia Radio One adhibitiwe kwa Mapungufu yake yafuatayo

    1. Kupenda kutamka kila mara ( kuwaita Watu ) Wajinga. 2. Kupenda kutumia Maneno ya Kiarabu / Kiislamu Redioni kwani hasikilizwi na Waislamu wenzake pekee. 3. Aache Dharau 4. Aache Ujivuni 5. Aache kudhani kila ambaye bado hajafanikiwa Kimaisha kajitakia au ni Mjinga. 6. Apunguze Sifa zake...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool 7, Manchester 0, je Liverpool ni bora kuliko Manchester kipindi hiki

    Leo mke wa balozi wa nyumba kumi wa mtaa wa CHIMBA UNYE kapata umbea wa mkazi mmoja mgeni aliyekuja kuwatembelea nyumbani kwao. Pamoja na udhaifu wa mgeni hasa katika kuficha siri zake, mwenyeji wake (balozi) amemuadithia mke wake mambo yote aliyomfanyia na kuambiwa kwa siku SABA na mgeni...
  9. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea leo Sports Xtra ya Clouds FM, bado kuna mtu anaamini mchezo unaoitwa Mchongo Pesa?

    Karibuni wanajamvi tushee hii stori. ====
  10. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Nimeota Simba atapigwa 5 ila atafanikiwa kurudisha kipindi cha pili, Sijajua ni kati ya Horoya au Raja Casablanca

    Wakuu, Hii ndoto nimeota mtu kapigwa 5 then zikarudi kwenye secons half, Japo sijajua ni mpinzani yupi kati ya Horoya au Raja Casablanca. NB: Ni ndoto tu, No guarantee.
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Hatimaye kipindi cha theluji kimeisha Ukraine, ndio kete aliyokuwa amebaki nayo Mrusi

    Urusi ilitegemea kutumia musimu wa baridi kali yenye theluji ili ijaribu kuiparamia Ukraine, ikapiga miundo mbinu ya umeme kwa kutumia mizinga ya kila aina, ila Ukraine wamekomaa mpaka musimu umeisha huku Mrusi akiwa ameganda anapambania kamji ka chumvi huko mbali Bakhmut. === Kyiv said that...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tuache minyanduo na mahitaji ya mbususu kipindi hiki cha Kwaresma na mfungo wa Ramadhan.

    Ibada ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku. Nichukue fursa hii kutoa Rai na kuomba mabaharia wote na kauli mbiu zetu tugutuke kuelekea kwenye crisis ya upatikanaji wa mbususu. Tuchukue sample zetu kadhaaa walau nne na kuweka fungu la pesa kwa ajili ya kuwasitiri na kuwatunza kama...
  13. Half american

    JamiiForums Tanzania Nifunge nini Kwaresma? Mambo ya kufunga kipindi cha Kwaresma

    Wale tuliokua tunajiuliza tufunge nini majibu haya hapa. Funga huzuni upate furaha, Funga ulabu upate siha, Funga majivuno upata utukufu, Funga uzinzi upate wongofu, Funga kisirani upate utakatifu, Funga umbea upate fanaka, Funga wivu upata baraka, Funga unafiki upate uchaji, Funga kinyongo...
  14. Mtuturas

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali, taasisi futurisheni kipindi cha mfungo wa Kwaresma

    Imekuwa kawaida kipindi cha Mfungo wa ramadhani viongozi wa serikali, taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kufuturisha. Sasa basi ili kuondoa dhana ya upendeleo au double standard ni vyema basi katika kipindi hiki cha Mfungo wa Kwaresma basi futari ikaandaliwa pia na taasisi hizo. Ni...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nashangaa niliwezaje kujenga kipindi cha Hayati Magufuli lakini awamu ya sita najaribu mambo hayasomeki

    Kipindi cha Magufuli cha awamu ya tano pamoja na madili kuwa magumi lakini kilichopatikana kilifaa hadi nikajenga nyumba si haba Nashukuru Mungu. Siyo kujenga tu hata tuvituvitu nilinunua, watoto walikula vizuri, na walipendeza siyo haba. Maduka yangu ya vifaa vya simu kariakoo niliyafunga...
  16. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Hali inatisha aisee! Yule mc comedian,mchungaji na kuna kipindi aliwahi kuwa mwalimu amechapiwa mke wake muhaya

    Jumapili ya leo ni mwendo wa kugawa upendo kwa yoyote anayetaka connection aje pm na namba yake tu nigawe upendo basi tuendelee wakuu yaani hawa viumbe hawa bwana sio poa kabisa yaani bwana nimechoka kabisa Kuna yule Mc comedian,mgogo, na kuna kipindi alikuwa mwalimu wa shule ya sekondari baada...
  17. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Miradi mikubwa haikuanza kipindi cha Hayati Magufuli pekee

    Habari za weekend wanajukwaa Kumekuwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wafuasi wa JPM kwamba miradi itakufa ama miradi haitofanyika sababu JPM hayupo. Na wengine wameenda mbali sana na kusema hakuna aliyewahi kufanya miradi kama ilivyofanyika awamu ya tano. Hapo chini nimeweka mifano tu ya...
  18. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Hawa wanaohoji hoja kipindi hiki, wangelisimamia hoja zao katika awamu ya tano, ningeliwaelewa

    Kuanzisha mradi ni jambo lingine na kuusimamia ukamilike ni jambo lingine! Nastaajabishwa sana na wale wote ambao hawauoni upiganaji wa waziri wetu wa fedha hasa katika dhamira yake ya kuhakikisha anatumia kila senti katika kumaliza miradi iliyoachwa ambayo mingi ilikuwa chini ya asilimia 15...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Jiwe la Tanzanite lililonunuliwa na Serikali kwa 10 Bilion kutoka kwa Mchimbaji Laizer kipindi cha Hayati Magufuli liko wapi?

    Mada inajieleza. Lile jiwe la Tanzanite limewekwa wapi na linatunzwa na Nani? Kama lipo litahifadhiwa hadi lini? Kama halipo Lili kwenda wapi baada ya kifo cha mpendwa wetu?
  20. T

    JamiiForums Tanzania Jiwe la dhahabu lilokamatwa Kenya na kurudishwa nchini kipindi cha JPM umma ulitangaziwa

    Hivi mnajua nyinyi maccm na vibaraka wa kumchafua mpigania haki na rasilimali za Tanzania kujaribu kumchafua JPM ni sawa na mtu kuweka mguu wake kwenye pango la siafu? Mtu aliyekuwa mkweli kutoka moyoni mwake, sote tunakumbuka ile skendo ya Madini yetu ambayo yalidakwa Kenya na kisha...
Back
Top Bottom