Kiongozi Mkenya aongoza shughuli za kuwapatanisha DRC

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,748
48,371
1.jpg

DR Congo President Felix Tshisekedi (centre), Kenya's former Vice President Kalonzo Musyoka (second right) and other officials in Kinshasa on November 24, 2020.

Kenya’s former Vice President Kalonzo Musyoka is attempting to mediate between two wrangling sides in the ruling coalition in the Democratic Republic of Congo.

Kalonzo, also a former Foreign Minister in Kenya, arrived in the DRC on Tuesday evening and went into separate meetings with former President Joseph Kabila, and later with his successor Felix Tshisekedi.

Sources in the Kinshasa State House told The EastAfrican that Kalonzo had arrived in the DRC as a "special envoy of Kenya" to try and help steady the ruling coalition.

He met with Kabila at his Kingakati farm on the outskirts of Kinshasa and later President Tshisekedi at the State House in Kinshasa. He was accompanied by Dr George Masafu, Kenya’s Ambassador to the DRC.

His Twitter feed later confirmed the meetings, but only said he had held “discussions” with the two leaders, without going into details about what was discussed.

Hahaha, hapa linatumika neno "Mkenya", ila lingekuwa ni jambo baya lingetumika neno " waafrika au East Africa".
 
Kalonzo has always been a good mediator. Yeye pia alisaidia kupatanisha viongozi wa South Sudan.
 
Ww ndo mkenya haswaa. Maana sifa mojawapo wa wakenua meno ni hio..arrogance. Selfish, uchafu na mengine malizia. Wenzako wanajitaid kutoka unawaona wamekosea..pure kenyan congole zako
Kabisa. Real arrogant, proud Kenyan who says what he means and mean what he says. Hapo pa uchafu ndio umekosea because Kenyans are way cleaner than Tanzanians. Only Rwandese are cleaner than Kenyans in this region. Hapo pa selfish pia umekosea maanake Kenyans are the most generous in the region ndio maana munaleta huku ombaomba wenu. Msikie mwanadada wenu akisema Kenyans are generous and Tanzanians are selfish. Jump to 2.26 and listen.

Haiya, huyu ni Mtanzania kweli, sijapata kuona Mtz so outspoken, frank, open and brilliant, sema kwa hilo la yeye kusema sisi tuko rude, ni ile kwamba tumelelewa kwenye makuzi tofauti, wao ndani ya Ujamaa ambapo unakuta kwa mfano Mtz anaweza akakusalimia mara kumi kwa siku, yaani kila mkipishana lazima usikie "za tangu" - aidha za tangu asubuhi, za tangu mchana, za tangu, za tangu za tangu.

Tatizo hizo za tangu, hauwezi ukamjibu hali ilivyo maana hatakusaidia, kwa mfano ukimwambia umefulia huna hela (si amekuuliza za tangu) sasa badala akusaidie ataona kama "rudeness" kumpa jibu ya hali yako, inabidi umwambie njema tu, yaani eti huo ndio ustaarabu, na kama vipi atakutangaza hadi basi ikitokea umemjibu ukweli wa hali yako ilivyo.
 
In life, mimi nikikutana na mtu friendly saaana ama mtu salamu zake ni zile za, 'mimi ni bro/sister so and so nimeokoka na Yesu ni bwana' naichukulianga kama red light. Yaani from life experience, the people who try to sound nice and harmless wanakuanga watiaji na wanajaribu kuficha kitu. But ule msee anakuwanga rude, frank and straight to the point, that's the best person. You'll realize he's honest and with nothing to hide. Hana utiaji, ukimuudhi atakuambia ukweli.
 
Kwa ndugu zetu wa kusini hapo ndio mtihani, kwa mfano Wakenya tumezoea mkiingia kikao kwenye ukumbi wa boardroom, mnaambiana kila kitu kama kilivyo, hamna kuremba, hamna kupepesa macho, hamna cha ushikaji, ikitokea kwa mfano wewe kwenye idara yako ndiye unazuia uzalishaji na ufanisi, unaambiwa humo kama ilivyo na haufichwi wala kubembelezwa. Baada ya kikao, watu wote mnakua marafiki tena kupiga stori za kawaida.

Sasa kwa Wabongo hapo ndio mtihani, kwenye kikao wanakenuliana meno, wanafichana, mtu haambiwi madhaifu yake na ukimuambia atalalamka hadi ukoo wote kijijini watajua jamaa kakosewa kweli. Sasa makampuni yao hupenda sana kuajiri mameneja wa Kikenya, maana Mkenya atakuja na ukali wake na hatacheka cheka, si walishazoea kutusema eti sisi ni roho mbaya, manyang'au wasio na huruma, hivyo hiyo inakupa afueni, hata ukimsuta kwenye kikao hatakua na chochote kipya cha kukusema.
 
Madogo sana haya.

Mi nirifikiri anaongoza kuwaapatanisha Armenia na azbeijan kuhusu eneo la nargonor karabakh,
Kumbe issue yenyewe ya hapo kongo tu
 
Back
Top Bottom