kipato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. robbinhood

    Natafuta Idea ya System Itakayozalisha Kipato

    Habari wapambanaji wenzangu, Natumai mko salama. Naomba ushauri na mawazo yenu ya kibiashara. Mimi ni Full Stack Developer mwenye uzoefu wa kufanya/kushiriki project tofauti tofauti ndani na nnje ya nnchi, ikiwemo, Mfumo wa PQCS(Process Quality Control System)– Kenya (AVA & ISUZU), Pia custom...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Vijana wengi hawajui siri hii: Nusu ya kipato chako ndio kiwango cha matumizi yako hayatakiwi kuzidi hapo

    VIJANA WENGI HAWAJUI SIRI HII: NUSU YA KIPATO CHAKO NDIO KIWANGO CHA MATUMIZI YAKO HAYATAKIWI KUZIDI HAPO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Usijesema ooh! Mtibeli bahili. Ooh! Upare umekuharibu Mtibeli. Nope! 2. Hiyo ni siri za pesa ambayo hutaambiwa na watu wengi waliofanikiwa hasa...
  3. B

    Wadada mnavosema mnataka mwanaume wa kuwahudumia, kipato cha huyo mwanaume kiwe ni sh ngapi kwa mwezi?

    Habarini, Kwenye mahusiano mengi sahivi, ya watu wangu wa karibu walionizunguka na mitandaoni pia naona mijadala mingi wadada wakiwa wanataka wanaume wenye hela nyingi ambao sio wabahili. Tuje kwa ground kwenye takwimu zisizo rasmi hasa kwa hii nchi yetu ya ulimwengu wa 3 Wanaume wengi wenye...
  4. G

    Mwanaume jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kipato zaidi ya mara mbili na kuendelea pia akili usiweke pembeni

    Ni ushauri wa Bure Kwa mwanaume anayetaka kubaki kwenye nafasi yake ya uanaume. Ambao mmeamua kuleft siwashangai Wala kuwadharau uanaume ni kazi ngumu sana Huwezi kuambiwa jikaze kimwanamke , jikaze kiume ndo NENO liko Hadi kwenye maandiko
  5. Think2

    Njoo tushare namna ya kutumia silencio voice AI kupata kipato

    Hii app inalipa kama ukifanya kazi zao kwa saa wanalipa 10usdc kujibu maswali yao kwa saa moja tu , kama kuna yeyote anafanya kazi hii naomba tushare mawazo NB; hii kazi lazima ujue kiingereza walau basic english
  6. M

    Kwa bajeti ya milioni 28, nje ya Rav4 kuna gari gani nyingine SUV imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida?

    kwa bajeti ya milioni 28 nje ya rav 4 kuna gari gani nyingine ya juu imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida ?
  7. covid 19

    Ndugu zangu, naomba msaada wenu – tegemeo langu la kipato limesimama

    Natumaini mpo salama. Nimeamua kuleta changamoto yangu hapa kwenu kwa sababu jamii forum ni kama familia, na mara nyingi tumekuwa tukishirikiana na kusaidiana katika nyakati tofauti. Mimi ni mjasiriamali ninayejiendesha kwa kazi ya bajaj, ambayo ndiyo tegemeo langu kuu la kipato kwa ajili yangu...
  8. M

    Aliyejiriwa ni mtumwa aliyefungwa mdomo na mshahara au cheo, ni ajabu kuona mtu asiye na ajira wala uhakika wa kipato akiogopa kujitetea

    Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo. Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
  9. I

    Kama unaingiza kipato kipitia kazi za online, nakuomba nijifunze kutoka kwako

    habari wakuu poleni na mjukumu. Ndugu zangu naombeni msaada kwa wale mnao tumia MB kama chanzo cha mapato. Hapa namaanisha yani wewe ukisha kuwa na MB basi tayari tonge limesha enda kinywani. Naomba unifundishe nipo tayari kujifunza kuwekeza muda nguvu na akili kujifunza. naombeni msaada...
  10. D Metakelfin

    Kujenga na Ujenzi kwa wenye kipato cha chini

    Tuanze na hii hiki ni Chumba kimoja chenye urefu na upana wa futi 14,Kwa 14, chumba kina choo ndani, chumba pia kina jiko ndani jiko la saizi ya futi 4 Kwa 5, apo zimetumika tofari 780, sehem ni kigamboni kibada,,,, maisha ni kuchagua😍😍 Kwa ushauri Bora wa kitaalamu muone Hechy Essy
  11. Brayan_Jk

    Geuza Shamba Lako la Kuku Kuwa Mashine ya Kipato cha Uhakika kwa kutumia Fuga App

