kimara

Kimara is an administrative ward in the Ubungo district of the Dar es Salaam's central business district, east of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 66,288.

View More On Wikipedia.org
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo nini kipo nyuma ya pazia? Mbezi ya Kimara maharage kilo 2000, unga 2000, mchele 2900

    Kichwa cha habari kipo wazi tunataka kujua vitu vinapanda bei chanzo ni Nini aise? Mwendo kasi nao umepanda ingawa sio wizara yako, jaman!
  2. H

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya saloon vinauzwa

    Habarini ndugu zangu. Kuna saloon inauzwa ipo Kimara B Kwa Komba (karibu na Stopover), kama huitaji kununua saloon yote then unaweza kununua kitu utakachohtaji. Kinyozi wangu aliekua hasumbui kweny hesabu amehamia mkoani ili kuwa karbu aweze kumuuguza mama yake, namm pia nahamia mkoani kikazi...
  3. H

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inatafuta mpangaji Kimara stopover

    Habari ndugu zangu, Nyumba inatafuta mpangaji, mpangaji amehama jana tar 04/Dec/2022. Location-Kimara stopover Kodi-450K per month Ulipaji-Kila baada ya Miezi 6 Vyumba vi3 (Kimoja masters) Sebule kubwa Room moja ya jiko Public toilet (Ipo ndani ya nyumba) Ipo ndani ya fence, na kuna...
  4. maroon7

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kituo cha mafuta 'Rupeez Oil' kimejengwa kwenye hifadhi ya barabara Kimara Stop Over?

    Ukistaajabu ya Musa, Katika hali ya kushangaza sana kuna kituo kipya cha mafuta kinajengwa kando ya barabara maeneo ya Stop over Kimara. Hii imekuja baada ya vituo vingine vyote kufungwa kwa sababu ileile ya kuwa vipo ndani ya hifadhi ya barabara, ila cha ajabu hiki kituo kipya kinachoitwa...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Foleni usiku huu Morogoro Road Ubungo - Kimara

    Hii foleni sijawahi ishuhidia kabisa, kama upo mjini sasa hivi na unampango wa kwenda Mbezi au Kimara basi endelea kuagiza bia maana hutoboi. Au kama uko vyema chukuwa boda boda au kama umenasa katika foleni shuka tu tafuta namna nyingine, kamba imeanzia Kimara stendi hadi Ubungo mataa na...
  6. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Mbezi ya Kimara hakuna mgao wa maji, maji hakuna kabisa!

    wakuu nipo maeneo ya Mbezi Makabe, yaani huku hakuna mgao wa maji ila tumenyimwa kabisa. wahusika kama hawatuoni!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu chimbo la wale wauza viatu vya kike simple jion mbezi mwisho na kimara kwa 5k na 6k wanazitoa wapi?

    Habari zenu jf Km kichwa habari hapo juu knavyojieleza naomba kufahamishwa tafadhali
  8. St. Paka Mweusi

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Kimara mpaka Kibaha itazamwe upya, vifo vya watu kutokana na kugongwa na magari vimekuwa vingi sana

    Naanza kwa kuwasalimia wakuu. Hapa ntaongelea matukio mawili niliyoyashuhudia kwa macho yangu.. Pia ntaongelea matukio machache niliyoyasikia. Mwezi mmoja uliopita mida ya saa 11 alfajiri nikiwa napita maeneo ya Mbezi mwisho jirani na stendi ya mabasi ya Magufuli nilishuhudia mwili wa mwanamke...
  9. maroon7

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa pili sasa barabara ya Mbezi-Kimara haijakamilika

    Wazee wa kuupiga mwingi naombeni muwakumbushe wahusika kuwa barabara ya Mbezi hadi Kimara ambayo ilijengwa kwa kasi sana awamu iliyopita haijakamilika hadi leo. Inasikitisha mno mno mno mno kuona hata street lights tu hawajaweka ni giza mwanzo mwisho. Tunaomba muwakumbushe wanaoupiga mwingi...
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Kimara Resort pana mapango ya Panya Road na Polisi hawafanyi kitu

    Tukisema mnashirikiana nao mnabisha na kutoa statement ndefu na waraka, mnataka kusema hamjui kuna mapango ya Panya Road na vibaka hapa Kimara Resort upande wa Theofil Ngowi Sec? Yaani mtu unatoka kazini unaona jamaa wanatoka na mapanga marungu visu bisibisi na wameshajeruhi raia kadhaa na...
  11. V

