Aliyeset taa za Ubungo kwa Mfugale kutokea Mwenge kwenda Kimara amechemka sana

Kwasenga

Member
Feb 24, 2021
50
52
Hizi taa mwanzoni zilikuwa zinaruhusu sekunde angalau kuanzia sitini. Kwa sasa wameamua kuweka sekunde ishirini.

Hii kwa kweli imerudisha foleni ya zamani. Sasa hivi foleni inaanzia njia ya kwenda UDSM. Huyu aliyeset hizi taa ana makusudi gani?
 
Hizi taa mwanzoni zilikuwa zinaruhusu sekunde angalau kuanzia sitini. Kwa sasa wameamua kuweka sekunde ishirini. Hii kwa kweli imerudisha foleni ya zamani. Sasa hivi foleni inaanzia njia ya kwenda UDSM. Huyu aliyeset hizi taa ana makusudi gani?
Kwa anayetokea Kimara kwenda Mwenge za kushoto zinawaka kivyakevyake.
Yaani zikiwaka kijani za kunyoosha kushoto zinazuia.
 
Point of correction ni Kijazi sio Mfugale, Ila una point kwa kwel setting ya kutokea Mwenge kuja Kimara ina sekunde chache sana kwa jion huwa inaleta unnecessary traffic

Na kuna hz za kutoka kimara kuja Mwenge huwa ziruhusu at the same time gari za kutoka Tabata zmeruhusu na za kutoka kimara kwenda tabata na mjin zikiruhusu nazo zinazima quite opposite.
 
awa wachina wanatuchukulia sisi wabongo vilaza Hadi Taa pia Contact anachukua mchina
 
Ubunifu nilioupenda ni wa kuweka sekunde ziki-countdown ila ufanyaji kazi wa zile taa serikali iangalie upya.
 
Trafiki wamezichezea ili wale watu vichwa...ndiyo maana huwa wanakaa pale tanesco na kukamata watu waliopita taa nyekundu
 
Back
Top Bottom