    Fuga App inakusaidia kuacha kupoteza fedha, kufuga kuku wenye afya bora, na kugeuza ufugaji wako wa kuku kuwa biashara yenye kipato cha uhakika hata kama umewahi kupata changamoto hapo awali. Pakua Fuga App leo na chukua udhibiti wa shamba lako!
  12. Digital base

    Tengeneza kipato cha Tsh. 500,000 mpaka Tsh. 1,500,000 kwakujiajiri katika biashara hii

    Hello habari ya leo wakuu, hongera kwa mapambano ya kutafuta ajira pasipo Kuchoka licha ya kukosa nafasi Leo nimekuja na wazo la biashara ambalo binafsi nimelifanyia kazi kwa zaidi ya miaka 3 mfululizo na kwa mafanikio makubwa Kama utaamua kuchukua hatua na kulifanyia kazi basi utajikomboa...
  13. D

    Fursa zilizopo Wilaya ya Muheza-Tanga

    Habari Wadau Ni fursa gani za kiuchumi/ biashara zilizopo au zinazoweza kuanzishwa Wilaya ya Muheza?
  14. Nikola24

    Kipato cha Tsh. 3000 kila siku ni poa au napoteza muda na nguvu?

    Niaje? Mimi ni mwanaume, Nina miaka 28 ,Niko single kwa 7bu ya kuogopa majukumu na matatizo zaidi. Kwa kweli siko vizuri kimaisha kuanzia pesa hadi familia.Niko singo na wala sina mpango wa kuwa na mtoto. Kwa siku naingiza sh 3000 tu. Ni kazi ya kuajiriwa ,natumia masaa 8 kufanya kazi. Sasa...
  15. DR HAYA LAND

    Mpaka sasa unaitumia vipi Akili Unde au (AI) katika kukuongezea kipato?

    Wakuu -Je kutokana na ujio wa AI unaitumiaje katika kukuongezea kipato ? Binafsi naitumia kuandika kitabu ambacho kitaelezea MAISHA yangu binafsi na inspiration kadhaa kuhusu MAISHA.
  16. S

    Ni aibu kijana wa miaka 30+ kukosa nyumba, gari na kipato cha kueleweka

    Kijana wa miaka 30+ kukosa kumiliki chombo cha usafiri, nyumba au kipato chako kwa siku ni chini ya elfu 30 ni aibu kubwa mno Ukivuka 30 hutoitwa kijana tena bali utaitwa mzee wa makamo na nguvu za utafutaji zitakuwa zinaelekea ukingoni. Unakuta mtu ana miaka 35 na zaidi ila anaishi maisha ya...
  17. kadiri kasimba

    UTAPELI: njia za kuingiza kipato Kwa kuangalia video tiktok,YouTube na kulipwa!

    Salamu wakuu! Picha linaanza unafatwa kwenye comment labda umechangia mada flani TikTok Kuna Fursa ya kujiingizia kipato Kwa siku kama itakupendeza niandikie neno nifundishe wanaweka na namba ya kumcheki, Sasa ikishamcheki direct atakutumia video nyingi za kukuonesha watu wanavyo ingiza...
  18. Heritage123

    Pesa ya Online: Jinsi ya Kutengeneza Kipato Bila Kuwa na Duka, Mtaji Mkubwa au ‘Connection’”

    Zamani, kupata pesa ilihitaji uanze na mtaji mkubwa, duka la mtaa au hata leseni ya biashara. Sasa sivyo tena. Dunia imebadilika. Leo, unaweza kutengeneza pesa mtandaoni ukiwa nyumbani — hata kwa kutumia simu yako tu. Watu wengi Tanzania wanapata maelfu hadi mamilioni kila mwezi kupitia simu...
  19. N

    Rafiki yangu alinipiga gepu kwa kipato cha laki 9 kwa mwezi wakati naingiza 80K hadi Laki kila siku, Kipato cha kila siku kina ugumu kuweka akiba

    Mnavyoona Mafundi, Madereva, Wajenzi, Wavuvi, Watoa huduma, n.k. wanavyoingiza kila siku kiasi ambcho kwa hesabu za mwezi kinaweza kuvuka hata mshahara wa mtumishi serikalini lakini hawana maendeleo msiwalaumu sana, Ni ngumu sana kuingiza hela kila siku halafu uwe na budget kama ya mtu...
  20. haszu

    Nawezaje kugeuza muonekano kua chanzo cha kipato? Kihalali.

    Genuine question, matusi sio uungwana. Watu wanatumia akili zao, kipaji kuingiza hela. Je kama unamuonekano mzuri, na unatake attention ya watu, unaeezaje kugeuza hiyo attention ya watu kua chanzo cha kipato, kihalali?
Back
Top Bottom