kilimanjaro

Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.

View More On Wikipedia.org
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Njombe, Kilimanjaro vinara kutumia uzazi wa mpango

    Mikoa ya Njombe, Kilimanjaro na Mbeya inaongoza kwa matumizi ya njia za uzazi wa mpango kwa wanawake walioolewa, wastani wa wanawake watatu kati ya watano wanatumia njia hizo. Dar es Salaam. Ripoti ya ‘Utafiti wa Afya, Viashiria na Malaria’ wa mwaka 2022 uliofanywa na Wizara ya Afya kwa...
  2. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hii Hapa: Boat Mpya ya Azam Kilimanjaro VIII -The Falcon of the Sea

    Nimepata hii picha chombo kikielekea kuzinduliwa. Kwa ufupi ni boat mpya inayokuja kuendelea kutoa huduma kati ya Zanzibar na Dar Es Salaam. Chombo kinaondoka kwa mara ya kwanza Bandari ya malindi saa 06;30 kuelekea Dar Es Salaam, nauli zitakuwa kama ifuatavyo. Economy 30,000 👇🏾 VIP 60,000 👇🏾...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kipenzi cha wana Hai huko Kilimanjaro kinawakaribiisha kwenye kombe la Ramadhani cup

    Mtanzania Shaban Mwanga anawakaribisha wanahai wote kwenye finali ya Ramadhani Cup leo tarehe 15.4.2023. Jimbo la Hai, leo watapata furaha kubwa iwapo kuna kijana mmoja roho itamuuma sana ila ajiandae kwenda kuchunga mbuzi muda ukifikia.
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ajifungua ndani ya Boti ya Kilimanjaro V

    Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Maryam Yahya Maulid mwenye miaka 25 leo, Aprili 14 saa 7:45 mchana amejifungua mtoto wa kiume akiwa ndani ya Boti ya MV Kilimanjaro V iliyokuwa ikitokea Zanzibar kwenda Dar es Salaam. Mwanamke huyo amejifungua salama kwa msaada wa Daktari Suleiman wa...
  5. The Eric

    JamiiForums Tanzania Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

    Salaam kabla ya habari. Jana kuna report imeeleza. Mikoa ya 1. Dodoma. 2. Singida. 3.Tabora. 4. Kagera. Pia Kigoma ambayo Mh. Philipi Hakuweka bado ina wimbi la umaskini, mambo ya kuishi chini ya dola moja haya daaah. Arusha, Dar, Mwanza, n.k ni maskini kwa sababu watu wake wanateseka...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar, Kilimanjaro zaongoza wenye Viriba Tumbo’

    Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amesema kuwa tatizo la uzito uliozidi na kiriba tumbo limekuwa janga la kitafa katika mikoa ya Kilimanjaro, Dar es Salaam, Unguja na Mjini Magharibi huku udumavu nao ukishika kasi katika mikoa ya Iringa, Njombe na Rukwa. Akizungumza wakati akizindua mbio za Mwenge...
  7. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Jengo la shule lahatarisha usalama wa wanafunzi

    Serikali ya Kijiji cha Kikarara kilichopo Kata ya Old Moshi Mashariki kwa kushirikiana na uongozi wa Shule ya Msingi Matemboni imewalazimu kuwahamisha Wanafunzi kutoka katika vyumba vitatu vya madarasa kutokana na hali ya usalama wa majengo hayo. Wanafunzi waliohamishwa wamechanganywa katika...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Katibu wa UWT mkoa wa Kilimanjaro jifunze alama za nyakati, punguza kupokea mlungula na warejeshee akina mama nauli walizotumia kwenda Dar

    Niwe muwazi na mkweli. Hakuna wanawake walioteseka kama sisi UWT MKOA WA KILIMANJARO tuliokwenda kwenye kongamano la kumpongeza mama Samia kwenye uwanja wa uhuru Dar tarehe 19.3.2023. Tumepatwa na kila aina ya dhoruba. Tumekopa fedha za nauli za kwenda Dar na kurudi hatujui...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali mkoa wa Kilimanjaro, Dar es salaam, Mwanza na Arusha

    Natafuta kazi za viwandani, madukani na kwenye makampuni. Elimu yangu Kidato cha nne.
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Titan Lithium Inc ya Marekani yagundua Madini ya Lithium Kilimanjaro

    Kampuni ya Lithium Inc ya Marekani imefanikiwa kufanya Ugunduzi Mkubwa wa Madini ya Lithium kwenye maeneo mawili yaliyo jirani na mlima Kilimanjaro. Ugunduzi huo unatajwa kuiweka Tanzania kwenye ramani ya Nchi 10 Zenye Madini ya Lithium Duniani. ========== A US-based company has joined the...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watalii wenye Figo 1 waanza kupanda mlima Kilimanjaro

