Wewe Kiongozi Mwandamizi wa Yanga SC unayepanga Kuwapa Ushirikiano Plateau United wakija kuwa Makini sana!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,468
108,621
Leo sikutaji kwani nakustahi sana tu kwakuwa nakujua una tatizo Kubwa la Presha na hilo Tumbo lako Kubwa ila kaa mbali na Plateau United oky?
 
Mbumbumbu acheni kuweweseka, mmecheza na timu ambayo haijashiriki mchezo wa mpira wa miguu takribani miezi sita bado mna mchecheto wa kuhujumiwa?

Hakuna mtu wa kuwahujumu uwanjani Ila tutakacho wa fahamisha Plateau, Morison usajili wake unamatatizo na mbakasasa Tff hawataki kutoa ushirikiano kwaiyo wao waanzie Caf sisi tutawapa vielelezo vyote vya namna gani Tff walishirikiana na Simba kumpata uyo Morison kuto ki wa Yanga ambaye Jana alicheza mechi.
 
Mbumbumbu acheni kuweweseka, mmecheza na timu ambayo haijashiriki mchezo wa mpira wa miguu takribani miezi sita bado mna mchecheto wa kuhujumiwa? Hakuna mtu wa kuwahujumu uwanjani Ila tutakacho wa fahamisha Plateau, Morison usajili wake unamatatizo na mbakasasa Tff hawataki kutoa ushirikiano kwaiyo wao waanzie Caf sisi tutawapa vielelezo vyote vya namna gani Tff walishirikiana na Simba kumpata uyo Morison kuto ki wa Yanga ambaye Jana alicheza mechi.
Mipovuuu. Ushindi umekukera
 
Ila Taifa Stars ilicheza miezi 6?
Utetezi dhaifu kabisa.
Yaani Yanga inaweza kushinda mechi ikicheza na team kama Liverpool kisa imekaa miezi 6?
 
Mbumbumbu acheni kuweweseka, mmecheza na timu ambayo haijashiriki mchezo wa mpira wa miguu takribani miezi sita bado mna mchecheto wa kuhujumiwa? Hakuna mtu wa kuwahujumu uwanjani Ila tutakacho wa fahamisha Plateau, Morison usajili wake unamatatizo na mbakasasa Tff hawataki kutoa ushirikiano kwaiyo wao waanzie Caf sisi tutawapa vielelezo vyote vya namna gani Tff walishirikiana na Simba kumpata uyo Morison kuto ki wa Yanga ambaye Jana alicheza mechi.
Sokwe kama sokwe...endelea kubwabwaja..huku MNYAMA anazidu kuchanja mbuga
 
Niwaambie tu hiyo siku mtacheza na yanga na michezo yenu ya ajabu ajabu tunaijua kwahy mikia mtapata tabu sana
 
Walikuwa wanalima mchicha?
Mbumbumbu acheni kuweweseka, mmecheza na timu ambayo haijashiriki mchezo wa mpira wa miguu takribani miezi sita bado mna mchecheto wa kuhujumiwa?

Hakuna mtu wa kuwahujumu uwanjani Ila tutakacho wa fahamisha Plateau, Morison usajili wake unamatatizo na mbakasasa Tff hawataki kutoa ushirikiano kwaiyo wao waanzie Caf sisi tutawapa vielelezo vyote vya namna gani Tff walishirikiana na Simba kumpata uyo Morison kuto ki wa Yanga ambaye Jana alicheza mechi.
 
Mbumbumbu acheni kuweweseka, mmecheza na timu ambayo haijashiriki mchezo wa mpira wa miguu takribani miezi sita bado mna mchecheto wa kuhujumiwa?

Hakuna mtu wa kuwahujumu uwanjani Ila tutakacho wa fahamisha Plateau, Morison usajili wake unamatatizo na mbakasasa Tff hawataki kutoa ushirikiano kwaiyo wao waanzie Caf sisi tutawapa vielelezo vyote vya namna gani Tff walishirikiana na Simba kumpata uyo Morison kuto ki wa Yanga ambaye Jana alicheza mechi.
Huyu ndo mbumbumbu namba 1,nyie kaeni nyumbani,baba yenu kaenda kutafuta
 
Tatizo Kubwa ni Upumbavu wako wa Kuonyesha Kwangu Chuki za wazi wazi lakini cha Kushangaza 24/7 huachi Kutizama ID kujua nimeandika nini.
Napendaga tu matusi yako, Leo una tusi gani jipya unitukane🤣😂.
Nina urefu wa futi 6.2 na wewe ni andunje, nikuchukie ili iweje?
IMG_20201122_080920_9.jpg
 
Mbumbumbu acheni kuweweseka, mmecheza na timu ambayo haijashiriki mchezo wa mpira wa miguu takribani miezi sita bado mna mchecheto wa kuhujumiwa?

Hakuna mtu wa kuwahujumu uwanjani Ila tutakacho wa fahamisha Plateau, Morison usajili wake unamatatizo na mbakasasa Tff hawataki kutoa ushirikiano kwaiyo wao waanzie Caf sisi tutawapa vielelezo vyote vya namna gani Tff walishirikiana na Simba kumpata uyo Morison kuto ki wa Yanga ambaye Jana alicheza mechi.
Clever move.
 
Back
Top Bottom