kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kattanga yupo wapi?

    Leo ni mara ya pili katika kipindi cha karibu wiki ya tatu sasa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kattanga hajaonekana hadharani na nafasi yake imekuwa ikikaimiwa na Mhe. Kusiruka. Yeyote mwenye taarifa za huyu Mheshimiwa tafadhari tunaomba atudokeze.
  2. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 3 wa Uhamiaji wasimamishwa kazi kwa kosa la kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael

    WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi Idara ya Uhamiaji, imewasimamisha kazi wafanyakazi watatu kutokana na tukio la Askari wa Uhamiaji kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael Kyai kama video fupi iliyosambaa katika mitandao ya kijamii. Akizungumza na wandishi wa habari leo Mei 30, 2021 Kamishina...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge sio kiongozi ni muwakilishi tu

    Nimeona watu wakijaribu kumtia mbunge awe ni katika viongozi, utasikia sijui dada fulani katia aibu alafu ni kiongozi kabisa mbunge yule. Mbunge sio kiongozi, kiongozi anasimamia watu. Mbunge anawakilisha watu wa eneo fulani kwa kiongozi. Mbunge ni muwakilishi,ni mtumwa wetu,wasijitie katika...
  4. JamiiForums Tanzania Katiba Itamke: Kiongozi yeyote wa kisiasa asimfukuze kazi mtumishi wa umma

    Taja yangu haijafuata protoko ila ninachomaanisha, katika utumishi wa umma kumekuwa na hawa mabosi ambao wengi wao sio wanataaluma katika nafasi walizonazo ila wana power kubwa sana kwa watu ambao ni wanataaluma. Unakuta DC anamwagiza DED amsimamishe kazi labda Mhasibu. Hapo unakuta DC hajawahi...
  5. JamiiForums Tanzania Kiongozi vs Mtawala

    Tofauti kati ya mtawala na kiongozi iko katika malengo yao ya kutafuta, kuchukua na kuyatumia madaraka. Hiki ndio kiini cha uongozi na utawala. Kila kitu tunachokiona katika dunia kiwe kizuri au kibaya, kimetokana na malengo na dhamira. Kwahiyo kuna dhamira mbaya na nzuri. Inategemea...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kiongozi bora ni mentality, uwezo na imani yake ndo vinampa ufanisi au chama alichomo?

    Mfano mzuri ni Mhe Lowassa. Alipokuwa CCM kuna waliompenda na kuna waliomkosoa kwamba ni fisadi mkubwa sanaa. Akabadili jezi ikawa vice versa. Mfano wa pili ni Nyarandu vivo hvo amebasili jezi wafuasi wamebadir mioyo yao na waiomchukia pia wengi wameanza kumpenda. Hadi huwa nafikiria TZ siasa...
  7. JamiiForums Tanzania Arusha: Freeman Mbowe avishwa vazi rasmi la kimila la Wamasai na kusimikwa kuwa kiongozi wao

    Kama tulivyoahidi kuwa nanyi bega kwa bega katika kipindi hiki ambacho Chadema imekuja na mkakati mpya wa OPERESHENI HAKI , basi leo tena Tunaendelea kuwapa uhondo na taarifa mbali mbali za yanayoendelea huko Arusha kwenye vikao vinavyoendelea. Mpaka hivi ninavyoandika hapa tayari Mwamba Mbowe...
  8. JamiiForums Tanzania Jambo ambalo wengi hawalijui: Hakuna kiongozi wa kisiasa atakayeshitakiwa kipindi cha uongozi wake au baada ya uongozi wake, ilimradi awe mwanaCCM

    Habari wapendwa! Mimi si mwandishi mzuri na huwa ni mzito kuandika jumbe ndefu. Habari ni kwamba viongozi wa kisiasa chini ya serikali ya CCM hawawezi kushitakiwa kwa makosa yao waliyotenda kipindi cha uongozi wao. Wanawaza kuwajibishwaa kwa namna tofauti ila sio kuwapandisha kizimbani. CCM ni...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Kiongozi Mshamba wa UVCCM Tarime atangaza kipigo kwa wapinzani, wala hajaguswa na Polisi

    Ushahidi huu hapa .
  10. R

    JamiiForums Tanzania LT. J P Mwambashi kuwa kiongozi wa mbio za Mwenge

    Wakuu hasa wale wenye ujuzi na mambo ya kijeshi, nisaidie hili. Ninavyo fahamu mimi kijeshi huwezi kuwa kuongozi kikundi cha kijeshi chenye wanajeshi wenye cheo zaidi yako. Kikindi hiki cha wakimbiza mwenge kina wanajeshi kama wawili wenye rank ya Captain. Lakini kiongozi wao no. LT JP...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya Kiongozi Bora

