kimara

Kimara is an administrative ward in the Ubungo district of the Dar es Salaam's central business district, east of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 66,288.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Aliyeset taa za Ubungo kwa Mfugale kutokea Mwenge kwenda Kimara amechemka sana

    Hizi taa mwanzoni zilikuwa zinaruhusu sekunde angalau kuanzia sitini. Kwa sasa wameamua kuweka sekunde ishirini. Hii kwa kweli imerudisha foleni ya zamani. Sasa hivi foleni inaanzia njia ya kwenda UDSM. Huyu aliyeset hizi taa ana makusudi gani?
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa UDSM mliopata 'Sapu' acheni kutupigia 'Kelele' zenu muwapo katika 'Dala Dala' za Ubungo SIMU 2000, Mbezi Kimara na za Makumbusho

    Christmas nzima hadi mwaka mpya mlikuwa mnapuyanga tu kwa Kula Bata Juliana na Beach Kidimbwi huku mkisahau kuwa mna Mitihani na sasa mmepata 'Misapu' yenu kila mkipanda Dala Dala Kazi ni Kuwalaumu tu Wahadhiri Wenu na Kusingizia kuwa Masomo ni magumu. Asanteni sana Wahadhiri wa Somo la Uchumi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwaka sasa unaisha lakini Serikali haijamalizia hata mradi mkubwa mmoja

    Kwa uchunguzi wangu miradi mingi ya ujenzi ya serkali iko nyuma sana tokea utawala huu wa mama Samia uingie! Natoa mifano ifatayo! Ujenzi wa barabara ya Kumara mpaka kibaha ulikuwa umekamilika kwa zaidi ya asilimia 94 lakini mpaka sasa hakuna umaliziaji wa barabara hiyo. Ujenziwa daraja...
  4. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania Wamachinga Kimara wamehama wenyewe

    Nimepita hapa Kimara mwisho nimeshuhudia mwenyewe kuwa wamachinga wanaiheshimu hii serikali mpya na kutii maagizo ya kuhama wenyewe. Huu ndio uharibifu nilioushudia, sijui kwa nini wamachinga hawa wameamua kuharibu mabanda na maki zao pia. Anayejua anaweza kunisaidia kwa nini? Maana pamekuwa...
  5. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Mgambo wavamia Majumbani Kimara Mavurunza na Kutishia,Kukamata watu na Kuomba Rushwa

    Habari za Leo ndugu zangu, Nimeumizwa na kusononeshwa Sana na tukio lililotokea Leo Majira ya saa 5-6 mchana Jijini Dar - Mtaa wa Kimara Mavurunza, mita chache tu ukitoka kimara DAWASCO kuelekea Kimara Mavurunza. Vijana wapatao watano wakiwa wamevalia magwanda ya kijani ambapo inasadikiwa kuwa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba masters maeneo ya Kimara, nipo serious

    Dalali yoyote ambae yupo tayari kufanya biashara naomba anicheki kwa no;0783 24 2247 Nahitaji chumba chenye sifa zifuatazo: Kiwe ni master room Kiwe maeneo ya Kimara Kiwe ndani ya geti/fensi usalama wa kutosha Luku ya kujitegemea (Japo co lazma sana) Bajeti yangu ni 70K-100K Nipo serious...
  7. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Dar, kati ya Tabata Segerea na Kimara, ni wapi mbali kwenda Ubungo

    Habari wakuu. Kuna ndugu yangu amehamishiwa Dar kikazi, ofisi yake iko maeneo ya Ubungo. Sasa ameniomba ushauri aishi wapi kati ya Tabata Segerea na Kimara ili iwe rahisi kwake kufika kazini. Kwa kua mimi makazi yangu ni Mbagala Maji Matitu, sina uenyeji wowote maeneo hayo aliyoyataja huyu...
  8. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Infinix smart 5 for sale, 165,000 at kimara kona Dsm

    Phone Details: Ram 2gb Rom 32gb colour: Dark blue ^haina mchubuko^ bei: 165,000 Piga simu 0713096076 Dar kimara corner
  9. Leak

    JamiiForums Tanzania Pamoja na tozo kila kona, Serikali imesitisha mradi wa Barabara ya Kimara-Kibaha?

