kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Namungo FC yazuiwa Uwanja wa Ndege Angola

    Namungo FC imezuiliwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Luanda nchini Angola baada ya mamlaka kudai wachezaji watatu na kiongozi mmoja wana virusi vya Corona. Mpaka wakati wa kuandika taarifa hii timu ipo uwanja wa ndege huku utata ukitawala kutokana na mamlaka za nchi hiyo kutaka msafara mzima...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya "paranoia" kwenye uongozi au siasa ni makubwa sana hivyo ni vema tuelewe nini maana ya paranoia na dalili zake ni nini

    Paranoia ni nini? Angalia jinsi dictionary moja ilivyoeleza maana yake; Paranoia: hali/ugonjwa wa akili unaomfanya mtu awe na hofu isiyo ya kweli ya kusulubiwa na watu wengine. Humfanya mtu awe na silka za kupita kiasi katika kutokuwa na usawaziko wa kuona mambo, kufikiri watu hawampendi...
  3. JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya leo kinamhusu kiongozi wa wale 19 walioaposhwa garage

  4. JamiiForums Tanzania Kama ulichapwa viboko na kiongozi ruksa kushtaki

    Kama viongozi wa umma waliowatandika watu viboko hadharani wanadhani suala hilo limeisha au kusahaulika, bila shaka watakuwa wanajidanganya. Hii ni baada ya suala hilo kuibuka juzi wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Sheria na Wakili Mwandamizi Anthony Nasimire aliyezungumza kwa niaba...
  5. JamiiForums Tanzania Umoja ni nguvu: CHADEMA wachangishana fedha ili kumtoa jela kiongozi wao aliyehukumiwa kifungo huko Mwanza

    Ili kuweka kumbukumbu vizuri , Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Kamanda Mwakihaba alishitakiwa kwa makosa ya mtandao baada ya kusambaza taarifa za ofisa kipenyo aliyeonekana karibu na Hospitali aliyolazwa Mh Tundu Lissu jijini Nairobi baada ya kushambuliwa kwenye eneo...
  6. JamiiForums Tanzania Kiongozi gani wa dini anayemshauri...

    ANASHANGAA MHESHIMIWA LISSU KUSHAURIWA NA ASKOFU KWA KUWA HAMJUI ASKOFU ANAYEMSHAURI RAIS MAGUFULI! Ukiongea na Askofu Mwamakula uwe makini sana kwa sababu anatunza kumbukumbu vizuri. Hebu fuatilia mazungumzo yake na mmoja wa viongozi wa dini siku kadhaa zilizopita. Kiongozi wa Dini: Nimesikia...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Zitambue Sifa za Kiongozi bora

    Viongozi huunda mataifa yetu, jamii, na mashirika. Tunahitaji viongozi bora watusaidie kutuongoza na kufanya maamuzi muhimu makubwa ambayo yanafanya ulimwengu kusonga mbele. Kiongozi bora ana sifa zifuatazo:- Maono Kiongozi ni lazima awe na maono ambayo ni tofauti wengine. Lazima awe na uwezo...
  8. JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi yafanya uchaguzi wa viongozi Kitaifa. Martha Chiomba awa Katibu Mkuu, Anthony Komu awa Naibu Katibu Mkuu Bara

    Tarehe 16 Januari, 2021 siku ya Jumamosi chama kilifanya Kikao cha Halmshauri kuu ya Taifa kwenye ukumbi wa msimbazi Center, Jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kilikuwa na ajenda kuu 2 Kufanya tathimini ya uchaguzi wa mwaka 2020 Kujaza nafasi zilizo wazi ndani ya chama. Kwa mujibu wa katiba...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hatutaki Rais Kijana wala Mzee ila tunahitaji kiongozi atakaye heshimu katiba yetu, shida zetu na kutuheshimu Wapiga Kura

    Nimeona nitoe ya moyoni kuelekea 2025 maana kwa Neema za Mungu tukikuwepo basi ningeomba swala la kutuchagulia vijana lisiwe agenda ila agenda iwe ni kumpata kiongozi mwenye busara na anaye heshimu katiba yetu na sheria zetu. Mvumilivu na mwenye kutambuwa sisi Watanzania ni waugwana hivyo...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CCM muangazieni RC Kunenge, huyu baba ni Kiongozi

    Wazee wa CCM na vyombo vya ulinzi na usalama Muangazieni huyu RC wa DSM. Mimi namuona kuwa hazina ya U Rais baada ya Mh Magufuli. Nimnyenyekevu na ana hekima yakipekee sana huyu Mzee.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Diary ya Kiongozi wa Upinzani iliyotibua mambo 2020

    Kuna mengi yatakuja kuwa public lakini litakalowashtua wengi ni ‘Diary’ hii ya kiongozi ambayo ilikuwa ‘funga mwaka’ ya 2020. Wachache mtanielewa kwa sasa lakini funzo kuu ni kuwa uandishi wa taarifa nyeti katika diaries kumewaponza watu ingawa huenda kumeliokoa Taifa. Kuna walioaminika sana...
  12. JamiiForums Tanzania Kiongozi Kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao, nini maana yake?