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Kimara Temboni DSM

    Ina Chumba na Sebule na Jiko plus Choo Ipo karbu kabsa na Morogoro Road bei 120,000/= *Maji *Parking Space 0753595520
  12. stineriga

    JamiiForums Tanzania Network mtandao wa Tigo unasumbua maeneo ya Kimara a hakuna kitu mnafanya

    Yaani nikiwapigia watu simu inakata Napigiwa na watu simu inakata Nilijiunga na bando ka Home internet gb 40 nimeshindwa kabisa kufanya chochote Yaani ningekuwa naweza ningewashitaki huu mtandao😡
  13. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Daladala lateketea kwa moto Kimara, Dar

    Za asubuhi ndugu zangu, inasemekana kuna daladala linawaka moto sasa hivi mitaa ya Kimara baruti, jijini Dar es Salaam. Chanzo cha moto hakijajulikana, ila taarifa kamili itapopatikana tutajulishana kwa kadri iwezekanavyo. ===== Daladala inayofanya kazi njia ya Temeke Mbezi imeteketea kwa moto...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wakazi Kimara, Mbezi ‘walia’ kutohesabiwa sensa

    Zikiwa zimesalia siku chache kuhitimishwa kwa sensa ya watu na makazi ilioanza Agosti 23, 2022, wakazi wa baadhi ya mitaa iliyopo Kimara na Mbezi katika Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam wamedai kutohesabiwa hadi sasa. Hali hiyo imewafanya baadhi yao kudai kukata tamaa ya kushiriki katika...
  15. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana na tatizo la ajira

    NAOGOPA Kijana Elli akiamshwa na king’ora cha simu alichotega kabla ya kujilaza kitandani kwake huko Kimara Dar es Salaam, anakoishi kwa wazazi wake. Ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Anaamka na kujiandaa Kwenda kutafuta kitu chochote ili kuburudisha tumbo lake. Anarudi chumbani kwake na...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Giza totoro kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara, je serikali imeshindwa kuweka backup power?

    Muda huu giza limetamalaki kwenye kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara. Msongamano wa abiria ni mkubwa mno, magari ni kama vile yamegoma. Hii ni aibu kwa taifa , yaani mama aite wageni wake kupitia Royal Tour, halafu wageni wapande mwendo kasi uliojaa kunguni na huduma mbovu, sijui kwenye...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Unapoenda kuabudu kwa kuhani Musa Kimara Temboni zingatia haya

    Iwapo unataka kwenda kuabudu kwa Kuhani Musa lazima uzingatie haya. 1. Hairuhusiwi kupiga picha au kutumia smart phone kwenye ibada. 2. Hairuhusiwi kusinzia ibadani. 3. Hairuhusiwi kuegemea kiti mbele yako. 3. Unapotoa ushuhuda salumu ni Bwana Yesu atukuzwe na sio Bwana Yesu asifiwe. Kuna...
  18. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Kuna jam karibu na Kimara

    Kuna magari yamekwanguana muda huu eneo la Korogwe karibu na Kimara barabara ya Morogoro, magari hayo yameziba njia, mnaokuja mkitokea Ubungo piteni service road, mlio nyuma zaidi mnaweza mkabadili njia.
  19. Championship

    JamiiForums Tanzania Bei za mafuta zimesaidia kupunguza foleni kutoka Ubungo hadi Kimara

    Sasa hivi hata ikifika saa moja jioni pale nikishuka kwenye daraja naunganisha mpaka Kibo. Nausubiria zile taa kisha hapo chap mpaka Bucha. Pale taa zikiruhusu ni mpaka Kimara faster. Bei za mafuta kuongezeka kuna uzuri wake.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nani anaelekeza madereva Mwendo Kasi kupakia abiria kupitia milango iliyoangalia barabarani (Kibaha to Kimara)? Hadi abiria wagongwe?

    Nimeona jambo lisilo la kawaida katika eneo la Temboni, gari la mwendo Kasi linapakia abiria kupitia milango inayotazama katikati ya barabara. Kibaya Zaidi wakati wanapakia Kuna gari zinapita kwa Kasi huku abiria nao wakikimbia Kwa Kasi Jambo ambalo kiusalama siyo SAHIHI. Wakati haya yanafanyika...
Back
Top Bottom