kimara

Kimara is an administrative ward in the Ubungo district of the Dar es Salaam's central business district, east of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 66,288.

View More On Wikipedia.org
  1. maroon7

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa 3 Barabara Kimara - Kibaha hata street lights tu zimewashinda

    Barabara ya Kimara hadi Kibaha ilijengwa kwa kasi kubwa hadi tukasema shkamoo chama tawala. Oyaoya mara lakutokea likatokea na hapo ndio ikawa mwisho wa mwanzo wenye kasi. Miaka mitatu sasa hata street lights tu za solar wameshindwa kumalizia, mwendokasi wanaisoma namba kwenye foleni na barabara...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

    Ukifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi. Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kati ya hizi

    Wapendwa, Ukiwa 2mil unaweza anzisha biashara ya uwakala/miamala ya cm Na je inalipa ?? Nahitaji kufahamu faida na changamoto zake
  4. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo kituo cha Mwendokasi Kimara Korogwe, wengine waghairi na kutoka nje ya kituo

    Mvua zinazoendelea kunyesha zimeendelea kudhihirisha kuwa usafiri wa Mwendokasi bado hauwezi kutatua changamoto za usafiri jijini Dar! Leo asubuhi tangu saa moja kasoro mpaka sasa saa 3 mamia ya raia wanaendelea kusota kituoni huku wengine wakiamua kughairi na kutoka nje ya kituo kutafuta...
  5. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galax A23

    Habari nauza simu aina tajwa hapo juu. ipo kwa good condition , clean and kila accessory ipo pamoja including charge , air phone and mawasiliano ni. 0756294771....
  6. Msanii

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje Mwendokasi iondoke Kimara ikiwa tupu hadi depo Jangwani huku ikiacha abiria?

    Ninawaamkua wote. Hali hii inajiri Kimara, Kivukoni hata Gerezani. Inapofikia peak hour magari ya mwendokasi yanakuwa bize kurudi depo Jangwani huku ikiwaacha abiria na sintofahamu ya kupata uhakika wa usafiri. Pale Kimara unakuta gari nyingi zimepaki kama.mbovu na hakuna linaloendelea na...
  7. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Ni Mchungaji Wilbroad Mastai wa Kimara au Dkt. Elioina Kimaro wa Kijitonyama?

    Mkutano Mkuu wa KKKT uliofanyika Chuo Kikuu Makumira Arusha ulimchagua Askofu Dr Malasusa kuwa Mkuu wa kanisa KKKT. Mabadiliko ya katiba ya KKKT Mkuu wa Kanisa hatakuwa tena Askofu wa Dayosisi. Kwakuwa Askofu Dr Malasusa ni Mkuu wa KANISA atalazimika kuachia nafasi yake ya Mkuu wa Dayosisi ya...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Magari ya Mwendokasi hasa Kimara Mwisho hadi Kibaha kutotaja majina ya vituo njiani ni kero kubwa

    Nina malalamiko kuhusu magari ya Mwendokasi, nina mambo mawili, la kwanza ni kuhusu kutotajwa kwa majina ya vituo, tabia hii ilianza mdogomdogo na hatimaye imekuwa kawaida. Ni kama vile wanaamini kila anayepanda Mwendokasi basi anajua vituo na anaijua Dar vizuri. Katika vituo vya hatikati ya...
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linachunguza kifo cha mtu mmoja aliyekutwa ameuawa ndani ya gari

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetangaza kuwa linachunguza tukio la kifo cha mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Felix Josephat Mgeni (47) anayedaiwa kuuawa na mwili wake kukutwa ndani ya gari ukiwa na baadhi ya vitu vingine vya jinsia ya kike. Akizungumza leo SACP Jumanne...
  10. B

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kama bajeti imetengwa, nini kinachelewesha ujenzi Barabara ya Kimara – Bonyokwa?

    Kumekuwa na kilio cha muda mrefu kuhusiana na ubovu wa Barabara ya Kimara – Bonyokwa, kumekuwa na ahadi nyingi lakini utekelezaji unasuasua. Tunafahamu juhudi za viongozi zinazofanywa, lakini tunashangaa nini hasa kinazuia ujenzi wake kutofanyika wakati tuliambia bajeti yake imetengwa katika...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Miliki kiwanja sasa💪