    Naomba kuuliza, Kiongozi kutumia fedha za umma kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao kijijini maana yake ni nini? 1) Uzalendo 2) Ubinafsi 3) Matumizi mabaya ya Madaraka 4) Ushamba 5) Katiba mbovu 6) Kukosa uadilifu Naomba jibu wakuu! NB: Sijataja jina la mtu
  13. JamiiForums Tanzania Kipi bora kuwa kiongozi wa kisiasa kama Waziri au Rais au kuwa mfanyabiashara mkubwa kama Mengi au Mo?

    Hivi hapa duniani kipi ni kitu cha fahari zaidi kati ya kuwa mwanasiasa na kufikia mafanikio ya kuwa waziri au rais kabisa, na kuwa mfanyabiashara bilionea kama alivyokuwa Mengi au Mohamed Dewji (Mo)? Kuwa kiongozi wa kiasa kuna raha yake, kusafishiwa njia na ving'ora kwa pembeni ukiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Chapa Chapa: Katibu Mkuu Kiongozi yuko wapi?

    Kwanini Katibu Mkuu wa CCM azungumzie na kuonya watendaji wa serikali? Katibu Mkuu Kiongozi kazi yake ni kutangaza watenguliwa na wateuliwa tu? Yeye siyo sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya watumishi wa umma? Wakoloni (Wajerumani hasa) walitumia Sana huu utaratibu wa kuchapa watu wazima pale Bomani...
  15. JamiiForums Tanzania Isaac Maliyamungu: Kiongozi katili katika utawala wa Idd Amin

    UTANGULIZI Isaac Maliyamungu, (aliyekufa Februari 1984) pia anajulikana kama Isaac Lugonzo, alikuwa afisa wa jeshi la Jeshi la Uganda (UA) ambaye aliwahi kuwa mmoja wa maafisa na wafuasi muhimu zaidi wa Rais Idi Amin wakati wa udikteta wa jeshi la Uganda la 1971-79. Mzaliwa wa Zaire...
  16. JamiiForums Tanzania Mwananchi ungeambiwa kuchapa kiongozi kiboko, ungemchapa nani na kwa sababu zipi?

    Wanabodi, Heri ya mwaka mpya wa 2021! Nimekaa kwa muda nikitafakali, kujiuliza na kutafuta majawabu kuhusu mienendo ya viongozi kuwachapa bakora wananchi kufuatia tuhuma mbalimbali dhidi ya wachapwaji. Huenda viongozi hao wana sababu za msingi au hawana - wengine huwachapa bakora wakosaji kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Dkt.H.Mwinyi kumwapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu MPYA wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi ni tarehe 02-01-2021

    Updates :- RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na katibu Mkuu Kiongozi, akichukua nafasi ya Dkt. Abdulhamid Yahya mzee aliestaafu. Hafla hiyo ya kiapo imefanyika Ikulu Jijini...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa dini usihubiri amani ya kisiasa bali hubiri amani ya Mungu

    Ndugu zangu kuna tofauti kubwa kati ya amani ya kisiasa na amani ya Mungu. Amani ya kisiasa inapatikana kwa kufuata sheria zilizomo ndani ya katiba ya nchi. Wakati Amani ya Mungu inapatikana kwa kutii sheria za Mungu na kuyafuata na kuyatii maandiko ya Neno la Mungu. Amani ya Mungu...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ni kipi unafikiri kiongozi wa kisiasa aliyepo madarakani au ameajiriwa anaweza akawahamasisha Wananchi kushiriki maendeleo yao?

    Kwa maoni yangu hapa kuna swali fikirishi, tuna miaka 5 mbele yetu ambayo tunaelekea kumaliza siku 60 toka tumalize uchaguzi. Tulipoanza miaka m5 ya awamu hii tulikuwa na tabia ya kuhesabu siku na kubaini ndani ya siku hizo vitu kadhaa vikiwa vimetekelezwa na kufanyika, kwa kipindi hiki cha...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amemtaka Katibu Mkuu Kiongozi kuwapunguzia mishahara watumishi wote TMAA kwa kufanya kazi ya hovyo

    RAIS John Magufuli amemtaka Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, kuwapunguzia mishahara watumishi wote waliokuwa wakifanya kazi Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA) ambao umefutwa na kuhamishiwa Wizara ya Madini, kwa sababu kazi waliyoifanya wakiwa TMAA ilikuwa ya hovyo Amesema watumishi hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…