Ukijijua we kilaza

Ukijijua we kilaza

Sister Abigail

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2020
Posts
4,175
Reaction score
12,984
Nakwambia ukijijua we ni kilaza tafuta watu wenye akili,tafuta watu wenye maarifa wakuzunguke wawe washauri wako
itakuwa faida kwako.
Kama we ndio boss wao hata wakiku-outshine usijali maana Wana faida kwako and you are still the boss.

Shida ni pale unavyojijua we ni kilaza halafu unachagua vilaza wenzio ili tu wasije kukuoutshine na kukuzidi hapa ama pale sababu we ndio boss,wale wenye akili unawatupia kule..unajivua nguo!
Ukikwama unaenda kuomba solution Kwa jopo lako la vilaza na wao wakijua wenyewe hawajui,ushauri wanaokupa unakuja kuufanyia kazi hadharani unatarajia Nini?
 
Boss anasema mimi ndio niko eti jina langu lilionekana la kwako halikuonekana.
Wenye akili watakaa kimya vilaza watajipendekeza naye atawapa sikio alafu chuya na mchele zitajitenga ,all in all "chuya ni chuya mchele ni mchele"
 
Wanasema ndege wafafanao huruka pamoja.
 
Shida ya KILAZA iko sehemu moja tu; KUJIAMINI!

Niamini mimi, hakuna kilaza anayejiamini kwenye mambo yake. Muda wote huishi kwa hofu na tahadhari kubwa.
 
Nakwambia ukijijua we ni kilaza tafuta watu wenye akili,tafuta watu wenye maarifa wakuzunguke wawe washauri wako
itakuwa faida kwako.
Kama we ndio boss wao hata wakiku-outshine usijali maana Wana faida kwako and you are still the boss.

Shida ni pale unavyojijua we ni kilaza halafu unachagua vilaza wenzio ili tu wasije kukuoutshine na kukuzidi hapa ama pale sababu we ndio boss,wale wenye akili unawatupia kule..unajivua nguo!
Ukikwama unaenda kuomba solution Kwa jopo lako la vilaza na wao wakijua wenyewe hawajui,ushauri wanaokupa unakuja kuufanyia kazi hadharani unatarajia Nini?
The voice of the voiceless!
 
Boss anasema mimi ndio niko eti jina langu lilionekana la kwako halikuonekana.
Wenye akili watakaa kimya vilaza watajipendekeza naye atawapa sikio alafu chuya na mchele zitajitenga ,all in all "chuya ni chuya mchele ni mchele"
Boss ukimwambia ukweli tu kwamba hapa umeboronga anaona umemkosea heshima
Soon anakufurumusha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom