kipi

KDE Image Plugin Interface (usually abbreviated to Kipi or KIPI) is an API that allows creation of application-independent image processing plugins in the KDE project.

View More On Wikipedia.org
  1. Joshua Mbezi

    Kipi Kinachoendelea nyuma ya michakato ya ajira katika Utumishi wa Umma?

    Vijana wengi wamekuwa wakipitia msongo mkubwa wa mawazo wanao sababishiwa na hii sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma na haya ni baadhi ya maswali wanayo jiuliza bila majibu 1; Inakuwaje nafasi za kazi zinatangazwa na watu wanajitokeza kufanya usaili lakini zoezi la kuwapangia vituo...
  2. Tundusami

    Kati ya tako na sura unachagua demu wako awe na kipi?

    Mi nachagua sura nzuri ,demu mwenye sura nzuri msafi nampenda sana kuliko yule mbaya ata kama ana tako kubwa.
  3. DR SANTOS

    Kipi kinakupotezea pesa na kuharibu uchumi wako

    Najua kuna wahanga wa hizi mambo hebu weka kura yako halatu tusaidiane kujinasua
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ukatwe govi bila ngazi au uwe shahidi kwenye kesi ya Lissu ya uhaini. Kipi utachagua?

    Wakuu sikuwahi fikiria kama ushahidi ni kazi namna hii hasa ukiwa ushahidi wa mchongo. Mara 100 nikatwe govi langu kwa shoka tena bila ngazi kuliko kuwa shahidi upande wa mashitaka kesi ya Lissu. Asee naona hali si hali huko kwenye kizimba. Tangu mwanzo wakiwa Live hao police ilionekana wana...
  5. M

    Jose mla Vichwa - Kuna kipi huyu jamaa hawezi kula kama kafikia huku ?

  6. Mshana Jr

    Ni kipi chama pendwa zaidi Tanganyika

  7. Insidious

    Kipi cha kuzingatia wakati wa kununua gari kwa mtu

    Kwema wanajukwaa? Je ni kipi cha kuzingatia pindi unapotaka kununua gari kwa mtu? Kiufundi na masualabya kufanya muamala baina ya muuzaji na mnunuaji.
  8. Mad Max

    Kipi ni Bora kwako: Kununua nguo/kiatu kimoja brand/OG kwa bei kubwa au kununua copy nyingi kwa bei ndogo?

    Wakuu. Upi mtazamo wako kwenye bei inapokuja swala la kununua mavazi, nguo au mikoba nk? Kuna viatu vinauzwa zaidi ya $200 (zaidi ya Tsh 500,000) wakati kiatu iko iko kwa muonekano unakipata Kariakoo kwa Tsh 50,000! Pia kwa mikoba ya brand maarufu kama LV, Gucci, Hermes nk unakuta unauzwa hadi...
  9. Mayova

    Kipi bora kati ya Meta AI na ChatGPT?

    Wazee wa mji naomba kwa uzoefu wenu ipi ni nzuri kati ya Meta AI na ChatGpt kwa kutafuta majibu ya mambo mbali mbali ?
  10. Mayova

    Kipi bora kati ya Meta AI na ChatGPT?

    Wazee wa mji naomba kwa uzoefu wenu ipi ni nzuri kati ya Meta AI na ChatGpt kwa kutafuta majibu ya mambo mbali mbali ?
  11. Nakfa

    Kipi bora Truck Mechanics ama Electronics

    Shalom, Kati ya Truck Mechanics (ass job) na Electronics ipi bora kwa ngazi ya VETA? Na ipi inaweza kuwa na muendelezo mzuri hadi kufikia levels za juu? (Specialisation sio lazima diploma ama degree) Na inawezekana kuhama kutoka Chuo kimoja cha VETA kwenda kingine kwa kozi tofauti? Kwa...
  12. M

    Hivi Tanzania ya Nyerere baada ya Vyama vyingi ilikuwa ndiyo hii au yalifanyika mabadiliko baada ya kifo chake?

    Hii kitu mimi najiulizaga sana kama yeye ni baba wa Taifa ndiyo alituachia inchi ikiwa chini ya Vyama vingi na katiba mbovu hivi? Basi Huko aliko afutiwe sifa zake zote tulizodanganywa kumuhusu yeye
  13. M

    Cheo na Amani kipi bora?

    Nimeuliza hili swali sababu dalili zilishaonekana kama mama alikuwa hapendwi na baadhi ya watu ingawa idadi imeongezeka mara dufu Hivi angeamua kujikalia pembeni kama Majariwa angepungukiwa na nini tofauti anavyoishi kwa kukosa amani ya moyo na kusakamwa na kila mtu?
  14. Fbn

    PostGE2025 Oktoba 29 yaliyotokea, ni kipi kinawapa wasiwasi?

    Hii funika kombe mwana haramu ili azidi kupita naona anapita na watu wengi. Ni nini kinawapa kufunika mpaka kuanza kufunikana wenyewe. Hapa JF tunaweza kuleta mafumbo ili kufikisha ujumbe. Ni kwamba kuficha ukweli dunia isijue kuwa ile nchi ambayo kila kiongozi anatanguliza amani ila...
  15. M

    PostGE2025 Ni sababu gani imefanya maandamano ya D9 kudoda ?

    Alhamdulilah, Tumsifu Yesu, siku ya leo mitaa imetulia Leo tunaweza kuiita ni siku ambayo tumekaa ndani tu kupumzika, huko nje kumetulia. Lakini katika yote haya hatuwezi kusahau kuna maandamano yalipangwa leo D9, ni kipi kimefanya maandamano kudoda.
  16. Dalton elijah

    Kipi Kifanyike Nchini Tanzania Baada ya Vurugu za Uchaguzi na Maandamano Yaliyosababisha Vifo?

    Kufuatia vurugu za uchaguzi na maandamano yaliyosababisha vifo nchini Tanzania, hatua madhubuti zinahitajika kuchukuliwa ili kurejesha amani, utulivu, na kuimarisha demokrasia. Hali kama hii mara nyingi huashiria mgogoro wa kisiasa na kijamii unaohitaji mbinu za kina na shirikishi kushughulikia...
  17. R

    Kipi Bora, kukaa ndani usubiri kutekwa, au kutoka nje kuandamana?

    Salaam! Wanaotekwa na kupotezwa wengi hata SI wanasiasa, Wengine ni wachunggaji, wafanyabiashara,wanahabari, wakulima nk nk. Na ukisikiliza ahadi za wagombea hakuna anayeapa au kukemea vitendo vya utekaji.. Sasa machaguo ni mawili; 1. Kukaa ndani usubiri mlango uvunjwe, wakupoteze ujumla...
  18. Farolito

    Kipimo halali kinachokubalika Tanzania kujipima mwenyewe HIV ni kipi?

    Habari Ni kipimo gani ambacho kinakubalika na serikali ya Tanzania kujipima mwenyewe(self test) virusi vya Ukimwi(HIV) Ukienda kuuliza kwenye maduka ya dawa (pharmacy) hivi vipimo vya kupima kwa kutoa damu wengi wanauza kwa kificho kwa maana hairuhusiwi kumuuzia mtu binafsi. Kuna kipimo cha...
  19. Superbug

    Kati ya haki na amani kipi ni muhimu zaidi na kipi hutangulia kingine?

    Naomba niwaulize hasa viongozi wa dini wa kiislamu na kikristo kati ya hayo mawili kipi huanza ili kingine kifwate. Mfano. Mtu anaiba kura ukikemea unaitwa mchochezi Yani mwizi wa kura anakuwa na haki kuliko yule anayefichua wizi. Ndani ya jamii kuna utekaji na mauwaji ya raia holela...
  20. DYLM future billionaire

    KUJENGA NYUMBA KWA TOFALI ZA KUCHOMA KWA KUTUMIA UDONGO MWEKUNDU,NA KUJENGA KWA TOFALI ZA CEMENT KIPI BORA KIUFUNDI ZAIDI???.

    KUJENGA NYUMBA KWA TOFALI ZA KUCHOMA KWA KUTUMIA UDONGO MWEKUNDU,NA KUJENGA KWA TOFALI ZA CEMENT KIPI BORA KIUFUNDI ZAIDI???.
Back
Top Bottom