kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe mpishe Maalim Seif awe kiongozi wa chama

    Hii ni baada ya ACT Ku-Surrender kwa ma CCM. Maalim kwa sasa na kwa nafasi yake anatakiwa ndio awe KC na Zitto atafute nafasi nyingine. Sababu iliyo wazi kabisa ni kuwa Mara baada ya Zitto kukubali kuungana na Seif, ni wazi kabisa Zitto alikubali "kukiuza" chama kwa Seif na kundi lake. Sio...
  2. JamiiForums Tanzania Hata kama inasemwa ameingia kwa kura za wizi, lakini bado ana sifa za kuwa kiongozi bora hapo kisiwani

    Kuingia kwa kura za wizi haina maana kuwa hawezi kuwa kiongozi sahihi. Uharamu wa mchakato hauwezi kubadilisha talanta yake kwa uhakika. Ana hekima, busara, ustaarabu, uvumilivu, anaweza kuchuja kipi aseme na kipi asiseme. Maalim Seif tupo njia panda kwa sababu anamjua huyu bwana uadilifu wake...
  3. JamiiForums Tanzania Wewe Kiongozi Mwandamizi wa Yanga SC unayepanga Kuwapa Ushirikiano Plateau United wakija kuwa Makini sana!

    Leo sikutaji kwani nakustahi sana tu kwakuwa nakujua una tatizo Kubwa la Presha na hilo Tumbo lako Kubwa ila kaa mbali na Plateau United oky?
  4. JamiiForums Tanzania Marekani yaifunga akaunti ya Benki ya Kiongozi wa Hong Kong

    Kiongozi wa Hong Kong, Carrie Lam amefungiwa akaunti yake ya benki baada ya Marekani kumuwekea vikwazo vya kiuchumi, ikimuadhibu kwa kutangaza sheria mpya ya usalama wa kitaifa iliyoamrishwa na China bara. Lam amewekewa vikwazo hivyo pamoja na wenzake 14, wote wakiwa maafisa wa ngazi za juu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe ndiye kiongozi pekee wa upinzani ambaye wabunge wake zaidi ya 20% walihamia CCM

    Kwanini ni CHADEMA tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM. Hebu fikiria katika bunge la 11 zaidi ya 20% ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA walikimbilia CCM, hili siyo jambo dogo kabisa. Hapo CHADEMA kuna biashara gani. Morrison funga hao Nigeria. Maendeleo hayana...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkenya aongoza shughuli za kuwapatanisha DRC

    DR Congo President Felix Tshisekedi (centre), Kenya's former Vice President Kalonzo Musyoka (second right) and other officials in Kinshasa on November 24, 2020. Kenya’s former Vice President Kalonzo Musyoka is attempting to mediate between two wrangling sides in the ruling coalition in the...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti, Katibu Mkuu CHADEMA kigugumizi cha nini sakata la Wabunge wa Viti Maalum?

    Mabibi na mabwana inafahamika kuwa safari kuelekea uhuru haijawahi kuwa rahisi. Wala safari ya kuelekea huko haijawahi na wala haitakuja kupungukiwa wasaliti. Kwamba pana mbunge bungeni anaendelea kujitanabaisha kuwa ni mbunge wa CHADEMA na mko kimya tu? Kwamba kuna watu yasemekana wamekiuka...
  8. JamiiForums Tanzania Donald Trump aridhia kuanza kwa mchakato wa kumkabidhi madaraka Joe Biden

    Donald Trump ametangaza mapema Jumatatu jioni, Novemba 24, kwamba ameridhia ufunguzi wa mchakato wa kumkabidhi madaraka mrithi wake Joe Biden kutoka chama cha Democratic, zaidi ya wiki mbili baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais. Idara ya serikali ya Marekani inayoratibu shughuli ya...
  9. JamiiForums Tanzania Ntabo Ntaberi: Kiongozi wa waasi DR Congo afungwa maisha kwa kutekeleza uhalifu dhidi ya binadamu

    Aliyekuwa kiongozi wa wanamgambo katika taifa la jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu ikiwemo ubakaji wa watu wengi. Mahakama ya kijeshi ilimpata Ntabo Ntaberi na hatia ya muaji, ubakaji, utumwa wa kingono na kuwasajili...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania ni Taifa imara na tuna Kiongozi imara. Hoja za Bunge la EU zinajibika kwa Hoja