    Hadi mwezi July Barabara ya Kimara-Kibaha ilikuwa imefika karibu asilimia 98 na ukiangalia kwa macho ni barabara ambayo ilikuwa imalizike mwezi wa nane kabisa kama walivyokuwa wamepanga maana kwa kuangalia ni kipande kidogo cha kiluvya -kibaha upande mmoja ndiyo ilikuwa haijawekewa tabaka la...
  10. Watu8

    JamiiForums Tanzania Ajali Kimara Mwisho: Lori limezuia njia

    Wale wazee wa road trip ambao mmepanga kutumia barabara ya Morogoro. Wale wakazi wa kuanzia Kimara Mwisho kuelekea Mbezi Mwisho. Kuna ajali ya lori maeneo ya Kimara Mwisho usawa wa kituo cha BRT kiasi kwamba inalazimu magari yanayotoka mjini kutumia Lane ya BRT kuingilia Kimara Korogwe. Hivyo...
  11. D

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mbezi Msakuzi: Mwanaume afariki dunia kwa kujinyonga

    Inasomeka huko Mbezi eneo la Msakuzi. Mtu mmoja ambaye jina lake ambalo bado halijafahamika, kabila ni Mchaga amekutwa kajinyonga akiwa nyumbani kwake eneo la Mbezi Msakuzi. Moja ya mashuhuda akiwemo mke wake anayejulikana kwa jina Awaich Nyela amethibitisha. Taarifa za awali inasadikika kuwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Aluminium na Vioo Mbezi ya Kimara

    Mbezi Aluminium and Glass, Wataalamu na wabobezi wa kutengeneza madirisha ya aluminium aina zote, milango ya Aluminium aina zote, Office partition, Balusters, Kitchen cabinets. Pia tuna ofa zifuatazo; = Madirisha ya chooni = Usafiri mpaka site ni juu yetu = Tuna Generator kwa zile Site ambazo...
  13. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Majaribu ni mtaji. Kuna jamaa ana duka Kariakoo limeungua halafu ana nyumba pale Kimara na amepokea notisi ya kubomolewa

    Habari wadau..! Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa. Hakika majaribu ni mtaji, Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe😂😂😂
  14. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kumekucha bomoabomoa Ubungo-Kimara ndani ya 90m za hifadi ya barabara

    Pamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara. Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama...
  15. lunatoc

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji mulika michezo michafu DAWASCO Kimara

    Dawasa Kimara huu ni mwezi sasa watu wamefanyiwa survey na kufanya malipo na risiti zipo ila hawaji kuunga maji. Kila siku wanasema vifaa hawajanunua. Wanashindwaje kununua vifaa wakati tumelipia hela? Serikali sijui iko wapi. Mkuu wa Dawasa kimara hatumtaki. Kama Waziri anasoma humu tunaomba...
  16. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Nimekwenda DAWASCO Kimara, majibu nimepewa hadi nimemkumbuka mwenda zake

    Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee, huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka. Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua 😂😂 yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee, may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Polepole unaposherekea kubomolewa kwa nyumba za wananchi Kimara -Kibamba unajua tulipoteza ndugu zetu kwa mshtuko?

    Nimeona mabishano yanayoendelea Kati ya Kigogo na Polepole, ukisoma ujumbe wa Polepole ni dhahiri anafurahia kitendo cha ndugu zetu kupoteza maisha, kuparalize na wengine kupoteza kabisa dira baada ya serikali ya Magufuli kuvunja nyumba za wananchi kupisha upanuzi wa barabara ya Kimara to...
  18. peterlvitalis92

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba Inaunzwa ipo Kimara Bonyokwa

    Nyumba inaunzwa eneo Kimara Bonyokwa Bei milioni hamsini na tano 55,000,000/= Mawasiliano piga sim 0713660178
  19. I

    JamiiForums Tanzania UDART vipi mnasitisha huduma saa nne usiku stendi ya Mbezi?

    Jana abiria tuliotoka mikoani tulioshuka mida ya saa nne usiku pale stendi kuu ya Magufuli tulipigwa na butwaa pale usafiri tulioutegemea kututoa huko kutusogeza mjini ukikosekana! Tulitoka stendi ya Magufuli tukajikongoja na mizigo na wengine wakiwa na watoto wadogo kufika mbezi stendi...
  20. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
Back
Top Bottom