kipato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa kipato ni mbaya sana huua ndoa za watu

    Kipato kwenye familia kisipokuwa sawa hupelekea migogoro na hata wapenzi kukasirikiana na kuachana pasipo kukusudia.Hasira za mara kwa mara pasipo sababu na hata ugomvi.Serikali inatowa tu takwimu za ndoa kuvunjika hawajikiti kutafiti kwanini ndoa zinavunjika.
  2. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi Aggrey ana kazi gani ya kumuingizia kipato mpaka anataka kuoa?

    Wakuu Ebu tumjadili huyu kijana ambaye amereform kutoka kuwa shoga mpaka kuwa kondoo wa Bwana. Huyu jamaa nijuavyo hana kazi yoyote ya kumuingizia kipato.ila nashangaa anajimwambafai eti anataka kuoa. Sasa swali langu huyo mke atamlisha nini?au anataka achapiwe na wahuni arudi kwao Mbeya bila...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna wakati mgumu maishani kama ambao chanzo chako cha kipato kimedorora na huoni njia nyingine ya kujikimu ?

    Kuna wakati mwingine maisha huingia giza, ni pale ambapo shughuli yako kuu inadidimia, kipato kinapungua, na haionekani njia nyingine ya kujikimu. Hali hizi husababishwa na mtu kuzoea kitu flani muda mrefu ila ghafla mambo yanabadilika, Ushindani na ubunifu unazidi sokoni, kitu anachofanya...
  4. Fateema

    JamiiForums Tanzania Kama una kipaji cha U Mc na haujui jinsi ya kupata kipato kupitia kipaji chako waone Maduskodusko Entertainment. Wana manage Ma Mc ( Washereheshaji)

    Wewe una kipaji cha U Mc( Ushereheshaji?) Haujui jinsi ya kupata kipato kupitia kipaji chako? Kama jibu lako ni NDIO basi hii ni HABARI NJEMA Sana kwako. Maduskodusko Entertainment Promotion tuna manage Ma Mc wenye vipaji kwa kuwatafutia events mbalimbali za Ku perform ndani na nje ya jiji la...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini sikukuu ya wafanyakazi watu hawapiki pilau na kunywa vinywaji wakati kazi na Sio dini ndio huwapa kipato?

    Kazi hata kama unalipwa kidogo, ndio inayokuingizia kipato. Sikukuu ya meimosi ulipaswa kutumia kama fursa ya kumshukuru Mungu KWA kukupatia Kazi ambazo wenzako wanazutafuta Hadi damu. Sikukuu za Dini ilitakiwa watu wale kidogo tu na watumie muda mwingi kutubu na kitafakari. Ila hii ni...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nawaelewa ambao Wanaanza kutafuta Pesa ndio wajenge na SIO kujenga ukiwa na kipato kidogo

    Kwanza kupanga sio jambo la ajabu au aibu. US zaidi ya watu wazima Mil 45 wamepanga. Wengi wanalazimisha kujenga wakiwa hawana kipato cha kueleweka wanaishia kuishi nje ya matarajio yao. Unakuta mtu anafanya kazi kkoo anajenga kisarawe kijijini KWA DC Machachari KWA gharama nafuu. Unakuta...
  7. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kwa kipato cha changu cha elf 50 kwa wiki unashauri ninunue gari gani

    Habari nipeni ushauri wakuu
  8. Financial Market 255

    JamiiForums Tanzania Umegundua Jinsi Ya Kupata Kipato Zaidi Kupitia Uwekezaji Katika Hisa?

    Ndugu Mwekezaji Mtarajiwa... Baada ya kusoma ujumbe huu mpaka mwisho, utakuwa na SIRI MUHIMU za kuwekeza kwenye hisa kwa faida kubwa, huku ukiepuka makosa yanayowaangusha wawekezaji wengi. LAKINI… Kabla sijakufundisha mbinu hizi, hebu nikupe STORY FUPI inayoonyesha kwa nini Watanzania wengi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Haji Manara anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato hapo Dar?

    Mimi namuona kwenye mitandao ya kijanii kutwa ni kujimwambafai tu kuwa anamiliki pisi kali,mara wako wanafuturu kwenye mahotel makubwa. Lakini kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya kumpatia pesa za kula bata namna hiyo. Mwenye kujua anijuze tafadhali.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hii ipoje kuhusu mwanaume kuwa na kipato ndio aoe??

    Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu suala la "Wakati gani wa Mwanaume kuoa". Wengi wameenda mbali zaidi na kusema, "Suala la mwanaume kuoa sio umri, bali ni kipato na uwezo wa kuilea familia" Swali: Mwanaume huyo atagundua vipi kuwa kipato chake alichonacho sasa kinamwezesha yeye kuoa?? Ni kipato...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Asilimia 90 ya kipato cha mwanamke hutumika kwa ajili ya familia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, ameungana na wanawake katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kutoa ripoti tatu muhimu zinazobainisha mchango wa wanawake katika uchumi na nafasi za uongozi. Akianza na ripoti...
  12. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: 35% tu ya kipato Cha mwanaume kinafika nyumbani tofauti na 90% ya Mwanamke

    Katika salama zake za siku ya Wanawake Dunia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwanza amewapongeza wanawake wote kwa kuzaliwa wanawake. Pili, David Kafulila amerejelea Utafiti uliofanywa na UNAC ya nchi Marekani uliokuwa na majibu kwamba Wanaume sio...
  13. Mbwichichi

    JamiiForums Tanzania Tangu nifanikiwe kupata kipato cha ndoto zangu nimekua bahili hadi najiogopa

    Mimi Mbwichichi nafahamika na baadhi ya watu humu kutokana na historia yangu ya upambanaji katika kutafuta riziki. Kwa miaka mingi sana nimekua napambana kupata pesa,lakini hustle nyingi za wakati huo zilikua za kupata pesa ya mboga tu…lakini nilikua nina tamaa ya kupata kila kitu,gheto kwangu...
  14. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Website za biashara na mauzo ya maudhui (ingiza kipato)

    1. Website ya ofisi/kampuni/binafsi: Tsh 600,000 - Inakuwa tayari ndani ya wiki mbili. 30 Business emails (mfano: info @ biasharayako . com) Free SSL certificate Up to 50GB storage Unlimited bandwith Up to 2 sub-domains: mfano 👇 Domain: www . biasharayako . com Subdomain. www . huduma...
  15. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza ni familia ngapi zinakula na kunywa kwa kipato kinachopatika Facebook, instagram,whatsapp?

    To be honest Kwa sisi wafanya -biashara tunabidi kumshukuru Sana Mungu na kumuombea maisha marefu mmiliki wa hii mitandao ,Facebook, Instagram na WhatsApp. Familia zetu zinakula na kunywa kupitia hii mitandao Tunauza bidhaa za mamilion , tunanunua bidhaa n.k God bless you makizigibagi.
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni muajiriwa na kipato chako na taarifa zako limited sio lazima uanzishe biashara. Utalia na kusaga meno

    Wengi mnaona biashara ni kama mgodi. Ni heli ukope ujenge kibanda chako uhamie na familia yako, lakini sio ukope uende kuanzisha biashara kama beginner. Labda kama wewe ni mpigaji, unapata pesa za kutosha nje ya system ila wale wenzetu upo chini ya salary na malupu lupu, baba na mama wanauza...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kuweka akiba kwa kipato cha 15000 Kila siku ambayo ni Sawa na 450,000 ni kujitesa!

    Picha linaanza una familia ya watoto wanne na kuendelea 👉Umepanga chumba na sebule 70k-100k kwa mwezi 👉Usafiri wa kazini 3000 Kila siku 👉Chakula 200k (angalau ili upate mlo standard) kwa mwezi 👉Bado umeme(10k), maji 👉Huna malupulupu Kuweka akiba kwa mtu anayeingiza 450k kwa mwezi ni kujitesa...
  18. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli wowote kwamba kipato cha Mwanamke kikiongezeka huwa chanzo cha kuonyesha dharau na kiburi?

    JE KUNA UKWELI WOWOTE KWAMBA KIPATO CHA MWANAMKE KIKIONGEZEKA HUWA CHANZO CHA KUONYESHA DHARAU NA KIBURI? Swali hilo linaweza kuwa na majibu aina mbili ndiyo na hapana kwa wakati mmoja. kwa uzoefu wangu nimewahi kukutana na wanawake wengi sana ambao wanakipato kikubwa sana, elimu,vyeo, umaarufu...
  19. Isenye

    JamiiForums Tanzania Unapiga side hustle gani kukuingizia kipato?

    Mko vizuri wakubwa? Tupeane mbinu za kuishi aisee,tuambiane apart from your permanent job unapiga side hustle gani kujiongezea kipato? Binafsi i did bachelor of Commerce in Accounting chuo flani hapo dar,nikatafuta kazi za fani yangu nikakosa nikaanza kupiga kazi za sales and marketing...
  20. Pyaar

    JamiiForums Tanzania Kipato huongeza uhuru na kujiamini kwa mwanaume

    Ni content but in reality inachoma kama pasi. Poleni wanaume wote mnaopitia khali hii ama zaidi ya hii. Mwenyezi Mungu awaone na kubariki hustles zenu. Happy Friday.
Back
Top Bottom