kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta hatasahaulika kwa muda mrefu sana, ni kiongozi mstaarabu sana

    Kama kuna Rais nimependezwa naye toka Kenya ni ndugu yangu Uhuru Kenyatta. Huyu jamaa ni simple, hayuko comlicated kma wanasiasa wengi. Yuko down to earth. Huwa napenda sana kusikiliza hotuba zake zenye vichekesho vingi. Na si kwamba ni mtumwepesi, ana mali nyingi tu za kutosha. Lakini...
  2. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania Naomba mnifahamishe vigezo vinavyopaswa ili mtu ateuliwe kuwa kiongozi wa mbio mwenge?

    Habari.Naomba kufahamu ni vigezo gani hutumika kumpata kiongozi wa mbio za mwenge?
  3. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi ataondoka Simba kwani amemkuta

    Leo nimesikia audio ikitembea mitandaoni inayodaiwa kuwa imerekodiwa na Manara akimtuhumu kwa mambo mengi Barbara.Inaonekana hawa watu wana mgogoro wa mda mrefu na hawawezi kufanya kazi tena pamoja. Wewe kama mwanasoka unadhani nini kifanyike? Au ni madhara ya Mo kujimilikisha timu...
  4. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Awamu ya sita imedhulumu maelfu ya Watanzania

    Shujaa mashuhuri na kiongozi wa kijeshi na wa kisiasa nchini Ufaransa baada ya mapinduzi ya Kifaransa ,Napoleon Bonapatre aliwahi kutamka maneno haya; "The world suffers a lot. Not because the violence of bad people, but because of the silence of the good people.” Akimaanisha kwamba "Dunia...
  5. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Shida ya kiongozi wa sasa anaongoza nchi kwa hisia badala ya uhalisia

    Magufuli alipokaa miaka 6 (mwaka 2018/19 walimu waliongezewa kiasi kisichozidi elfu 10 kila mwalimu) bila nyongeza ya mishahara kwa watumishi wengine watu walimlalamikia sana. Kwa tunaojua na kufuatilia uhalisia(facts) tulijua ni kwa nini Magufuli hakuwa anaongeza mishahara, ni kwa sababu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Hayati Magufuli alipata Mental na Spiritual Immortality?

    Habari JF, Mwezi March mwaka 2021 tulimpoteza moja ya Kiongozi Bora kuwahi kutokea katika Taifa letu. Lakini Sasa hivi ni kama Mwaka na Nusu lakini huyu Kiongozi ni kama kaondoka Juzi, yaani haiwezi pita siku Mbili hujakuta akizungumzwa au ukakutana na kitu na kitu au mazingira ambayo...
  7. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Katibu Mkuu Kiongozi Serikali ya Mapinduzi!

    Kwa uelewa wangu Katibu Mkuu Kiongozi ni Mtendaji na anapaswa kutumia muda mwingi Ofisini na Wataalam. Lakini naona tofauti kwa Katibu Mkuu Kiongozi wa SMZ Mhandisi Zuwena amekuwa busy kwenye mizungukoni ya Ziara za Mhe. Dkt Mwinyi, Rais wa SMZ. Je, majukumu ya Ukatibu Mkuu Kiongozi...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Unapokuwa kiongozi wa Kitaifa kwanini lazima uwe makini na ulimi wako kutunza siri

    Taifa lolote duniani ni lazima liwe na siri na siri hizo lazima zilindwe hata kwa damu. Yes sio kila kitu unapokuwa kiongozi unapaswa kukiongea hata kama unachosema ukweli ila kikatiba na kimuongozo kama mtunza siri wa wa kwanza ktk taifa hupaswi kusema nini unakijua au kinaendelea ktk taifa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Kiongozi anaepeleka mtoto wake Shule ya Milioni 10 atatoa Mawazo Gani ya Maana ya kuendeleza shule za Serikali?

    Katika pitapita zangu nimekutana na video ya Anthon Mtaka akizungumza kuhusu Elimu, hii hapa chini Nikaona kaongea ukweli fulani ,Hivi wana JF ,mtu ambae hajawahi somesha mtoto shule ya serikali hasa ya kata anawezaje akawa na mipango ya maana kuhusu hizi shule?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunahitaji Rais ambae ni Mwanasiasa Bora au Mzalendo?

