Baada ya kufikia ‘Unc’ status, nimejikuta tu napunguza mahudhurio ya hili jukwaa.
Hivyo msishangae sana kuniona humu leo. Mara moja moja si mbaya kujivinjari na kuwasabahi.
Twende kwenye mada….
Ni hivi, mimi nadhani ni mtu mmoja mvumilivu sana, hususan ikija kwenye mapungufu ya kiubinadamu...