    Watu 31 ambao wanaishi na figo moja, wameanza safari ya kuupanda mlima Kilimanjaro, lengo likiwa ni kuihamasisha jamii kujitolea kuchangia kiungo hicho kwa ndugu jamaa na marafiki wenye uhitaji. Maadhimisho ya siku ya figo duniani, huadhimishwa Machi 9 ya kila mwaka, kwa lengo la kuhamasisha...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza utalii kupitia mbio za Kilimanjaro

    NW UTALII, MARRY MASANJA - SERIKALI KUTANGAZA UTALII KUPITIA MBIO ZA KILIMANJARO Serikali imesema itaendelea kutangaza vivutio vya utalii katika nchi wanazotoka washiriki wa mbio za Kilimanjaro International Marathon ili kuongeza idadi ya washiriki wa mbio hizo na hatimaye kuongeza idadi ya...
  13. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Utani; Rebmann na Wachagga mlimani Kilimanjaro

    Paa la Afrika. Nilikuwa nimesikia mengi juu ya Kilimanjaro, mlima mrefu kuliko wote barani Afrika. Hali kadhalika, nilisoma mengi na kutazama picha nyingi zilizoonyesha mlima huo. Lakini katika yote hayo niliyosikia au kuona kwenye picha hakukuwepo lolote lililoniacha nisiweze kupigwa na butwaa...
  14. DreezyD98

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mume adaiwa kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja, mkazi wa Mero, wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi. Mwanamke huyo ambaye anatambulika kwa jina la Fausta Tesha (26) aliuawa kwa kukatwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania “Benki ni SimBanking” kuongeza ujumuishi wa huduma za fedha, Moshi

    Wakazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro wameonekana kuipokea vyema promosheni ya “Benki ni SimBanking” ikiwa ni sehemu ya jitihada za Benki ya CRDB kuongeza ujumuishi wa Watanzania kwenye huduma za kibenki. Wakazi hao waliojitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa promosheni hiyo mkoani Moshi walionyesha...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU na DPP warushiana mpira kuhusu waliohujumu Chama cha Ushirika Kilimanjaro

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na Ofisi ya Taifa ya Mashitaka (NPS), zinadaiwa kutupiana mpira kuhusu uchunguzi na mashtaka dhidi ya wanaodaiwa kuhujumu Chama cha Ushirika cha Usafirishaji Mruwia mkoani Kilimanjaro. NPS inafanya kazi chini ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ajali iliyoua watu 20 Tanga, yadaiwa wakati wa uhai wake, marehemu alisema akifa mwili wake usipelekwe Kilimanjaro

    Ndugu wa marehemu Athanas Mrema aliyekuwa akisafirishwa katika gari lililopata ajali na kuua watu 20 Korogwe mkoani Tanga, wamedai kuwa ndugu yao hakutaka kwenda kuzikwa Rombo mkoani Kilimanjaro. Inadaiwa kuwa Mrema alitengana na mkewe anayeishi Rombo kwa zaidi ya miaka 20 na aliomba akifariki...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Yaani Kuzaana sana kwa Tumbili ndiyo kusababishe Njaa itakayokuja Jimboni Vunjo Mkoani Kilimanjaro?

    Tumeotesha miti mingi, lakini tatizo moja tumekaribisha tumbili na ngedere wakawa wamejaa kule ndio wanawahi kuvuna mahindi yetu kabla hatujavuna, kwa hiyo njaa itakayokuja kule kwetu itatokana na tumbili na ngedere. Wanazaliana hawana mpango wa uzazi, wanazaliana ovyo ovyo wamekuwa wengi sana...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro vijana wameharibika sana. Kina mama wanalia

    Ilianza Pemba, Mombasa, Lamu,Tanga,Dar na Zanzibar kwa Ujumla.. Sasa imehamia Kilimanjaro.... Vijana wengi sasa wamekuwa mabwabwa.... Yaani inasikitisha sana miaka ya hivi karibuni nguvu kazi ya vijana imeharibiwa sana. Yaani kwa sasa kumkuta shayo,shirima, urio, massawe Bwabwa kawaida sana...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akemea rushwa mahakamani

    Moshi. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amewataka watumishi, watendaji na wadau wa Mahakama kujiepusha na vitendo vya rushwa na kuweka mifumo mizuri itakayowezesha utatuzi wa migogoro kwa njii ya usuluhishi ili kuondoa mrundikano wa mashauri na kesi mahakamani. Babu ametoa rai hiyo leo...
Back
Top Bottom