    Salaam wana JF, Nianze andiko hili fupi kwa kusema Tanzania ni taifa imara kwa misingi ya siasa, uchumi, utamaduni na utawala bora, Tanzania kama yalivyo mataifa mengine ulimwengu tunayo misingi na taratibu za ndani za kuendesha shughuli zetu za kiutawala kulingana serikali iliyopo madarakani...
  11. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

    Hongera Tanzania kuwa mfano wa kuigwa ulimwenguni Demokrasia yetu ama kwa hakika imekuwa ya kupigiwa mfano kila pembe ya dunia.
  12. JamiiForums Tanzania Utawala Bora hauletwi na Sheria zinazotungwa, utawala bora unaletwa na kiongozi aliyeko madarakani

    Unaweza ukaona kuwa solution ni sheria ama kubadilishwe na katiba,lakini kwa ukweli hasa katiba inaweza kubadilishwa lakini bado mambo yakawa yale yale tu. Hapa tanzania kuna watu wanalalamika kuna jambo hili limefanyika ni kinyume na sheria mara jambo lile ni kinyume na sheriaa.. Hii maana...
  13. JamiiForums Tanzania The Shift of Political Diplomacy to Economic and Security Diplomacy

    Esteemed Great Thinkers There is fast shift of the political diplomacy to economic and security diplomacy in teh current era that Tanzania should not grant a room to be aggressively superseded and call it a junk for fear to be blamed. The country has to vigorously engage in strategic economic...
  14. JamiiForums Tanzania Hongera sana Watanzania wote chini ya uongozi imara wa CCM na kiongozi wetu Dkt. Magufuli

    Hongera sana Watanzania kwa kutuheshimisha na kutuletea maendeleo. Dkt. Magufuli utaendelea kuwa kileleni katika uongozi uliotukuka. Sasa tuna kazi moja kubwa ya kuijenga Tanzania kuelekea kwenye maendeleo ya kweli ya kuwanufaisha Watanzania kutokana na kazi zao. Watanzania tusonge mbele...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwenu viongozi wa dini, Uchaguzi unawahusu pia...

    Amani kwako. Maandiko yanasema. Warumi - Romans 13: 1 Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo imeamriwa na Mungu. 2 Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu. 3 Kwa maana watawalao...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gamanywa: Mungu amemteua Rais Magufuli kuwa kiongozi wa Tanzania, uchaguzi ni utaratibu wa kikatiba tu!

    Askofu Gamanywa amesema kuna watu wanamzushia kuwa yeye ni usalama wa taifa ila kiukweli yeye ni " usalama wa mbinguni" Anasema yeye huwa habwabwaji kwa sababu yuko well informed na ndio sababu anawataka wampigie kura Rais Magufuli kwa sababu ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Askofu Gamanywa...
  17. JamiiForums Tanzania Tuchague kiongozi aliye kubalika na Mungu, kiongozi ambaye hatakandamiza wafanyakazi na NSSF

    Wafanya kazi tumekuwa tunateseka sana, maisha magumu, mishahara haipandi na bado wanavamia mifuko ya kijamii NSSF/PSSSF wanasema mpaka ufikishe miaka 55, huo ni onyonyaji, kodi za serikali zinakatwa PAYE, kwa kila mfanyakazi. Lakini bado mnataka hadi NSSF/PSSSF, Huu ni uonezi, ubabe wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Shehe Kishk: Kiongozi anapaswa kuwe ni mtu wa Amani, mwenye Afya njema na akiba ya Chakula!

    Shehe Kushk wa Jumuiya ya Temeke amesema kwa mujibu wa Qur'an tukufu Kiongozi wa kutawala duniani anapaswa kuwa na sifa kuu tatu, ambazo ni: 1.Mtu wa Amani 2. Mtu mwenye Afya njema 3. Mtu mwenye akiba ya Chakula Kiongozi wa ngazi yoyote anapaswa kuwa na sifa kuu hizo tatu ili aweze...
  19. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kiongozi wa CCM Njombe amnadi mgombea udiwani wa CHADEMA waziwazi mbele ya umati

    Haijawahi kutokea
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Kauli ya Sheikh Ponda yakanushwa na wahadhiri wa Dini ya Kiislam

    Masheikh wakanusha kauli ya Issa Ponda kuwa waislamu walikubaliana kumpigia kura Lissu. Sheikh Ponda Issa Ponda alisema hayo alipokuwa Dodoma akimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Atipas Lissu. Soma pia > Uchaguzi 2020 - Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…