Hivi unapata wapi nafasi ya kuipenda na kuitetea Serikali ya Wahuni, viongozi wake wabinafsi, watu wenye roho mbaya, watumishi wala rushwa, hii nchi inakoendea vikundi vya waasi vitajitengeneza kutokana na ugumu wa maisha.
Ajira za kujuana hata kama una vigezo hupati. Mfano kuna jamaa baba...