kimara

Kimara is an administrative ward in the Ubungo district of the Dar es Salaam's central business district, east of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 66,288.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi (KM 7) Waanza Rasmi

    Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kikazi kutembelea barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi yenye urefu wa kilometa 7, mkoani Dar es Salaam, na kusisitiza umuhimu wa kuharakisha ujenzi wa barabara hiyo ya kimkakati. Katika ziara hiyo, Waziri Ulega ameagiza...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega Atoa Maagizo ya Kuboresha Miundombinu ya Barabara Kipande cha Ubungo Hadi Kimara Kuepusha Msongamano

    WAZIRI ULEGA ATOA MAAGIZO YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA KIPANDE CHA UBUNGO HADI KIMARA KUEPUSHA MSONGAMANO Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ametoa maelekezo ya haraka kuhusu mradi wa upanuzi wa miundombinu ya barabara za mabasi yaendayo haraka (BRT)Awamu ya Kwanza kipande cha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania KERO Maji hayatoki Kimara karibu mwezi sasa. DAWASA shida nini?

    Hali ya maji katika eneo linalohudumiwa na kituo cha Kimara ni mbaya Sana. Maji hayatoki katika baadhi ya maeneo karibu mwezi sasa. Hakuna taarifa yeyote inayotolewa. Viongozi wetu wa juu nao kwasasa naona kimya kabisa, zile amsha amsha hazipo. Basi mtupe hata taarifa tatizo ni nini na maji...
  4. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania KERO Dawasa kwanini Hakuna Maji Maeneo ya Kimara, na hamtoi taarifa Yoyote

    Ni karibu mwezi sasa maji ya dawasa yanatoka kwa machale maeneo ya kimara. Yaani, yanatoka kwa masaa 24, baada ya hapo hayapo mpka baada ya siku tatu ndio yanatoka tena. Mfano mara ya mwisho mabomba kutiririsha maji ni siku ya jumanne, hadi leo hakuna kitu. Na hii hali ina karibia mwezi sasa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kimara na kata zake hawana maji zaidi ya wiki sasa, DAWASA hamuelezi maji yatatoka lini!

    Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla. Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio. Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
  6. N

    JamiiForums Tanzania KERO Hospitali ya Kimara mpo serious kweli? Zaidi ya saa nne hakuna huduma

    Ni zaidi ya saa nne sasa hakuna huduma kwasababu ya mtanndao! Kila Mgonjwa anayefika hapo anaambiwa kirahisi rahisi tu kuwa hakuna mtandao Cha kusikitisha zaidi ni majibu tunayopewa ni wakavu Hawana huruma watu wanauliza na kuambiwa kwani kuna aliyezidiwa hapa? Ukiuliza sana unaambiwa Nenda...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Vyumba vya kupanga maeneo ya Kimara Suka vinapositiwa bei rahisi alafu vizuri kinoma kuna nini huko?

    Wakuu kwema?. Naomba kuuliza mazee. Nimecheki Facebook nimeona VYUMBA vya kupanga maeneo ya KIMARA SUKA vinapositiwa bei rahisi alaf vizuri kinoma Kuna Nini huko. Mimi sijawahi kufika huko
  8. E

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba zinauzwa maeneo mbalimbali

    Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo Ina Vyumba 2 kimoja master Jiko,public toilet, sebule Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20 Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000 Bei mln 19 maongezi yapo kidogo 0675 065906
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM

    Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM Inauzwa Tsh 700,000/ Phone: 0675336219 Mashine bado ipo wadau
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali kama hii Taarifa ya Kufungiwa kwa Tapeli Kiboko ya Wachawi ni kweli kwanini na Matapeli wengine Wakomavu wa Kawe na Kimara Temboni wameachwa?

