Kuna uhaba mkubwa sana wa Serengeti lager maeneo ya Kimara na Mbezi Luis

kyanyangwe

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
1,147
2,746
Wakuu

Ni wiki ya pili sasa kila nikitaka kupiga serengeti lager kwenye bar nyingi za Kimara na Mbezi Luisi naambiwa hamna.

Wahusika jitafakarini.
 
Ukiona hivyo hawachelewi kupandishwa bei. Soda walijifanya zimepotea walipoziachia wakaja na bei mpya.
 
Hii nchi imeshamshinda iko wazi maji ya litre 13 ya uhai hayapo, sehemu nyingine soda hamna, na kila mtu anajipandishia bei duka hili wanauza bei hii duka la jirani Wana bei yao
Sasa hebu tufahamisheni Sisi maamuma, mama anahusika vipi na nyie kukosa bia,soda,maji? Kavifungia viwanda
 
Sasa hebu tufahamisheni Sisi maamuma, mama anahusika vipi na nyie kukosa bia,soda,maji? Kavifungia viwanda
Sio hivyo kupanda kwa mafuta ya kula, sabuni zimepanda bei, vifaa vya ujenzi havishikiki alafu mim sijaongelea maji
Ila huwezijua siunakaa kwa baba
 
karibu kwa safari tu ingawa hapa nilipo zipo serengeti kubwa watu wanapiga, mbali na hilo mimi ni jirani yako. ingawa zaidi ya mika kumi ya humu jf nimewahi kukutana na binadamu wasiozidi wanne.
 
Sio hivyo kupanda kwa mafuta ya kula, sabuni zimepanda bei, vifaa vya ujenzi havishikiki alafu mim sijaongelea maji
Ila huwezijua siunakaa kwa baba
Ha ha ha watoto wa siku hizi mna tabu sana. Huwezi kumjibu mtu bila kashfa.
 
Wakuu

Ni wiki ya pili sasa kila nikitaka kupiga serengeti larger kwenye bar nyingi za Kimara na Mbezi Luisi naambiwa hamna.

Wahusika jitafakarini.
Nlikuwa nimekwishalala kusoma hii thread kumenifanya ninyanyuke nikashushie bia moja bariiidi
 
Kimsingi ni nchi nzima, hii Beer imeadimika sana.
Wazalishaji wamehamishia attention kwenye Serengeti lite na kuisahau Serengeti Lager.
Wanawake wanywaji wengi wao wanakunywa Lite na kwa kiasi kikubwa hivyo kuadimika kwa Lager ni matokeo ya kanuni ya Demand & Supply.
 
Hii nchi imeshamshinda iko wazi maji ya litre 13 ya uhai hayapo, sehemu nyingine soda hamna, na kila mtu anajipandishia bei duka hili wanauza bei hii duka la jirani Wana bei yao
Nchi ya kibepari ndivyo inapaswa kuwa?
 
Back
Top Bottom