    Kiongozi bora ni yupi? Ni yule anaweza kuliunganisha Taifa bila kujali, dini, kabila, rangi, ukanda, itikadi n.k. Ni yule anaweza kuzimamia Rasilimali za Taifa kuwanufaisha wananchi wa Taifa husika. Mwenye kuheshimu utawala wa sheria na haki za binadamu. Hatuhitaji viongozi ambao ni madadali...
  12. JamiiForums Tanzania Taifa lolote linalofanya mauaji kwa kiongozi wake ambaye amejitoa kulinda maslahi yake hupata laana isiyofutika kirahisi

    Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake. Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafisadi...
  13. JamiiForums Tanzania Kiongozi yeyote anayeziba mianya ya wapiga madili hata akifanya maendeleo/mema kwa taifa lake wapiga madili watambeza

    Hili suala lipo wazi kabisa kuwa hata kama akitokea kiongozi akajenga shule,hospital na miundombinu kwa manufaa ya umma. Lakini kwa kuwa alidhibiti wasiolipa kodi na wabadhirifu ataonekana hajafanya lolote. Kitachobaki ni kumkashifu tu maana watasema hakuna la maana alilofanya. Wapiga madili...
  14. JamiiForums Tanzania Chochote anachosaini Kiongozi nje ya nchi kiwe 'ceremonial' tu hadi kipitishwe na Bunge

    Niseme sijafuatilia in details mikataba aliyosaini Rais Samia huko Kenya. Inawezekana kuna hitilafu na inawezekana ni majungu yetu ya kila siku. Lakini kitu kimoja nilichowahi kukiona Kwa utaratibu wa serikali ya Marekani..huwa nakitamani Sana tukiweke kwenye sheria na katiba yetu. Ni...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa tabia ya kuwarubuni wabunge wa CHADEMA wahamie CCM, Dkt. Bashiru ni kiongozi makini na mjamaa

    Kiukweli chini ya uongozi wa katibu mkuu Dkt. Bashiru, CCM imepata mafanikio makubwa sana tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Sasa mali za chama zinajulikana bayana na miradi yote ya CCM inajulikana tofauti kabisa na ilivyokuwa kwa watangulizi wake kuanzia Dkt. Gama hadi kanali Kinana. Tatizo...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

    Kwanza kabisa ni wanachama wenzake ambao walishazoea kupiga madili makubwa. Hawa walishazoea kukwapua mabil ya shilingi na wao huona kama wamekwapua shilingi elfu moja. Hawa walishamchukia sana kwa kuziba mianya yao ya upigaji. Pili ni wanasiasa wa upinzani ambao baada ya kusambaratisha vyama...
  17. JamiiForums Tanzania Ibara ya 1 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania insema wazi kuwa Tanzania ni dola iliyo huru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi mbili

    Watanzania wengi wanachanganya mambo na kujikuta wakikengeuka na kupotoka. Ibara ya 1 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kuwa Tanzania ni dola iliyohuru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi mbili. Ibara ya 33 (1) imeweka wazi kabisa mkuu wa hii dola na mkuu wa majeshi ni rais wa JMT. Ibara...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Katibu Mkuu Kiongozi undeni upya vetting section

    Niombe sana Mhe. Rais upitie upya mfumo wa serikali unaopelekea majalada yafike mezani kwako kwa utiaji sahihi. Yawezekana mfumo huu ulivurugwa au umevurugwa bila kuzingatia utaratibu uliowekwa kwenye Utumishi wa Umma. Upo uwezekana wapo watu wachache wasio waadilifu wameingizwa jikoni lakini...
  19. JamiiForums Tanzania Sijui Lissu yuko wapi? UN wanamlilia Magufuli kama kiongozi bora

    Muongo siku zake 40 ila Lissu sijui tumpe siku ngapi. Hakika antipas Lissu ametokea kua mwanasiasa anayesukumwa na chuki na uongo uliyopitiliza dhidi ya kiongozi mzuri aliyewahi kutokea bara la Afrika. Kama Lissu ni mtu wa kawaida na sio mgonjwa wa akili angesema kitu kuonesha aibu kwa namna...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya maka 62 Cuba, haitakuwa na Kiongozi anayeitwa Castro baada ya Raúl kutangaza kujiuzulu Ukatibu Mkuu wa Chama

    Hatimaye, baada ya maka 62, taifa la Cuba litaamka siku ya Jumatatu bila kuwa na Kiongozi wa Nchi anayeitwa Castro! Raúl Castro anatarajiwa kuachia madaraka kama Katibu Mkuu wa Chama, cheo kinachotajwa kuwa na nguvu kuliko cha Rais nchini humo. Raúl, anayetarajiwa kutimiza miaka 90 mwezi Juni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…