kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamshukuru rasmi Rais Samia kwa kuwa kiongozi pekee wa Serikali aliyekwenda Nairobi kumjulia hali Tundu Lissu

    CHADEMA imetoa shukrani rasmi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kitendo cha kumtembelea Tundu Lisu Nairobi hospital alipolazwa baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema Rais Samia akiwa Makamu wa Rais wa Magufuli wakati huo alionesha ujasiri na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwa aina hii ya viongozi wa Wizara ya Habari, Katibu Mkuu Kiongozi ataweza kutekeleza ahadi yake ya kuunganisha Serikali?

    Ngoma aliyopiga Mhe Rais kuhusu Uhuru wa vyombo vya habari imewachanganya wachezaji na kila mmoja anacheza kwa style yake Kama ifuatavyo; 1. Gerson Msigwa alileta barua ndeefu inayotamka vyombo vilivyofungiwa vifunguliwe, Mkurugenzi Ikulu 2. Baadaye kidogo Dr. Abbass akaja na kauli kwamba...
  3. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

    Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi? Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu. Kwa mujibu wa gazeti...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa wajasiriamali Magufuli bus terminal safarini Chato kwa baiskeli ili kumuenzi hayati JPM kwa msaada wake kwa wajasiriamali wadogo

    Ameamua kuendesha baiskeli toka Dar mpaka Chato. Huu ni uzalendo wa kweli.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa: Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi wa kipekee, hata Yesu alihubiri Injili kwa miaka mitatu tu!

    Askofu Malasusa wa DMP amesema kinachoangaliwa siyo wingi bali ubora wa kazi uliyoifanya hapa duniani na kwamba hayati Magufuli amehudumu kwa muda mfupi kama Rais lakini kazi zake ni nyingi na bora. Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi wa kipekee barani Afrika. Askofu Malasusa amesema hayo...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano wowote kati ya kuwahi kuuishi umaskini na kuwa kiongozi bora wa kuwaongoza watu kuondokana na umaskini?

    Mara kadhaa nawasikia viongozi wetu wakitamba kwamba wameuishi umaskini wa watanzania hivyo wanajua cha kufanya ili kuwatoa watanzania kwenye huo umaskini. Ndipo najiuliza kwani aliekulia maisha ya kitajiri hawezi kuwaongoza watanzania kujiapatia maendeleo?
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kila mwenye nia ya Urais 2025, aache mara moja

    RAIS SAMIA AAWAAPISHA MAWAZIRI, MANAIBU WAZIRI NA KATIBU MKUU KIONGOZI Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu amewaapisha mawaziri nane, na manaibu waziri 8 na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu Dodoma. Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Katanga amechukua nafasi ya Bashiru Ally. Mwaziri walioapishwa ni...
  8. L

    JamiiForums Tanzania CV ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hessein Kattanga

    Habari ndugu zangu, naomba mwenye CV ya Katibu Mkuu Kiongozi mpya, Balozi Hessein Katanga, atupatie. Sisi kama wananchi tunahitaji kumfahamu vizuri Kiongozi wetu huyu...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ally kuondolewa ikulu kama katibu kiongozi kunatupa picha gani? Wahafidhina hawakufurahia uteuzi wake?

    Hii sio kawaida kabisa katibu mkuu kiongozi kuhudumu kwa muda wa mwezi mmoja tu. Japokuwa aliyemteua aliaga dunia kwa mapenzi ya Mungu hii sio kawaida, ni sawa na mtu alikuwa anaviziwa itokee bahati mbaya ili avurumishwe nje. Katibu mkuu kiongozi ni nafasi nyeti na kubwa sana hapa nchini. Mtu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Utawala sikivu heleta maelewano kati ya kiongozi na wanaoongozwa

    Utawala au uongozi sikivu ni ule unaosikiliza maoni, maombi au maswali ya wanaongozwa na kuyatolea ufafanuzi kwa namna na wakati sahihi. Kufanya maamuzi kwa wakati bila kungoja na kutoa ahadi zinazotekelezeka ndio msingi wa utawala sikivi. Ufafanuzi unaotolewa na uongozi si lazima uwe chanya...
  11. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Ni kanda ya Magharibi pekee haijawahi kuwa na kiongozi wa kitaifa - wanasiasa mna majibu? Nielimisheni!