    Habari JF ,Kiuhalisia unapozungumzia sifa NZURI za kiongozi hasa kwa Ngazi ya Urais huwa Hatuna kiongozi Bora ila tuna Mwanasiasa Bora au Kiongozi Mzalendo. Kiongozi bora maana yake ni Mwanasiasa Bora na ni Mzalendo pia kupata mtu mwenye sifa hizi Mbili ni Ngumu sana kwa hiyo ni either utapata...
  11. Tryagain

    JamiiForums Tanzania Don K. “Mayaula Mayoni”, kiongozi wa Genge la wahalifu wa Pembejeo na bei ya korosho mikoa ya Kusini

    Serikali ifike mahali iondoe mfumo wa stakabadhi ghalani kwenye korosho. Genge la walanguzi wa Don K. Mayaula Mayoni. Mayaula Mayoni Don K ni mwenyeji wa mikoa inayolima Korosho, alipaswa kuwa sauti yetu sisi wakulima wa korosho. Ambao hatuhitaji korosho nyingi ila tunahitaji soko bora la...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya kiongozi kuongea kwa dharau na kuongea kwa mamlaka

    Nimeanzisha hii thread baada yakuona ipo haja kuwa alert leader kuwamakini pindi wanaongea na viongoz wenzao au wanaongea na jamii. Kuwa kiongozi sio kuwa na akili au uwezo kuliko wengine hapana kuwa kiongozi ni kudra za mwenyezi Mungu na ndio maana kuongozi anaye lijuwa hili kamwe hawezi...
  13. 2019

    JamiiForums Tanzania Hakuna beberu linalopenda kiongozi mzalendo halisi, wapo kimaslahi sana, usipokubaliana nao watakutoa tu, labda uwe na nguvu kijeshi

    Kwanza kabisa hawa wazungu wapo kimaslahi tu na unafiki wa upendo,ukienda tofauti nao watakutoa tu kwa gharama yoyote. Leo hii na hata zamani angalia vingozi wenye msimamo mkali kwa mabeberu wanavyochukiwa na wao. Fidel Castro alichukiwa sana. KAZI ZAO KUU NI Kwanza watataka utawala wa...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa nchi yoyote anayeingilia majukumu ya Bunge kiasi cha kushawishi kiongozi wa Bunge ag'olewe, lazima ana nia ovu. Na haya ndio matokeo yake

    Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki. Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Taifa lolote linapokuwa na kiongozi anayehadaa umma kuwa yeye ni mtu fair lazima liumie kwa kuibiwa na kiongozi huyo

    Taifa linapokuwa na kiongozi ambaye anaonyesha kuwa yupo fair. Kwamba yeye ni mtu safi hataki kusikia wahujumu uchumi, watakatishaji pesa na wala rushwa wakifikishwa kizimbani taifa hilo litambue kuwa anatengeneza mazingira ya kuungwa mkono na wahalifu. Kwa namna yoyote ile taifa hilo litambue...
  16. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakuwaogopa Mafisadi alikuwa hawakenulii Meno alikuwa jasiri mithili ya simba, kiongozi Jasiri aliyepinga Rushwa waziwazi

    Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa Wazalendo msihofu majizi na mafisadi...
  17. Bikirajohola

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari: Kuanzia sasa sitashangaa tena kiongozi anapomuweka ndani mtu

    Mkuu wa Wilaya ya Bunda (DC), Joshua Nassari ameeleza magumu anayokutana nayo katika kutekeleza majukumu yake hali inayomlazimu wakati mwingine kutoa amri ya kukamtwa kwa watu mbalimbali ambao wanaonkena kuwa kikwazo cha yeye kutumiza wajibu wake. Akizungumza kwenye kikao kilichoitishwa na Mkuu...
  18. mack255

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Oman kwa ziara ya siku 3

    Video ya Mapokezi ya Rais . Samia huko Oman . Itakuwa ni ziara ya siku tatu
  19. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Siku Mtanzania atakapotumia haki yake kumchagua kiongozi anayemtaka ndio tutaona Maendeleo ya Kweli Tanzania

    Hello Great Thinkers.... Moja ya vitu vilivyojirudia kutoka kwa wachangiaji kwenye hii topic niliyoiandika siku chache zilizopita ni jinsi Tanzania kulivyo na Maigizo kwenye uchaguzi... unaweza kupitia Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais Kwamba kila Uchaguzi ni...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya nchi ilivyo, sitegemei pongezi, makofi au kugongwa meza kwa kiongozi yeyote yule. Watanzania tumechezewa sana

    Hivi Baada ya miaka 60 ya Uhuru unaweza mpigia makofi au kumpa pongezi kiongozi anae kuja kuzindua au kuahidi miradi ya kimaendeleo ambayo ilibidi iwe ilishafanyika miaka 40 iliyopita na viongozi waliopita kama vile mabomba na miradi ya maji mitaani , kukuahidiwa kujenga barabara kiwango cha...
Back
Top Bottom