    Acheni Double Standards tena nadhani huyu wa Buza ( Kiboko ya Wachawi ) hana Madhara sana japo ni Tapeli kama hawa Wawili wa Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni. Halafu Serikali mkiona tu jambo fulani GENTAMYCINE nalijadili au nalizungumza mno hapa JamiiForums kwa 100% jueni si zuri na...
  11. lugoda12

    JamiiForums Tanzania KERO Katizo la maji Kimara Dar es Salaam

    Kwa wakazi wa Kimara mwisho na maeneo yake maji hakuna kabisa, takribani siku 3 mpaka 4 sasa maji hayatoki, haijulikani sababu ni nini. Tunaomba mrejesho toka DAWASCO! ✍🏾 Pia soma - Kero ya maji Dar es Salaam - Watangaze kama kuna mgawo wa maji
  12. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Mwendokasi Kimara umekuwa mwiba mchungu

    Nina maumivu Sana moyoni juu ya ninayoyaona hapa kimara hebu tazama
  13. Sonship

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba inauzwa kimara Temboni. Bei milioni 30 tu. Vyumba vitatu kimoja master Sebule jiko na choo cha public. Ukubwa wa eneo mita 20 kwa 20 Ukishainunua una malizia kufanya finishing tu Ina hati ya mauziano serikali ya mtaa. Umball kutoka barabara kuu kilomita 2.5 Gari inafika mpaka site...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri Dk. Gwajima kumkamata huyo Dada wa Nyoka kwa Utapeli na kuwaacha Matapeli wa Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni ni Unafiki mkubwa

    Tena Mimi naona huyo Dada wa Nyoka ana Nafuu kwa huo Utapeli ila Matapeli halisi na Wezi wa Umasikini wa Watanzania wengi kwa njia ya Imani yao ya Uwongo na Kweli wako Tanganyika Packers Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni.
  15. adakiss23

    JamiiForums Tanzania Traffic Lights za Kimara Bucha hazifanyi kazi kwa muda sasa. Wahusika kulikoni?

    Takribani wiki na zaidi traffic lights zilizopo Kimara Bucha hazifanyi kazi na wahusika wako kimya. Ni eneo hatari mno kwa watumiaji wa barabara, kutofanya kazi kwa taa hizi ni sawa na kuliandaa taifa kuelekea msiba mzito maana hakuna anayejali si Tanroads ambao ndo wahusika wa kuu wala askari...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tulibomoa nyumba za wananchi Kimara -Mbezi ili matajiri wajenge vituo vya mafuta? Je, hivi vituo vingi kiasi hiki vinapataje kibali?

    Natoka Mwanza, kutoka Kibaha hadi Kimara nimeona tayari vituo zaidi ya Nane vya Mafuta vimejengwa kwenye hifadhi ya barabara. Ninaamini hivi vituo havikuwepo kwenye ramani ya barabara kwa wingi huu. Lakini pia naamini haya maeneo hayakutengwa kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya mafuta lakini kwa...
  17. sangaima

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo lenye nyumba 19 linauzwa Kimara

    Eneo lenye ukubwa wa Sqm 3626 Na lina Nyumba 7 [ Moja ni main house yenye vyumba vitatu kimoja master, sebure kubwa, dining kubwa, public toilet na jiko] Na nyumba zengine 6 kila moja imegawanyika katika ( chumba na sebure 3 hivyo kufanya jumla ya chumba na sebule 18 na zote zinawapangaji. Na...
  18. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Tuliokwama Kimara Mwisho kwenye foleni muda huu tujuane

    Kuna Lori la mafuta limeziba njia tuna saa mbili sasa na hakuna dalili za kuliondoa.
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DART kuchukua hatua dhidi ya Dereva na Wasimamizi wa Mwendokasi waliowapeleka Abiria Morocco badala ya Kimara

    Muda mfupi baada ya Member wa JamiiForums.com kusimulia tukio la Dereva wa Basi la Mwendokasi aliyetakiwa kuwapeleka Abiria Kimara kutoka Kivukoni, badala yake akawapeleka Kituo cha Morocco kisha kuwaacha hapo, jana Machi 26, 2024, mamlaka husika inatarajiwa kuchukua hatua. Mtendaji Mkuu wa...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Abiria wa Mwendokasi tuliotakiwa kutoka Kivukoni kwenda Kimara, Dereva katupeleka Morocco kisha akaturudisha Kivukoni

    Jana Machi 26, 2024 nikiwa kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kivukoni, kulikuwa na nyomi la hatari mida ya jioni, mabasi mengi yalikuwa yamepaki pembeni na machache yaliyokuja hayakukidhi haja ya huduma iliyotakiwa kutolewa. Watu walikuwa wengi na wengine wakionekana wanataka kuwahi kwenda kupata...
Back
Top Bottom