kilimanjaro

Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Helikopta kutua Mlima Kilimanjaro

    KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imesema imeridhishwa na miundombinu ya utalii ikiwemo viwanja vya kutua helikopta katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA). Mwenyekiti wa kamati hiyo, Ally Juma Makoa amepongeza Wizara kwa kuboresha miundombinu katika eneo la...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Wananchi wafikia hatua kulinda ugali wezi wasipite nao

    Ukweli ni kwamba hali hairidhishi kijijini Msaranga wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro kutokana na upungufu wa chakula Anayelalamika hali iliyotawala, Pulceria Marandu, mkazi wa Kitongoji cha Kwasuva kijijini Msaranga, anatumia kauli: "Ukipika ugali, ukienda chooni au kutafuta sahani chumbani au...
  3. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Nyerere kuweka Bendera kwenye Mlima Kilimanjaro alikuwa na maana gani? Alikuwa anatimiza unabii?

  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania UN yautaja Mlima Kilimanjaro kuwa mmoja wa milima itakayopoteza barafu yake mwaka 2050

    Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi na Utamaduni (UNESCO) milima mingi Duniani ikiwemo ile ya Afrika itapoteza barafu kwa kuyeyuka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Hatua hiyo itafikiwa ikiwa hakutakuwa na jitihada za kulinda mazingira na baadhi ya Milima mikubwa iliyotajwa...
  5. Nature

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mvua yazima moto uliokuwa unateketeza Msitu wa Mlima Kilimanjaro

    Moto mkubwa uliokuwa unawaka na kuteketeza Msitu na uoto wa asili unaozunguka mlima Kilimanjaro umezimika baada ya mvua kunyesha Usiku wa kuamkia leo Tar 1/11/2022. Takribani wiki mbili sasa jitihada mbalimbali zilikuwa zinaendelea kuuzima moto huo bila mafanikio, mpaka mvua ziliponyesha usiku...
  6. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Moto walipuka tena upya ndani ya Mlima Kilimanjaro

    Achana na ule moto wa wiki iliyopita, habari hii imeripotiwa tena kutokea usiku wa tarehe 29 Oktoba 2022, kuna nini kinaendelea huko katika Mlima Kilimanjaro? Ni majanga ya kawaida au kuna mikono ya watu? Habari yenyewe nimeichukua kama ilivyo, hii paha chini ---------------- Picha ya...
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu ikiwa ni mara ya tatu kwa mwezi Oktoba 2022

    Mlima kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu. KINAPA NA TANAPA AMKENI .
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Moto uliowaka Mlima Kilimanjaro kwa wiki nzima wadhibitiwa

    Moto uliozuka katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania karibu na eneo la Karanga Camp umedhibitiwa huku eneo lenye ukubwa wa kilometa za mraba 2 hadi 4 zimeteketea. Akizungumza na waandishi wa habari, Ijumaa Oktoba 28, 2022 katika lango la Mweka, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk...
  9. Namche Bazar

    JamiiForums Tanzania Suala la moto mlima KIlimanjaro

    Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri. Ni zaidi ya wiki sasa moto unaendelea kuwaka katika mlima Kilimanjaro. Na kinachoonekana ni kujaza watu mlimani ambao wanaitwa kikosi kazi bila kufanya kazi ya kuzima moto,wengi wao wameenda kula na kupiga picha tu (selfie) na kuwa kero hata kwa watalii...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baada ya wizi wa kura na mwenyekiti wa CCM wilaya kutoka wajumbe, Uchaguzi wa CCM jimbo la Hai kurudiwa

    Kuna kila dalili uchaguzi wa ccm uliofanyika tarehe 1.10.2022 kurudiwa tena. Hii inatokana na kundi kubwa la wajumbe ambao ni wapiga kura kukutana leo na kuamua maamuzi ya kutokuwa na Imani na uchaguzi huo ambao uligubikwa na wizi was Kura, kuongeza Idadi ya wajumbe hewa Ili kuongeza Idadi ya...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Moto warejea tena Mlima Kilimanjaro