    Wabobezi wa siasa, nijengeeni uwezo! Kanda ya Magharibi - yenye mikoa ya Kigoma na Tabora ndiyo haijawahi kuwa na kiongozi wa kitaifa - nalenga Rais au Makamu wa Rais au Waziri Mkuu. (a). Orodha ya Marais tangu 1961 - 2021 = Mwl Julius K Nyerere (kanda ya ziwa); Mzee Ally Hassan Mwinyi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri Ukomo wa Maombolezo kwa Kiongozi wa Kitaifa uwe pale tu anapozikwa rasmi ili mambo mengi ya Muhimu yaendelee

    Tukatae tukubali kuna Sekta zingine katika Kipindi kirefu tu cha Maombolezo huwa zinaathirika mno (hasa Kiuchumi) iwe directly or indirectly pia. Si tu katika Nyanja hiyo ya Kiuchumi pekee bali hata katika Nyanja ya Kijamii na ya Kihuduma pia huathirika kwa namna moja au nyingine katika Kipindi...
  13. Yudatade Edesi Shayo

    JamiiForums Tanzania Kila kiongozi anadai alikuwa anapigwa simu na Hayati Magufuli; Mbona Kama mbinu ya kumfanya Mama Samia awabakishe

    Kila kiongozi amekuwa akieleza kuwa JPM alikuwa anampigia simu,inawezekana kweli Ila isijekuwa mbinu ya kulinda kitumbua kwenye utawala mpya
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Shujaa wa Taifa au alikuwa Kiongozi wa kiimla?

    Miaka ya tisini nikiwa bado kijana mchakalikaji nilikuwa mtu wa kusafiri sana na katika safari zangu nje ya nchi nilikuwa na kutana na raia wa nchi mbalimbali na mojawapo ni nchi ya Kenya. Siku moja nilikuwa na napiga story na Wakenya juu ya Rais wa Kenya wakati huo Daniel Arap Moi. Na mimi...
  15. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

    Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini hapa. Msafara wa Samia umefika hospitalini hapa saa 11.43 jioni akiwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi...
  16. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa upinzani Congo-Brazzaville afariki kwa Corona siku ya uchaguzi

    Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kongo (Congo-Brazzaville) na mgombea wa kiti cha urais amefariki kwa COVID-19 ikiwa ni saa chache tu baada ya vituo vya uchaguzi kufungwa. Guy-Brice Parfait Kolelas alifariki akiwa kwenye ndege akipelekwa nchini Ufaransa kwa matibabu baada ya kuumwa. Saa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Japo haisaidii: Kama kiongozi hataki kukosolewa akiwa hai, Basi akifa ruksa kukosolewa

    Kama kiongozi wa nchi hayupo tayari kukosolewa akiwa hai, basi ni salama zaidi akifa tumkosoe. Mambo haya hayakuwa sawa wakati wa hayati JPM: 1. Haki 2. Uhuru 3. Ajira zenye usawa 4. Maendeleo ya watu 5. Kodi za ajabuajabu tena za uongo. Akiwa hai, ukisema tu kuhusu kimojawapo hapo juu...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hakuna kiongozi au binadamu aliyekamilika, leo imedhihirika JPM alikuwa anakubalika kwa wanyonge na sio kwa mafisadi na matapeli ya kisiasa

    Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko Twita, wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu. Lakini leo hii tumepata picha kamili...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

    Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu? ====== 37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Lini Tanzania itapata kiongozi kama Hugo Chavez? Watanzania hatunufaiki na rasilimali zetu

    Marehemu Hugo Chavez alikuwa kiongozi anayefaa na kama hapa Tanzania tungekuwa na kiongozi kama Hugo Chavez tungefurahia kuwa Watanzania. Leo hii hili taifa lina kila aina ya rasilimali ambazo kama tungekuwa na kiongozi makini basi tusingesikia wananchi wanapata tabu. Leo hii wananchi...
Back
Top Bottom