    Stuka ujanja ni ardhi new new site 2023[📍forodhani city. Viwanja vipya Kisemvule Forodhani Cit,y wahi sasa mapema ujipatie kiwanja kwenye round about ya Forodhani City kwa 1,500,000 tu. Karibuni sana katika Mradi wetu mpya 📍Forodhani City, ujipatie kiwanja kilichopimwa na chenye hati miliki...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wasimamizi wa Mabasi ya Mwendokasi Kimara hawajali abiria, wanawapuuza kama sio binadamu

    Kituo cha mwendokasi Kimara pia usimamizi ni mbovu sana, yaani unakuta magari yapo ya kutosha, abiria wanajaa kituoni kwa zaidi ya saa mbili. Madereva wanapitapita tu kama hawaoni kinachoendelea,kuna muda magari yanaondoka yakiwa tupu kituoni, yanaacha abiria. Vituo vya DART Mwendokasi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded TANROADS mna mpango gani juu ya barabara ya kimkakati inayotoka Kimara Mwisho kuelekea Tabata (Bonyokwa-Segerea-Kinyerezi)?

    Habari za wakati huu! Moja kwa moja nawaelekea TANROADS kuhusu hii barabara ya kimkakati inayoanzia darajani kimara mwisho kuelekea tabata bonyokwa mpaka tabata segerea. Kwa muda mrefu hii barabara imekuwa ikisahaulika kuwekewa lami ilihali ina umuhimu mkubwa sana wa kupunguza foleni ya...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari Kimara Suka

    Gari la abiria lililokuwa linatoka Makumbusho kwenda Mbezi likiwa limeingia kwenye mtaro baada ya kudaiwa kusukumwa na roli eneo la Kimara Suka jijini Dar es Salaam jana. Kwa mujibu wa watu walioshuhudia ajali hiyo, walisema baadhi ya abiria walijeruhiwa. Credit: Nipashe
  15. maroon7

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kujenga fly over Magomeni na fire panueni barabara Kimara - Ubungo

    Nimeshangazwa sana na huyu waziri kusema wanatafuta hela kujenga fly over magomeni na fire na sehemu zingine lakini cha kushangaza hawajagusia kabisa kupanua kipande sumbufu kwa foleni kutoka ubungo hadi kimara, na barabara ya mandela. Hivi jamani inahitajika hadi aje Tony Blair kutuambia hizi...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenye Watoto wa Secondary wa Shule za Dar Kagueni Mashavu ya Watoto wenu kwani kuna Mmoja nimemuadabisha Kimara Stendi Juu Darajani leo

    Hakuna Kitu ambacho GENTAMYCINE nachukia kama Watoto wa Shule (Watoto zetu) kuwa na tabia za Matusi Matusi tena Hadharani ambako Watu wazima tupo au tunapita. Leo mida ya Saa Mbili Usiku GENTAMYCINE nilikuwa nakatiza zangu Kimara Juu Darajani na nikakuta Wanafunzi wa Upili (Secondary) wakiwa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Mtu mmoja afariki Dunia kwa kupigwa na Radi Kimara

    Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha Dar es Salaam, mtu mmoja amefariki Dunia kwa kupigwa na radi maeneo ya Kimara. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi (ACP) Mtatiro Kitinkwi amethibitisha kutoka kwa tukio hilo katika mvua iliyonyesha juzi Machi 22, 2023, taarifa...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Gharama za ujenzi wa Barabara ya Njia 8 Kimara - Kibaha zapanda kutoka Bilioni 141 hadi Bilioni 218

    Wakati Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) ukieleza sababu ya ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoani Pwani kuchelewa, ujenzi huo unatarajiwa kukamilika Aprili 15 mwaka huu. Ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 19.2 unaofanywa na kampuni...
  19. 87Method

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa kipo kimara suka

    Kiwanja nikizur Sana Kinauzwa kipo kimara suka Ukubwa ni mita 20 kwa 22 Kimepimwa na serikali yamtaa bado Hati. Bei milioni 👉 12 maongezi yapo Usafili upo mwingi tu bajaji Tsh. 700 Pkpk Tsh. 1000 Barabara safi. 📞 📲 call/whatsapp: 0689859495 no cheni namaliza biashara
  20. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Muda muafaka mchungaji Mastahi kuhamishwa KKKT Kimara

    Viongozi wa kanisa kama mlivyofanya kwa mchungaji Kimaro fanyeni na kwa mchungaji Wilbroad Mastahi wa kimara KKKT. Huyu mchungaji anaonekana ana ushawishi na ni mpenda naendeleo, amepadilisha sana Kimara, sasa ni muda muafaka kutumia uzoefu wake wa kimara kuboost makanisa mengine. Mpelekeni...
Back
Top Bottom