    Siku chache baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kutoa taarifa moto uliokuwa umewaka Mlima Kilimanjaro umedhibitiwa, moto huo umelipuka tena katika maeneo ambayo awali yalidhibitiwa kutokana na upepo mkali. Moto huo ulinza kuwaka Oktoba 21, 2022 katika eneo la Karanga...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania RPC Kilimanjaro Baa za Kisambo, Mwika kuna majambazi waliokubuhu

    RPC Kilimanjaro Kuna genge la wahuni wakimiliki wa na wenye bar. Maeneo ya Kisambo Moshi mpaka Mwika Wezi hawa hutumia pikipiki kuja na kulewa bar huku wakiangalia nani wa enjoy genge hili liko bar za Kisambo mipaka Mwika. Inapofika saa tano wahuni hawa hutangaza hali ya hatari na hata...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CCM Hai Kilimanjaro waingia dosari , iundwe Tume ya CCM kufuatilia

    Uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai huko Kilimanjaro waingia dosari baada ya DC kuiba Kura na kupata kura 400 ambazo hakuna waliompigia kura. Idadi ya waliojiandikisha kupiga Kura imezidi Idadi ya Kura zilizopiga. Kwa uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai unahitajika urudiwe na usimamiwe na viongozi wa...
  14. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kwako Waziri mwenye sura nzuri Hussein Bashe;Benk ya Kilimanjaro cooperative Bank ibadili jina itapokelewa vyema mikoa ya kagera Mbeya Mwanza la sivyo

    Nikili wazi Mimi ni mdau mkubwa wa masuala ya kiushirika, kwani ni miongoni mwa vijana tulio zaliwa na kuona kabisa jinsi ambavyo bibi zangu walivyopanga foleni kwenye maduka ya ushirika kununua unga wa njano! Pamoja na hayo, lazima nikili yakuwa Kwa miaka takribani sita Sasa nimekuwa...
  15. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Moto wateketeza Mabweni matatu ya wanafunzi

    Wanafunzi zaidi ya 100 katika shule ya sekondari Nyerere iliyopo Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro watalazimika kulala madarasani baada ya mabweni yao kuteketea kwa moto ambao chanzo chake hakijajulikana bado. Kufuatia kutokea kwa ajili hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu ameuagiza...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania RPC Kilimanjaro na Arusha wapuuza agizo la Mzee Kinana

    Sasa nimejifunza na kutambua kauli inayosema ‘ ni kauli za kisiasa’. MaRPC wa mikoa ya Arusha na kilimanjaro wameamua kupuuza kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mh Kinana kwa kufungulia trafic wa kutosha ndani na nje ya miji. Idadi ya matrafiki bara barani imezidi tena na mijini wanazunguka...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mahakama yagoma kuwaachia huru Sabaya na wenzake, kesi yaahirishwa hadi Septemba 11

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro ametupilia mbali ombi la upande wa utetezi walilolitoa Agusti 12, 2022 wakiomba mahakama hiyo iwaachie huru, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne na upelelezi uendelee wakiwa huru. Ombi hilo limetupiliwa mbali...
  18. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania AMUZZ, hii bar ambayo ipo Moshi, Kilimanjaro imenikosha sijawai kuona shangwe kama hili

    Kumbe Moshi, Kilimanjaro ndio kumewaka namna hii hakika hakuna mpinzani nimejaribu kutupia hapa vibweka vyake uploading imeshindikana ni hatari sana labda mnaweza kuchungulia insta, mimi ni mpenzi wa viwanja lakini cha namna. hata vilivyopo hapa Dar, havikamati hili shangwe! WASALAAM.
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nape: Bei ya internet imeshuka sana

    Uzinduzi wa Huduma za Mawasiliano ya Intaneti Mlima Kilimanjaro, Agosti 16, 2022 Waziri Nape Nnauye: Nawapongeza TTCL kwa kunialika kushiriki tukio hili la uzinduzi wa huduma ya mawasiliano ya intaneti katika moja ya kivutio bora cha kitalii Duniani Maeneo mengi ya utalii Nchini baada ya...
  20. BIN BOR

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya usalama Kilimanjaro Bus

    Kilimanjaro Express; huu sio mkanda wa suruali
Back
Top Bottom